Mimi ni muislamu, ila Sheria ya kuoa binti wa miaka 9 katika uislamu inanifanya niwe na mashaka na Imani yangu

Mimi ni muislamu, ila Sheria ya kuoa binti wa miaka 9 katika uislamu inanifanya niwe na mashaka na Imani yangu

Mkuu mimi naiheshimu dini yenu ila kwenye hili swala naona kama mwanamke anachukuliwa kama sex toy na asiyekuwa na maamuzi kuhusu mwili wake. Mtoto wa miaka tisa hata bado hajabalehe na kupevuka kiakili halafu aingie kwenye ndoa hii sio haki.
Shida wanaozwa kwa vibabu vya miaka 50 plus.
Bora wangeozeshwa kwa watoto wenzao.
Waruhusu na vitoto vidume vya miaka 9 kuoa watoto wenzao kiumri.
Vibabu vina take advantage kwa vitoto vidogo.
 
.
hata kama binti awe na mwili mkubwa bado miaka 9 ni midogo sana kuolewa.

Mwenye elimu anifafanulie unless otherwise natafuta upande mwingine ambao ntaona Sahihi kwa hili hapana wafuasi wa waarabu tunafeli.

Pia soma
- Kupitisha sheria ya ndoa kuwa miaka 9 ni aina fulani ya upungufu wa akili
Nani ni mtunzi wa sheria ninini.

Ktk tawala za kidemokrasia wengi hutunga sheria.

Utamaduni wa kuoa, lila jamii ina umri wake. Huwezi mlazimisha jamii nyingine kufata utamaduni wako.

Sheria kama ya yesu kufa msalabani dhambi unaofanya wewe ni rediculas. Yaani ushenzi unafanya wewe na gigi halafu yesu ateseke kwa dhambi zako. Kwa utamaduni wa wengine hilo jambo ni mzaha. Lkn kwa wengine ni sheria na tanaduni.

Wale waathiriwa wa utamaduni wa paulo kwa kiasi kikubwa mnaona ni jambo la kawaida kwa mwanamme kumuoa mwanamme. Lkn ni kosa kwa mwanamme kumuona mwanamke anaeweza kupata mimba.

Kama kitendo hichi si cha kibinadamu, kwann mbuzi hapendi mbuzi ila kwanza kuvunja ungo.

Nchi zenye kuathiriwa na mafunzo Prof Paule watakubaliana nami kuona ni jambai la kawaida.

Lkn nchi za kiislam zina sheria hizi

Pamoja na kuruhusu ndoa kwa binti wa miaka 9, hata hivyo ndoa ya kulazimishwa binti ni mafutukum

Homosexuality banned ✅
Adultery banned✅
Criminals are punished✅
Forced marriages banned✅
No clubs or haram parties✅
No concerts✅
No domestic violence✅
Justice served ✅
 
Sasa si ubakaji huo, Dini inayoruhusu ubakaji wa mtoto wa miaka 9 inabidi uwe nayo makini sana..
Hakuna anae bakwa ili ndoa ifanyike ni lazima ruksa itoke kwa mzazi, labda wewe utuambie una uchungu kuliko mzazi mwenye mtoto wake
 
Hakuna anae bakwa ili ndoa ifanyike ni lazima ruksa itoke kwa mzazi, labda wewe utuambie una uchungu kuliko mzazi mwenye mtoto wake

Wengi wanaoozesha vitoto ni familia maskini inayo toa mtoto kama chambo cha kupata mtaji wa mahari.

Mtoto anawezaje kukubali kuolewa akiwa na miaka 9 wakati hata hamu ya tendo la ndoa hana ?

Ni kwamba wazazi wanalazimisha vitoto kuolewa na wenye pesa bila hiari ya mtoto mwenyewe.

Ndoa halari kwanza iwe kati ya watu wazima wanaojitambua.

Pili mwoaji na mwolewaji wakubaliane kuoana kwa ridhaa yao.

Tatu waombe ruhusa ya wazazi wao kuruhusu wao kuowana.

Nne hapo Dini ninafungisha ndoa.

Mzazi kuruhusu mtoto kuolewa bila ridhaa yake ni ukiukwaji wa haki za binadamu.
Iwe kwa mtoto au mkubwa.

Huwezi kukuta Binti Mfalme au mtoto wa mtu tajiri au msomi akiozeshwa katika umri wa miaka 6 au 9.

Hiyo sheria ina lenga kununua vitoto vidogo kwa watu masikini ili wavibikiri.
 
Ndoa sio lazima akubali mtoto ndio maana Yakobo alioa mtu na dada yake, Ndoa mzazi anaweza chagua nani aoe mwanae , uislamu umetoa ruksa unaweza kumuoa binti kisha akibalehe unajichukulia mkeo , hakuna shida yeyote, Hoja ya masikini na tajiri haina mashiko kwasababu ndoa ni kwa wote
 
We uliona wapi mtoto wa familia inayojitosheleza kiuchumi inaoza mtoto wao wa miaka 9, badala ya kumpeleka shule.

Familia masikini tu ndio zinafanya huo ujinga ili kujikimu mahari.
Ulisha sikia Binti mfalme kaozwa akiwa na miaka 9 ?
 
Binadamu waliishi kabla ya hizi shule, mtoto wa kike akibalehe alikuwa anaozwa tu bila kujali umri wake , suala la NDOA ni maamuzi ya mzazi sio binti , shida yako ni kulinganisha maisha ya sasa na maisha wakati maandiko yanatoka, hata Mariam alikuwa bikra na alikuwa binti mdogo sana lakini tayari alisha chumbiwa na Joseph ambaye alikuwa na mkubwa sana kwake, hoja yako haina mashaka kwa nyakati za maandiko, ukiangalia wayahudi hata kwenye UKOO watoto wa kike walikuwa hawawekwi kwasababu wakibalehe wanaenda uko kwa waume zao
 
hata kama binti awe na mwili mkubwa bado miaka 9 ni midogo sana kuolewa.

Mwenye elimu anifafanulie unless otherwise natafuta upande mwingine ambao ntaona Sahihi kwa hili hapana wafuasi wa waarabu tunafeli.

Pia soma
- Kupitisha sheria ya ndoa kuwa miaka 9 ni aina fulani ya upungufu wa akili
Toka tu ukatafute Imani inayolingana na akili yako ndogo, wewe huna faida yoyote katika uislamu na ukitoka uislamu haupungikiwi na chochote! Ujinga wa muda mrefu wa kutoisoma dini ndio ulioifanya akili yako kuwa sawa na akili za makafiri.
 
Hili suala litatenganisha waislamu kama jinsi lile suala la papa liavyotegaisha wakristo.

Ningependa sana kujua Nifah anawaza nini...
 
Binadamu waliishi kabla ya hizi shule, mtoto wa kike akibalehe alikuwa anaozwa tu bila kujali umri wake , suala la NDOA ni maamuzi ya mzazi sio binti , shida yako ni kulinganisha maisha ya sasa na maisha wakati maandiko yanatoka, hata Mariam alikuwa bikra na alikuwa binti mdogo sana lakini tayari alisha chumbiwa na Joseph ambaye alikuwa na mkubwa sana kwake, hoja yako haina mashaka kwa nyakati za maandiko, ukiangalia wayahudi hata kwenye UKOO watoto wa kike walikuwa hawawekwi kwasababu wakibalehe wanaenda uko kwa waume zao
Mariamu alichumbiwa akiwa na miaka mingapi ?
Leo umeona Wayabudi wanaoza vitoto vya miaka 9 ?
Mfano wako kwa Ndoa za Wayahudi unautoa wapi.

Wayahidi kwa taarifa yako ndiyo jamii inayo jali sana elimu.
Mabinti wengi wa Kiyahudi ni lazima wasome maarifa ya dunia nadhani unawaona kwenye Majeshi na nyanja nyingine za kitaaluma.
Wacha kuwazungumzia Wayahudi jamii inayo thamini elimu kwa kila raia wake.
Ongelea hao wanao pitisha sheria za kununua vibinti vichanga toka katika familia masikini ili wafurahie zoezi la kuvibikiri.
Na wakisha vibikiri wana vifunika majuba na ndio mwisho wa kuvipatia Elimu.
Familia inayo jitambua haiwezi kufanya huo ujinga.

Kitoto cha miaka 9 unakioza badala ya kukipa elimu huo ni umasikini wa mali na fikra.
 
Mada kama hizi ni vizuri ingekuwa mnaeleza ni umri upi ambao ni sahihi kwa binti kuolewa na kwanini? Kisha mkaweka na ushahidi kuonyesha historia kuwa toka enzi na enzi kwamba umri huo ndio umekuwa umri sahihi wa binti kuolewa kinyume na hapo ni ubakaji.

Lakini mkijadili hivi kihisia kwa kutumia tu neno ubakaji au mtu kumfikiria mtoto wake wa miaka 9 kisha unatoa maoni unakuwa unatumia hisia.
 
Back
Top Bottom