Mimi ni muislamu, ila Sheria ya kuoa binti wa miaka 9 katika uislamu inanifanya niwe na mashaka na Imani yangu

Mimi ni muislamu, ila Sheria ya kuoa binti wa miaka 9 katika uislamu inanifanya niwe na mashaka na Imani yangu

Yaani mtoto wa miaka 9..!!! Hatari.
Naam mtume alioa mpaka Khadija ambaye alimpita miaka zaidi ya 15 , wewe uamuzi ni wako tu , hata wakubwa ruksa kuoa, huwezi kufananisha maisha ya enzi za mtume na sasa , zamani wanawake walikuwa hata kwenye ukoo hawapo, sasa ulifikiri wanasubiri nini kama sio kuvunja ungo na kuolewa? huu ndio uhalisia
 
Hili suala ni hoja dhaifu sana na hutumika na watu dhaifu wanaotumia hisia kuliko maarifa.

Mtoto wa kike kuolewa pale tu anapobalehe ni jambo bora kwake na kwa jamii na hii haimaanishi akose haki zake za msingi ikiwemo kupata elimu

Kumpa nafasi ya kuwa mzinifu hupelekea madhara makubwa ikiwemo watoto wa nje ya ndoa hupelekea watoto hao kukosa malezi bora na vijana wasio na maadili na watukutu(panya road,mashoga, wasagaji,wazinifu na mfano wake)

Na matokeo yake tunapata hii jamii isiyo na maadili na iliyojaa ujinga ambayo hufikiri ni bora mtoto wa kike aliye balehe kuziniwa kuliko kuolewa
 
Pole sana mdogo wangu ! kiuhalisia umechanganyikiwa kwa majibu ya yule mwanamke uliyeshindwa kumpaka kwa mahari halafu yule demu ni mkristo , ndugu yangu mil 2.6 imekushinda😀.

Halafu rekebisha pale ni ''Mahari'' sio ''Mahali''

Hakuna sehemu katika uislamu umesema mwanamke wa miaka 9 aolewe : kuna mambo kama matatu yamezingatiwa ,balekhe , ruhusa ya wazazi wake , pamoja ya kukua kimwili na akili ....Ukisoma hadith utajua hata Aisha alikuwa na akili kuzidi wake wote wa mtu basi utajua alikuwa ana vigezo vyote vya kuolewa .

Narudia tena hakuna age kama unaona wameweka basi wana vigezo vyao ila kumbuka si ruhusu kumlazimisha mwanamke kuolewa kwa namna yoyote ile hata mahari anataja yeye sio wazazi wake ...Zamani walikuwa na arranged marriage (Bongo tunaita kugongea au kuchumbia) yaani mtu anaweka azma ya kuoa mwanamk hata akiwa na miaka 2 ili baadae akifiksha umri husika anaanza kutumia ndoa .

Nimesoma na watu wameolewa tangu msingi , wakaja kutumia ndoa walipomaliza vyuo vyao hasa diploma ..Katika kipind chote hicho ukikutwa na mahusiano naye basi utajuta.​
 
Jibu swali kwanini kwenye koo za kiyahudi wanawake walikuwa hawatajwi kama wanawajali? shida ni kupingana na ukweli usifananisha maisha ya sasa na ya kale, yule Yakobo alikwenda kuoa mtu na dada yake wa tumbo moja, kwa jamii ya sasa ni mzazi yupi anaweza kufanya hivyo ? shida unaangaika kutetea jambo ambalo ni halisi utapata tabu sana, Mfalme Sauli wa Israel alimuozesha mwanae kwasababu za kitawala tu na kumuogopa Daudi ambaye alikuwa masikini, acha kulazimisha zama zifanane
Tunakusubiri wewe uozeshe bintiyo mwenye miaka 9 badala ya kumpeleka Shule.
Na uishie kulalamika kuwa fulsa za uchumi zinawabagua hao watoto.
Badala ya kuwasomesha watoto mna fikiria kuwaozesha.
Sijui mnatengeneza taifa la namna gani.
Hizo ni fikra za Ki-Ujima.

Wayahudi waliambiwa hivi na Manabii wao.

Mithali (Pro) 4:13 Mkamate sana elimu, usimwache aende zake; Mshike, maana yeye ni uzima wako.

Hawajawahi kuozesha vitoto vichanga na haipo kwenye Katiba yao.
Kila la Heri.
 
Huo ni ubakaji.

Changamoto kubwa inayoikabili dini ya kiislamu ni kwamba mtume alioa mtoto wa miaka 9.

Ukisema ukweli kuwa mtume alibaka wanaanza kukutafuta wakuue. Hicho ni kizingiti kikubwa kwenye imani yao, namna ya kurekebisha kosa hilo haijulikani.
Ubakaji Kwa Mujibu Wa Nani Anza Kwanza Kutufafanulia.
 
Nchi zote za Kiislamu zimeruhusu vitoto vya miaka 9 kuolewa na vibabu vya miaka 60 kwenda juu.
Nchi ya Iraq imepitisha hiyo sheria juzi tu.
Kisa kufuata suna ya mtume wao.
Na tamaa kwa vitoto vichanga.

Sunan an-Nasa'i 3379
It was narrated that 'Aishah said:
"The Messenger of Allah married me when I was six, and consummated the marriage with me when I was nine."

Ruksa kuoa vitoto vichanga vya miaka 6 kama kuiga matendo ya Kioo chao cha Dini.
Kumwiga m'bora wa mitume wao.
Umeongea Pumba.
 
Wewe ni muislam mkuu, hivyo unakubaliana na maamuzi ya Muhammad kuoa binti wa miaka 9?
Qur'an imeandikwa na mwenyezi Mungu na hakuna àya inaruhusu kuoa katoto hayo ni maamuzi ya muddy na wewe muislam.
Wewe Ni Kafiri Ya Waislamu Yanakuhusu Nini?
 
Hapo hapo Bado wanawake wa kiislamu wanadai uislamu unawaoa nguvu sana.
Niliona sheikh mmoja aliulizwa wanawake watapewa nini huko mbinguni? Akadai eti watapata vitu vizuri mno ambavyo hata havijatajwa popote..
Mambo ya kijinga sana.
Ujinga mtupu 😹😹
Kuna vitu ukitumia akili hata ya kuvukia barabara unaona kabisa upumbavu..!!
 
Back
Top Bottom