Mimi ni muislamu, ila Sheria ya kuoa binti wa miaka 9 katika uislamu inanifanya niwe na mashaka na Imani yangu

Mimi ni muislamu, ila Sheria ya kuoa binti wa miaka 9 katika uislamu inanifanya niwe na mashaka na Imani yangu

Huo ni ubakaji.

Changamoto kubwa inayoikabili dini ya kiislamu ni kwamba mtume alioa mtoto wa miaka 9.

Ukisema ukweli kuwa mtume alibaka wanaanza kukutafuta wakuue. Hicho ni kizingiti kikubwa kwenye imani yao, namna ya kurekebisha kosa hilo haijulikani.
Hivi kwa akili yako kwa kipindi hicho hakuna waliokuwa wakimpinga mtume? Mbona hawakuja na hoja hiyo kuwa huyu si mtume wa kweli maana anaharibu watoto? Halafu tuonyesheni kwa miaka hii ni nani wa miaka9 kaolewa nami ntakuonyesha kasisi shoga
 
Kuna vitu Huwa havicheleweshwi kwenye Uislamu na Waislamu:
1.Kuzikwa kwa haraka.
2.Kuolewa mtu anapofikia balehe.
3.kubadili dini(kusilimu) Ili awe muislamu.

Sasa miaka 9 na kashabalehe Kuna shida gani?

Halafu ni Sheria iliyopitishwa huko Iraq, sisi bongo inatuhusu nini?

Vibinti vyenyewe vinatolewa bikra na miaka 8 au 9, Sasa jamaa wanataka kuviepusha na Zambi zisizo na kichwa Wala miguu
Wewe ni mpiuzi sana
 
Unadhani kama mnavyotombana ovyo huko kwenye ukafiri. Binti huku huwa anachukuliwa sharti za wazazi wake na yeye akikubali.
Wenzetu itakuwa mnafanya mapenzi kwa kubakana kumbe.
Kafiri ni wewe unayesema hakuna Mungu isipokuwa allah
 
Binadamu waliishi kabla ya hizi shule, mtoto wa kike akibalehe alikuwa anaozwa tu bila kujali umri wake , suala la NDOA ni maamuzi ya mzazi sio binti , shida yako ni kulinganisha maisha ya sasa na maisha wakati maandiko yanatoka, hata Mariam alikuwa bikra na alikuwa binti mdogo sana lakini tayari alisha chumbiwa na Joseph ambaye alikuwa na mkubwa sana kwake, hoja yako haina mashaka kwa nyakati za maandiko, ukiangalia wayahudi hata kwenye UKOO watoto wa kike walikuwa hawawekwi kwasababu wakibalehe wanaenda uko kwa waume zao
Mariamu alichumbiwa akiwa na miaka 9?
 
EDited copies zipo nyingi sana na walijaribu hata ku edit quran ila uzuri quran kila muislamu duniani kote anaijua word to word na ndio muongozo sahihi wa waislamu duniani kote
Nani alitaka kue-edit Sahih Bulgaria,Quran? Unaweza kuweka link hapa ?

Unajua kwamba kuna Quran zaidi ya 29? Unajua kwamba Quran inayotumika Tanzania (Warsh) hairuhusiwi kutumika Morocco, Tunisia na Libya? Ukikamatwa nayo Libya unaweza kuhukumiwa kifo,kule wanatumia Qaloon Quran chief.

Ile dhana kwamba Quran ni moja tu imekuwa debunked miaka ya karibuni,ndiyo maana wanazuoni wakubwa wa kiislamu hawaiongelei tena.
 
Hivyo vitoto ni bora basi vingeolewa na watoto wenzao au wa rika la uteneja.

Vitoto vya miaka 9 vinaolewa na libabu la miaka 70+ limeshatumika hadi limechakaa.

Linaishia kumpa laana ya Ujane tu na nuksi ya kuto olewa tena na vijana wenzake.

Babu la miaka 54 kumkatikia kiuno mtoto wa miaka 9 ni laana kubwa sana.

Ndio maana mtume aliuliwa kama mbwa kwa kulishwa sumu ya Mamba.

Laana zilimjaa.
Kulala na vitoto vichanga bila soni. Aisha

Kupora mke wa mtoto wake wa kufikia bila haya. Zynab

Kuua familia nzima na kupora mke wa marehemu na kulala naye siku hiyo hiyo bila huruma. Safiya

Kuwafundisha muslima kutamani vitoto vya chekechea bila aibu. Iran, Iraq, Afghanistan, Yemen, Tanzania nk.

Laana na ziwe juu yake.
 
Mariamu alichumbiwa akiwa na miaka 9?
Umri haukutajwa ila alikuwa ni bikra maana yake ni mdogo , zamani watoto wa kike walikuwa hawana nafasi kwenye jamii , mzazi anasubiri uvunje ungo akuoze, ndio maana hata kwenye KOO za wayahudi ni wanaume tu ndio wanandikwa kwenye ukoo, hii ni dalili tosha kuwa hawakuwa na nafasi
 
Nani alitaka kue-edit Sahih Bulgaria,Quran? Unaweza kuweka link hapa ?

Unajua kwamba kuna Quran zaidi ya 29? Unajua kwamba Quran inayotumika Tanzania (Warsh) hairuhusiwi kutumika Morocco, Tunisia na Libya? Ukikamatwa nayo Libya unaweza kuhukumiwa kifo,kule wanatumia Qaloon Quran chief.

Ile dhana kwamba Quran ni moja tu imekuwa debunked miaka ya karibuni,ndiyo maana wanazuoni wakubwa wa kiislamu hawaiongelei tena.
Weka Hapa Hizo Quran Tuzisome Acha Mbambamba Kila Kitu Kipo Mtandaoni.
NB:QURAN SIO BIBLE KWAMBA KUNA BIBLE YA KIMATUMBI KICHINA KIMAKONDE.
NDIO MAANA MWISLAM ANAINGIA MSIKITI WA NCHI YOYOTE ANASWALISHA WATU WANA MFUATA ANAMALIZA ANASEPA .
 
Hivi mwanaume unaanzaje kumtamani kimapenzi mtoto wa miaka 6? Huu si ukichaa kabisa huu...
Unaweza kumtamani ukipagawa na wale wadudu.
We hushangai mwanamume rijari kushindwa kuvutiwa na wadada warembo kabisa.

Badala yake unavutiwa na wanamume na midevu yao ambao hawana uke bali matako makavu.
Unaweza kuendelea kushangaa pia ni kwanini atamani matako ya wanamume tu, na sio ya wanawake.

Ukipagawa na hao wadudu huwa unashindwa kabisa kujitambua na kuishia kumilikiwa nafsi yako na hao wadudu na kupelekea kufanya na kutamani mambo yasiyokuwa ya asili

Ni kwamba unakuwa nje ya ufahamu wa kibinadamu.

Ushahidi upo mwingi tu kuwa yule mtu pia alipagawa na wadudu, na kushindwa kujimiliki.
 
Hivyo vitoto ni bora basi vingeolewa na watoto wenzao au wa rika la uteneja.

Vitoto vya miaka 9 vinaolewa na libabu la miaka 70+ limeshatumika hadi limechakaa.

Linaishia kumpa laana ya Ujane tu na nuksi ya kuto olewa tena na vijana wenzake.

Babu la miaka 54 kumkatikia kiuno mtoto wa miaka 9 ni laana kubwa sana.

Ndio maana mtume aliuliwa kama mbwa kwa kulishwa sumu ya Mamba.

Laana zilimjaa.
Kulala na vitoto vichanga bila soni. Aisha

Kupora mke wa mtoto wake wa kufikia bila haya. Zynab

Kuua familia nzima na kupora mke wa marehemu na kulala naye siku hiyo hiyo bila huruma. Safiya

Kuwafundisha muslima kutamani vitoto vya chekechea bila aibu. Iran, Iraq, Afghanistan, Yemen, Tanzania nk.

Laana na ziwe juu yake.
Huna Tofauti Na Wanaoilaani America Kwa Matendo Yake Ila Hawana Cha Kuifanya Na Wewe Unapiga Ngonjera Kwa Mtu Mwenye Wafuasi Mabilioni Duniani Tena Miongoni Mwao Wapo walio Kuzidi Kila Kitu Tena Sio Wewe Kizazi Chenu Chote.

Bila Ya Shaka Wewe Ni Taahira Narudia Wewe Ni Taahira Soma Kwa Nguvu Sentesi Hii.
MIMI NI CHIZI.
 
Huyo mudi alikuwa na nyege za bata pumbavu zake..!! Halafu watu na kende zao wako busy kushadadia upuuzi wake 😡
WEWE KAMUULIZE MAMA AKO AMETOLEWA BIKIRA AKIWA NA UMRI GANI.
AU WEWE UMETOLEWA BIKIRA UKIWA NA UMRI GANI?
 
Umri haukutajwa ila alikuwa ni bikra maana yake ni mdogo , zamani watoto wa kike walikuwa hawana nafasi kwenye jamii , mzazi anasubiri uvunje ungo akuoze, ndio maana hata kwenye KOO za wayahudi ni wanaume tu ndio wanandikwa kwenye ukoo, hii ni dalili tosha kuwa hawakuwa na nafa
Kwani hakuwezi kuwa na mwanamke mwenye miaka 40 bikra?
Bi. Khadija wakati anaolewa na mtume hakuwa bikra?
 
WEWE KAMUULIZE MAMA AKO AMETOLEWA BIKIRA AKIWA NA UMRI GANI.
AU WEWE UMETOLEWA BIKIRA UKIWA NA UMRI GANI?
Akiwa na utayari wa kuwa mwanamke kamili, usinambie mama yako alitolewa na 9yrs 😥

Mimi bado na Sina haraka ya kutolewa bikra
 
Back
Top Bottom