Binadamu waliishi kabla ya hizi shule, mtoto wa kike akibalehe alikuwa anaozwa tu bila kujali umri wake , suala la NDOA ni maamuzi ya mzazi sio binti , shida yako ni kulinganisha maisha ya sasa na maisha wakati maandiko yanatoka, hata Mariam alikuwa bikra na alikuwa binti mdogo sana lakini tayari alisha chumbiwa na Joseph ambaye alikuwa na mkubwa sana kwake, hoja yako haina mashaka kwa nyakati za maandiko, ukiangalia wayahudi hata kwenye UKOO watoto wa kike walikuwa hawawekwi kwasababu wakibalehe wanaenda uko kwa waume zao