Bi Aisha r.a binti Abubakr aliolewa na mtume miaka3 baada ya mke wa kwanza wa mtume kufariki bi Hadija r.a, aliolewa mwaka wa pili wa hijiria ya hija ya pili tu. Aysha alikua ni mdogo wake Asmah r.a binti Abubakr aliye mzidi miaka 10 ambae kipindi cha hija ya kwanza Asema binti Abubakr alikua na miaka 27. Kihivyo Aysha alikua na 17 iweje Bukhari atuambia Aysha was 9 during hijra?
Asma’ b. Abi Bakr al-Siddiq…she was the sister of ʿA’yshah through her father’s [side i.e. Abu Bakr] and she was older than ʿA’yshah and was born twenty-seven years before History [i.e. Hijrah].
See: al-Isfahani, Abu Naʿim Ahmad b. ʿAbd Allah (d. 430 A.H/1038 C.E), Maʿrifat al-Sahabah, VI: 3253, no. 3769 (retrieved from al-Jamiʿ al-Kabir).
Al-Tabarani [d. 360 A.H/970 C.E] writes:
مَاتَتْ
N:B zipo hadithi zaidi ya 20+ zinazozungumza umri wa Asmah kipindi cha hijra kuhama kwa mtume kuja maka na yeye kufariki akiwa na miaka 100 ambapo ulikua mwaka wa 73 hijra, ndio maana ukweli halisi wa jambo haupatikani kwa hadithi