Mtoto halali na hela
JF-Expert Member
- Aug 10, 2012
- 55,727
- 55,401
Acha uzembe na kuishi maisha ambayo sio yako, ulipokopesheka huenda 50% ya huo mkopo imelika kuonyesha wana una ajira na unalipwa vizuri one mistake one goal ila unaweza fanya comeback ya maana na maisha yakaendelea kama umeshajifunza na akili ikakomaaWala sio mwalimu.
Kazi ninayofanya inanipa posho pia mkuu.
kuna mbinu za kijasiriamali za kugenerate capital.Kama huna mtaji na unakopesheka unatakiwa ufanyeje ili uanze biashara
ad hominem fallacyau huwa mnashauri kama mmekatwa vichwa.
Ashakwambia kawa mtu wa tungi Sasa Kuna nn hapo.Kama serekari karibu zote duniani zinakopa, wewe nani usikope?
Kama bado kiwango chako cha kukopesheka ni himilivu, kopa tu, muhimu usirudie makosa uliyofanya katika mkopo wa kwanza.
% kubwa ya hio ela ya mikopo Alinunua nguo na vitu vya ndaniAcha uzembe na kuishi maisha ambayo sio yako, ulipokopesheka huenda 50% ya huo mkopo imelika kuonyesha wana una ajira na unalipwa vizuri one mistake one goal ila unaweza fanya comeback ya maana na maisha yakaendelea kama umeshajifunza na akili ikakomaa
TV nchi 70???% kubwa ya hio ela ya mikopo Alinunua nguo na vitu vya ndani
Something like that, umesahau pamba kali...kadet za kutosha mashati, t-shirt, jeans,viatu ,sendo na saaTV nchi 70???
Fridge
Saboufa
Kitanda
Godoro
Hahaha mule mule . Unampiga pamba ukifika pale halmashauri unaimbwa wewe tuSomething like that, umesahau pamba kali...kadet za kutosha mashati, t-shirt, jeans,viatu ,sendo na saa
Ungeeleza hiyo mil12 umeifanyia nnMimi ni muajiriwa serikali nina mwaka wa 3 sasa.
Nimefeli maisha ila sijakata tamaa.
Niliajiriwa na Take Home ya Laki 7 kwa Msukumo wa maisha maana nilikaa muda mwingi mtaani mara baada ya kuthibitishwa nilikopa bank million 12 kwa miaka 5 nikitarajia nitafanya biashara na kiuhalisia nilifanya biashara na kilimo ila zimefeli zote japo kwa kufanya self evaluation ni uzembe wangu binafsi nimeona.
Nimebaki na Take Home ya Laki 4 nina familia ya mke na mtoto 1 ninapambana kibishi japo kibayq zaidi nimepata mwanamke asiye mpambanaji japo ili sio la kulaumu hapo uzembe ni wangu pia.
Kwanini nimekuja kwenu.
Mimi nimeshafanya self evaluation nimeona kabisa nimefeli maisha na nisipokuwa makini naenda kupotea.
Nimeanza kuwa mlevi mtu nisiyejijali kibaya zaidi nimeingia kwenye madeni hadi haya ya kausha damu.
Ninapoongea hapa mwezi huu mshahara napata laki 2 maana nalipa madeni.
Sasa wakuu naomba kwa ukali au hekima karibuni kunishauri.
Nimemtoa mke wangu maana naona kama mzigo sio mtu anayependa kujishughulisha hapa nilishamfungulia biashara pia kwenye huo mkopo na aliua.
Leo nimekaa nimeona nikope kama million 8 nijilipue tena kwenye biashara.
Nitabaki na take home ya laki 3 ndani ya miaka 4 iliyobaki kadi ni muachie yeye adili na chakula.
Mimi huu mkopo wa million 8 nife nao kama nitafeli nifeli tu.
Kiuhalisia sina option yoyote kwa sasa hata mkinishauri ni save nipate mtaji mtakuwa mnanionea bure.
Karibuni kwa ushauri wakuu.
Anamlaumu mkewe biashara kufa wakati hata yeye pia mwenye mtaji mkubwa biashara ilikufa.Kama na wewe biashara yako ilikufa kwanini uone mkeo ni mzigo. Inawezekana unampa biashara hapo hapo unamwachia na masuala yote ya jikoni. Lazima biashara itakufa.
Mke anaweza kuwa kibiashara hayupo vizuri lakini kama ana utii unaweza mfundisha na mwisho wa siku mkawa na mtazamo ambao unakaribiana.
Kabla ya kuchukua huo mkopo hakikisha umejiridhisha na hiyo biashara. Usichukue then ndo unaendelea kutafuta nini cha kufanya. Utakula yote.
Pia biashara haitaki ulevi. Acha ulevi kwanza then ndo uanze biashara.
Hapa nimejifunza kituUtaniwia radhi mkuu.
Adui yako wa kwanza ni kutaka kuishi maisha yasio yako(nje ya kipato chako)
Pili ni mke wako(huyo anaweza kuwa kirusi na nguzo ya kukushusha chini usipojipambanua kama mwanaume)
Tatu ni anasa(pombe) hii ushawishi wake mkubwa upo kwa watu unaokuwa nao, nayo hupelekea pia kuishi nje ya kipato chako kwenye mambo ya kununuliana na kuchafua meza ilihali una mambo chungumzima hujayakamilisha.
Ziada, chunga sana tena chunga zaidi huyo mkeo anaweza kuwa chanzo cha anguko lako( kwa maelezo yako anaonekana ni mtu wa kutrend kila toleo la kitu anataka awe nalo ilihali kipato chenu hakiruhusu kuishi kwa trend).
#Hallelujah!!!
Kamwe usianzishe malengo mapya tofauti na yale ya awali mara baada ya kukopa.Hii kanuni imenisaidia mno.Yah hapa sikupingi kaka..ila nimeshafanya self evaluation nimeona mahali nilipokosea hela nilipoipokea niliona kubwa so karibia million5 ikaishia kununua vitu vya ndani na nguo na kiasi kidogo nikapeleka kwa biashara ila sikuwa seriously japo
Siku shauri ukope ukiwa kwenye hali hiyo. Kwasasa jitahidi kurudisha amani kati yako na mwenzako.Mimi ni muajiriwa serikali nina mwaka wa 3 sasa.