Miradi mikubwa haikuanza kipindi cha Hayati Magufuli pekee

Kilichokufanya uandike ndo hicho kinachomfanya JPM aonekane bora sana kwenye miundo mbinu.
Suala la muda tu bandari ya Bagamoyo ikifanyika, Gesi ikianza kuchimbwa, njia 8 Hadi moro, meli za bahari kuu n.k ndio mtagundua kwamba haya mambo ni recurrent Wala hayahitaji binadamu mmoja. Mlikua na propaganda za kishamba sana.
 
Hapana kumekua na kelele nyingi sana mfano Mama kamalizia Bwawa ila kelele zikawa kibao kwamba bila JPM wasingeweza!! Leo meli imeshushwa kelele kibao kuwa
Wewe chizi bwawa gani mama amemaliza
 
Na huyo mme wako zitto amefaifanyia nini Tanzania
 
Kama isingewezekana bila JPM imekuaje Sasa hao kina January na Samia tulioambiwa ni mafisadi wamemaliza bwawa na wanalijaza Maji? Au akifanya JPM pekee ndio anaweza wengine hawawezi chochote?
Kwa January ndio tumuhusudu kajenga bwawa la nyerere yaani wewe ni chizi.ila kuna Majitu majinga Tanzania hii
 
Wacha wee! Awamu yenu mnayoiita ya 6 mmeanzisha mradi upi?
 
Kama ilikuwa toka 1974 kwa nn hao waliopita hakuweza kutekeleza?
Ilani ya uchaguzi 2015 ilisema bandari ya Bagamoyo itajengwa ila JPM alifanikiwa?? Si amekuja Mama ndio katenga bajeti ujenzi uanze.

So punguzeni ujuaji yeye alidai Bwawa lilikua ubunifu wa JPM wakati sio kweli ni ubunifu wa Nyerere tokea 1970s huko sema tulikosa Hela tu za kujenga.
 
Wacha wee! Awamu yenu mnayoiita ya 6 mmeanzisha mradi upi?
Bandari ya Bagamoyo
Kinyerezi 3 inakuja
Hydro power Malagarasi n.k

Ikianza ujenzi usikimbie tu JF!! Punguzeni chuki nyie sukuma gang
 
Bandari ya Bagamoyo
Kinyerezi 3 inakuja
Hydro power Malagarasi n.k

Ikianza ujenzi usikimbie tu JF!! Punguzeni chuki nyie sukuma gang
Hydropower malagarasi aliyekwambia imeanzishwa sahizi nani? Bagamoyo ni mradi wa familia ya fisadi la msoga usichanganye na miradi ya kimkakati ya taifa. Ukikamilika huo mradi nishtue.
 
Kasikilize hotuba za kikwete na Mkapa kuhusu uwaziri wa huyo Magufuri. Hakuna Rais anayejenga barabara
 
Hydropower malagarasi aliyekwambia imeanzishwa sahizi nani? Bagamoyo ni mradi wa familia ya fisadi la msoga usichanganye na miradi ya kimkakati ya taifa. Ukikamilika huo mradi nishtue.
Sawa tupo hapa nitafufua huu Uzi Kila mradi ukikamilika Ili chuki zenu zizidi kuongezeka.
 
Kasikilize hotuba za kikwete na Mkapa kuhusu uwaziri wa huyo Magufuri. Hakuna Rais anayejenga barabara
Ooh kumbe Makame Mbarawa alijenga Barabara awamu ya 5!! Kumbe JPM hakufanya kitu alipokua Rais maana miundombinu ilikua na waziri wake!!!
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…