Walnut Creek
JF-Expert Member
- Mar 17, 2009
- 5,830
- 6,315
Wamekusikia kubwa jinga.Hiv.mnashindwaje kufunga karanga za mayai,kwenda na dumu la mtindi unawauzia staff wenzako,jufuga kuku je? Unashindwaje kufunga ice cream za ubuyu unapiga sh 100 za watoto,hivo vi ist mnavyokopa.unapakia ma hotpot ya chakula mchana unawauzia wenzio wizara nzima
Milioni 2.5 yote hiyo... Hata laki7 hatufikiii.... Ni laki 6 na chenjichenji tu.Hawazidi milioni 2.5
Wewe unauza nini?kwa akili yako unahisi watumishi wa umma ni walimu tu?punguzeni kujifanya mnajua unaweza kuwa unavimba hapa Kumbe we mwnyw shoga tu sometime muwe mnavunga yasiyowahusu maku weweHiv.mnashindwaje kufunga karanga za mayai,kwenda na dumu la mtindi unawauzia staff wenzako,jufuga kuku je? Unashindwaje kufunga ice cream za ubuyu unapiga sh 100 za watoto,hivo vi ist mnavyokopa.unapakia ma hotpot ya chakula mchana unawauzia wenzio wizara nzima
Solidarity forever 😭 😭 😭 😭 😭....... solidarity ya nyokwe ...Bado yani mpaka tuseme.....Poleni sana wananchi, Serikali inaweka mazingira rafiki kuepusha hali hii isijirudie tena tunaomba uvumilivu wenu ili tupate nasi nguvu ya kutenda maono ya Mhe Rais na 4R na kuhakikisha mshahara mwisho wa mwezi huu uwafikie wote kwa pamoja.. CCM oyee wafanyakazi Oyee
Uzuri ni kwamba kila mtu akilia ana shika kichwa chake...siwezi kulia huku mikono imeshika kichwa Cha mwingine.....kubaaabeki....Hii nchi aliyeajiriwa na asiye na ajira vilio vinafanana
Uwe utumwa wa umma au kijiko...sawa tu.Mje huku tupige bodaboda mazee kunapesa chafu huku .
Achaneni na utumwa wa umma
Unataka wategemee kitu ambacho hawakifanyii kazi? Unatumia makalio kufikiriYaani nyie watumishi njaa huwa nashindwa kabisa kuwaelewa, hamnabuvumilivu kabisaaa ndio matatizo ya kuishi kwa kutegemea mshahara hayo
Wapi 2.5mlNiliwahi kusoma mahali nadhani ni NBS zamani sana wakisema watumishi wa umma ni 8 percent ya working population na kila mwaka wanaongezwa 2 percent. Sidhani wanafika 7m, hao ni wengi mno!!
Wewe lazima utakuwa Mwalimu maana mnaishi maisha ya hovyo sanaKuna Kila dalili serikali kuwaonea huruma watumishi wa umma
Hadi Leo tar 23.6.2024 mishahara haijatoka.
Hili ni tatizo ,na ukiona serikali imeshindwa kulipa watumishi wake jua ipo mwishoni.
Mwezi haujaisha my sisterKuna Kila dalili serikali kuwaonea huruma watumishi wa umma
Hadi Leo tar 23.6.2024 mishahara haijatoka.
Hili ni tatizo ,na ukiona serikali imeshindwa kulipa watumishi wake jua ipo mwishoni.
Kauli za uongo na uchochezi hivi sio sawaZanzibar wamelipwa tokea tarehe 13 June kwa sababu ya sikukuu
PolisiWewe lazima utakuwa Mwalimu maana mnaishi maisha ya hovyo sana
We Dada ni mchochezi wa kiwango cha juu na ni tishio kwa jamii iliyo na ustaarabu.Kesho sehemu kubwa ya mgomo wa wafanya biashara, mtasababisha watumishi wa umma,waingie kwenye huo mgomo.
Nyie ndio mnafanya maisha wa watu wote kuwa siasaSiasa ndio adui wa mtanzania
Mshahara hauhitaji siasa…. Wewe unaleta siasa
Lipeni watumishi kwa wakati,dalili za kufilisika ni kukopa ili kuweza kulipa watumishi mishahara.Utaishia hivyo hivyo
Kuliko kumuuliza umeajiriwa wewe ndio ungjiuliza una ujinga kiasi gani lini .... Mishahara tangu awamu ya Tano IMEINGIZA ni tarehe 21-23.... Imeshatoka kila Mwezi...kipindi Cha awamu ya .... Kipindi Cha awamu ya nne ilikuwa 25-28 imeshatoka... Haya Mimi nipo kazini mwaka wa 15 .msingi ni mzunguko usio zaidi ya siku 31...una swali lingine!??Umeajiriwa lini?
Maana kimkataba mshahara ubatakiwa kulipwa mwisho ww mwezi
Utalipwa by mwisho wa mwezi
Leo tarehe 24, Jana ni jumapili ambayo ni tarehe 23 halafu unasema mshahara umechelewa? Tofauti ya siku Moja au mbili unasema mshahara unachelewa? Hii nchi kuiongoza ni kazi ngumu sanaKuna Kila dalili serikali kuwaonea huruma watumishi wa umma
Hadi Leo tar 23.6.2024 mishahara haijatoka.
Hili ni tatizo ,na ukiona serikali imeshindwa kulipa watumishi wake jua ipo mwishoni.