Samaki, kuku, pork ni majaliwa! Kama mwaka huu kuku amekufa mara moja. Haya mabroiler hatuli.MKUU SAMAKI UNAKULA LINI?
Kitu ambacho nimefeli maishani mwangu ni kujiwekea bajeti ya chakula mfano Jumatatu nitakula kitu fulani kwa kiasi hiki au niwekee kiasi fulani kwa ajili ya matumizi ya mwezi mzima?
mm nipo vizuri sana kwenye suala la matumizi na najua vzuri kujibana kwenye mambo ambayo sio ya msingi kwasababu kipato changu ni cha kawaida ila budget ya chakula imenishinda aise nanunua vitu vya jumla kama mchele na mahindi(huwa nasaga mwenyewe mashineni dona) vzuri tu ila siwez kujiwekea mfano 20k kwa ajili ya wiki nzima mboga SIWEZI AISEEE......nakula sana mboga za majani na matunda haipiti siku sijala tunda na maji mengii ya kutosha,sikumbuki mara ya mwisho kupika samaki,dagaa,njegere au maharagwe na sijaweka naziSamaki, kuku, pork ni majaliwa! Kama mwaka huu kuku amekufa mara moja. Haya mabroiler hatuli.
Budget na aina ya chakula na kiasi ni muhimu Kwa upande wangu. Lakini sijifungi lazima Nile kitu fulani jumatatu. But all east Kila wiki kuna vitu tutakula!
Una tofauti gani na ambao hawafanyi hivyo ukijiangaliamm nipo vizuri sana kwenye suala la matumizi na najua vzuri kujibana kwenye mambo ambayo sio ya msingi kwasababu kipato changu ni cha kawaida ila budget ya chakula imenishinda aise nanunua vitu vya jumla kama mchele na mahindi(huwa nasaga mwenyewe mashineni dona) vzuri tu ila siwez kujiwekea mfano 20k kwa ajili ya wiki nzima mboga SIWEZI AISEEE......nakula sana mboga za majani na matunda haipiti siku sijala tunda na maji mengii ya kutosha,sikumbuki mara ya mwisho kupika samaki,dagaa,njegere au maharagwe na sijaweka nazi
SIJAKUELEWA KWENYE CONTEXT IPI ?Una tofauti gani na ambao hawafanyi hivyo ukijiangalia
Sent from my Infinix X6517 using JamiiForums mobile app
mishahara kama ukikatwa ukabaki na koma moja tu huo sio mshahara ni Posho!!😂😂😂😂Sawa mkuu wangu!!
Tupambane niko kwenye utumishi pia wizara ya Afya mwaka mmoja tu ila nina ndugu zangu wawili askari magereza na Mwalimu kias flan najua hizi habari kikubwa tupambane tu mishahara kama ukikatwa ukabaki na koma moja tu huo sio mshahara ni Posho!!
Sasa unabaki na 517,200/= huu unaita ni mshaharamishahara kama ukikatwa ukabaki na koma moja tu huo sio mshahara ni Posho!!😂😂😂😂
CRDB wezi sanaBenki ziko nyingi wao wanakumbatia nmb tu.
crdb iko poa sana
Hiyo ni posho mkuu, mshahara una koma mbili au tatu, tuendelee kula miguu ya kuku.Sasa unabaki na 517,200/= huu unaita ni mshahara
Mishahara ya TZ mizuri sana ukiisikia Basic njoo Takehome sasa Mungu anajua
NMB washatoa toka saa tatu kamili asubuhi sijui bank nyingine.
Naona hapa pamoja HESLB na madeni mengineyoSasa unabaki na 517,200/= huu unaita ni mshahara
Mishahara ya TZ mizuri sana ukiisikia Basic njoo Takehome sasa Mungu anajua
Asante mkuuNMB washatoa toka saa tatu kamili asubuhi sijui bank nyingine.
Watu tushamaliza mshahara mkuuHizi people mshahara umekaza wameubana safari hii maji tutaija maa
CRDB tangu jana Saa kumi na mbili dk 50 JiioniNMB washatoa toka saa tatu kamili asubuhi sijui bank nyingine.
Extra duty allowance ya mfanyakazi wa wizara kwa mwezi tena ni 1m sio hiyoHiyo ni allowance ya mtu.. hapo hujagusa Mshahara.. hawa Waalim kwa kweli huruma sana.
CRDB tangu jana Saa kumi na mbili dk 50 Jiioni
😡😡😡
Kwangu hamna kitu! Au system ishanitema kimya kimyaWatu tushamaliza mshahara mkuu
Dah utapta tu mkuu mimi mwenyew nilipokea meseji sikuamini maana wenzangu wote wanaotumia NMB walikuwa hawajapata ila wengi wamepata leo wa NMBKwangu hamna kitu! Au system ishanitema kimya kimya