Yaani nimeshangaa sana mkuu yaani watu wanavyolalamika ni kama kila mwezi inatokea hivyo yaani mtu kitu kidogo kashapost what kind of generation we have yaani watumishi hawana maadili kabisa.Ma HRO siku hizi hawafanyi Orientation ya Kikanuni na sheria..Kwa hyo watumishi wengi hawajui hata Kanuni za Maadili ya Utumishi wa umma...
Unakuta mtumishi kazinguana na Boss wake atakuja huku kufungua Uzi.
Kikubwa Serikali kupitia Halmashauri zake iangalie snaa hata kupublish vitu vya kiutumishi Public huwa tunafanya makosa sema kuna wakati kwenye kuelimisha kidgo n8 sawa...
Mkuu maelezo yangu ni tofauti na mfano wako soma vizuri utanielewa kuna kutoa taarifa na kulalamika hapo kwa mangi umetoa taarifa it's totally different na kukaa kijiweni kuwapigia story watu kwamba mshahara haujatoka.Kwa hiyo mangi ambae anajua huwa namlipa tarehe 22 au 23 nitamwambia nini? Lazima niseme haujatoka and it does not necessarily mean kulalamika
Mshahara binafsi mkuu.Fungu la mishahara linakuwaje siri ili hali linapitishwa bungeni? au unamaanisha mshahara wa mtu binafsi.
Punguza hasira mimi sihusiki na kutoa mishahara point yangu ni kuropoka ropoka mpaka kijiweni au umesema mwanzo tu hujasoma mpaka mwisho comment yangu.SASA NA WEWE KWENYE VITU VYA SIRI UMEONA NI MSHAHARA HIVI WATZ TUPOJE SISI TUPO KIUWOGAUWOGA SANA
Kupitia kwenye hili sakata la kuchelewa kwa mishahara nimegundua kuwa watumishi wengi siku hizi wakiajiriwa hawapati mafunzo ya kiutumishi kitu kidogo mtu ameshapost yaani mpaka boda wanajua mshahara haujatoka nimeshangaa zaidi kusikia mtangazaji anaongelea hii issue kwenye redio hawa ajira mpya na watumishi wengine wa umma wanatakiwa waenda training hawana siri waliropoka mpaka kiasi cha hela walichoongezewa kwenye mishahara yao mamlaka hamlioni hili ndio maana mambo mengi yanavuja kabla ya mda.
Kitu kidogo ndio niambie mara ya mwisho kutokea hali hii ilikuwa lini.Mishahara kuchelewa ni kitu kidogo? Mkuu Nina deni Kwa mangi, watoto wananiangalia ww unasema kitu kidogo....
Sio kitu kidogo.Kitu kidogo ndio niambie mara ya mwisho kutokea hali hii ilikuwa lini.
yaani wamezingua sana wakina nchembaaWaeke maokoto hayo.. watu tunamipango yetu
Bi tozo hana hela!yaani wamezingua sana wakina nchembaa
[emoji38][emoji38][emoji38][emoji38] ila maisha magumu jamani huku ikiwa imekatwa asilimia za kutosha huku walowapatia elimu wanavuta vitambi na kuamua lini wawalipe[emoji1430][emoji1430]Mwalimu Kalokola, huku akishushia kangala la mkopo akiwa na kishikwambi kapwani. Mwalimu huyu anasema walimu wana maisha magumu sana.
Mshahara ukichelewa kidogo tu na mikopo inaongezeka.
Walimu wengi walitarajia mishahara kutoka Jumamosi tar 21 lakini haijatoka.
Huenda ikatoka kesho tar 23. Lakini walimu wengi hawana kitu. Hivyo kesho watarundikana kwanza benki za NMB kuhakikisha wanatoa pesa kwanza ili walipe madeni na kuacha nyumba zao ziko salama. Hii itasababisha wasiende kufundisha kwanza.
Out of this topic hilo halihusiani na mada yetu ya leo.Acha kulaumu watumishi kwenye uvunjaji wa kanuni kwa kulilia mishahara(kama kweli ni kosa).
Je yule mwajiri aliyeweka barua ya kumtaka mtumishi arudi kazini kwenye ubao wa matangazo na mitandao alikuwa sahihi?!
Hata kama ukitoka tarehe 20 sio sheria ulipwe tarehe 20 maana mshahara unatakiwa kutoka mwisho wa mwezi.mwisho wa mwezi ni lini?Kama mshahara uliopita ulilipwa tarehe 24, ili kukamilisha siku 30 za mwezi mshahara wa mwezi huu unatakiwa kutoka siku gani?
Sina cha kukwambia ila tu Acha utani na maisha ya watu.kuwa serious na maisha ya watu mkuuKupitia kwenye hili sakata la kuchelewa kwa mishahara nimegundua kuwa watumishi wengi siku hizi wakiajiriwa hawapati mafunzo ya kiutumishi kitu kidogo mtu ameshapost yaani mpaka boda wanajua mshahara haujatoka nimeshangaa zaidi kusikia mtangazaji anaongelea hii issue kwenye redio hawa ajira mpya na watumishi wengine wa umma wanatakiwa waenda training hawana siri waliropoka mpaka kiasi cha hela walichoongezewa kwenye mishahara yao mamlaka hamlioni hili ndio maana mambo mengi yanavuja kabla ya mda.
Hebu twambie ni sheria gani na kufungu gani cha sheria hiyo kinasema mshahara unatakiwa kutoka mwisho wa mwezi? Na je kama uliopita ulitoka tarehe 22 Septemba, mwisho wa mwezi kwako ni tarehe ngapi? Tatizo wengine humu mnajifanya wajuaji kumbe zero kabisaHata kama ukitoka tarehe 20 sio sheria ulipwe tarehe 20 maana mshahara unatakiwa kutoka mwisho wa mwezi.mwisho wa mwezi ni lini?
Sent from my Infinix X6517 using JamiiForums mobile app