Mishahara imechelewa kutoka, walimu wana maisha magumu sana

Mishahara imechelewa kutoka, walimu wana maisha magumu sana

Ma HRO siku hizi hawafanyi Orientation ya Kikanuni na sheria..Kwa hyo watumishi wengi hawajui hata Kanuni za Maadili ya Utumishi wa umma...

Unakuta mtumishi kazinguana na Boss wake atakuja huku kufungua Uzi.
Kikubwa Serikali kupitia Halmashauri zake iangalie snaa hata kupublish vitu vya kiutumishi Public huwa tunafanya makosa sema kuna wakati kwenye kuelimisha kidgo n8 sawa...
Yaani nimeshangaa sana mkuu yaani watu wanavyolalamika ni kama kila mwezi inatokea hivyo yaani mtu kitu kidogo kashapost what kind of generation we have yaani watumishi hawana maadili kabisa.
 
Kwa hiyo mangi ambae anajua huwa namlipa tarehe 22 au 23 nitamwambia nini? Lazima niseme haujatoka and it does not necessarily mean kulalamika
Mkuu maelezo yangu ni tofauti na mfano wako soma vizuri utanielewa kuna kutoa taarifa na kulalamika hapo kwa mangi umetoa taarifa it's totally different na kukaa kijiweni kuwapigia story watu kwamba mshahara haujatoka.
 
SASA NA WEWE KWENYE VITU VYA SIRI UMEONA NI MSHAHARA HIVI WATZ TUPOJE SISI TUPO KIUWOGAUWOGA SANA
Punguza hasira mimi sihusiki na kutoa mishahara point yangu ni kuropoka ropoka mpaka kijiweni au umesema mwanzo tu hujasoma mpaka mwisho comment yangu.
 
Acha kulaumu watumishi kwenye uvunjaji wa kanuni kwa kulilia mishahara(kama kweli ni kosa).
Je yule mwajiri aliyeweka barua ya kumtaka mtumishi arudi kazini kwenye ubao wa matangazo na mitandao alikuwa sahihi?!
Kupitia kwenye hili sakata la kuchelewa kwa mishahara nimegundua kuwa watumishi wengi siku hizi wakiajiriwa hawapati mafunzo ya kiutumishi kitu kidogo mtu ameshapost yaani mpaka boda wanajua mshahara haujatoka nimeshangaa zaidi kusikia mtangazaji anaongelea hii issue kwenye redio hawa ajira mpya na watumishi wengine wa umma wanatakiwa waenda training hawana siri waliropoka mpaka kiasi cha hela walichoongezewa kwenye mishahara yao mamlaka hamlioni hili ndio maana mambo mengi yanavuja kabla ya mda.
 
Kitu kidogo ndio niambie mara ya mwisho kutokea hali hii ilikuwa lini.
Sio kitu kidogo.
Basi kunatakiwa kuwe na maelezo kwamba kuna challenge fulani that is understandable. Haya mambo ya kuchukulia vitu poa poa tu sio kabisa. Kama kuna challenge must be communicated. Mimi nimesoma na mkopo wa heslb wakati ule bumu ilikua buku mbili na jero Kwa siku. Yaani unawekewa siku wakijisikia. Bumu linachelewa hata wiki tatu?

Then I got a scholarship kusoma Uk. Yaani stipend unawekewa tarehe ya mwisho wa mwezi. Mwaka mzima nilikua huko stipend haijawahi Chelewa hata Kwa sekunde mbili. Kama mwezi unaisha tarehe 28. Ujue tarehe 28 chap you have your money.

Bongo sasa Kila kitu ni vurumai
 
Kuna mtu aliwalazimisha kusaini mkataba kufanya kazi ya ualimu? Uzuri ukiacha hutalazimishwa kumlipa fidia muajiri ukivunja mkataba kinyemela. Huwa nawashangaa sana kulalamika eti maisha ni magumu wakati mna akili za kujiongeza na mkapata hela bila kutegemea mshahara
 
Mwalimu Kalokola, huku akishushia kangala la mkopo akiwa na kishikwambi kapwani. Mwalimu huyu anasema walimu wana maisha magumu sana.

Mshahara ukichelewa kidogo tu na mikopo inaongezeka.

Walimu wengi walitarajia mishahara kutoka Jumamosi tar 21 lakini haijatoka.

Huenda ikatoka kesho tar 23. Lakini walimu wengi hawana kitu. Hivyo kesho watarundikana kwanza benki za NMB kuhakikisha wanatoa pesa kwanza ili walipe madeni na kuacha nyumba zao ziko salama. Hii itasababisha wasiende kufundisha kwanza.
[emoji38][emoji38][emoji38][emoji38] ila maisha magumu jamani huku ikiwa imekatwa asilimia za kutosha huku walowapatia elimu wanavuta vitambi na kuamua lini wawalipe[emoji1430][emoji1430]
 
Acha kulaumu watumishi kwenye uvunjaji wa kanuni kwa kulilia mishahara(kama kweli ni kosa).
Je yule mwajiri aliyeweka barua ya kumtaka mtumishi arudi kazini kwenye ubao wa matangazo na mitandao alikuwa sahihi?!
Out of this topic hilo halihusiani na mada yetu ya leo.
 
Kama mshahara uliopita ulilipwa tarehe 24, ili kukamilisha siku 30 za mwezi mshahara wa mwezi huu unatakiwa kutoka siku gani?
Hata kama ukitoka tarehe 20 sio sheria ulipwe tarehe 20 maana mshahara unatakiwa kutoka mwisho wa mwezi.mwisho wa mwezi ni lini?

Sent from my Infinix X6517 using JamiiForums mobile app
 
Kupitia kwenye hili sakata la kuchelewa kwa mishahara nimegundua kuwa watumishi wengi siku hizi wakiajiriwa hawapati mafunzo ya kiutumishi kitu kidogo mtu ameshapost yaani mpaka boda wanajua mshahara haujatoka nimeshangaa zaidi kusikia mtangazaji anaongelea hii issue kwenye redio hawa ajira mpya na watumishi wengine wa umma wanatakiwa waenda training hawana siri waliropoka mpaka kiasi cha hela walichoongezewa kwenye mishahara yao mamlaka hamlioni hili ndio maana mambo mengi yanavuja kabla ya mda.
Sina cha kukwambia ila tu Acha utani na maisha ya watu.kuwa serious na maisha ya watu mkuu
 
Hata kama ukitoka tarehe 20 sio sheria ulipwe tarehe 20 maana mshahara unatakiwa kutoka mwisho wa mwezi.mwisho wa mwezi ni lini?

Sent from my Infinix X6517 using JamiiForums mobile app
Hebu twambie ni sheria gani na kufungu gani cha sheria hiyo kinasema mshahara unatakiwa kutoka mwisho wa mwezi? Na je kama uliopita ulitoka tarehe 22 Septemba, mwisho wa mwezi kwako ni tarehe ngapi? Tatizo wengine humu mnajifanya wajuaji kumbe zero kabisa
 
Back
Top Bottom