pwilo
JF-Expert Member
- May 27, 2015
- 10,913
- 13,876
Yaani nimeshangaa sana mkuu yaani watu wanavyolalamika ni kama kila mwezi inatokea hivyo yaani mtu kitu kidogo kashapost what kind of generation we have yaani watumishi hawana maadili kabisa.Ma HRO siku hizi hawafanyi Orientation ya Kikanuni na sheria..Kwa hyo watumishi wengi hawajui hata Kanuni za Maadili ya Utumishi wa umma...
Unakuta mtumishi kazinguana na Boss wake atakuja huku kufungua Uzi.
Kikubwa Serikali kupitia Halmashauri zake iangalie snaa hata kupublish vitu vya kiutumishi Public huwa tunafanya makosa sema kuna wakati kwenye kuelimisha kidgo n8 sawa...