Mishahara imechelewa kutoka, walimu wana maisha magumu sana

Sio kweli ingekua hivyo wafanyakazi wote wangekua hawajalipwa ,haiwezekani muce ibague

Sent from my Infinix X6517 using JamiiForums mobile app
 
Uongo hujui lolote mishahara yote inalipwa kutoka hazina

Sent from my Infinix X6517 using JamiiForums mobile app
 
Uongo hujui lolote mishahara yote inalipwa kutoka hazina

Sent from my Infinix X6517 using JamiiForums mobile app
πŸ˜…πŸ˜… We jamaa pumzika Stress zitakuua
Sasa kuna sehemu yoyote nimesema Mshahara unalipwa na nani?

Nilichozungumzia hapo juu ni organogram ya kufuata kikanuni ili kupata stahiki zako sijagusia nani analipa mshahara...
Ninajua vizuri zaidi kwamba MUSE ndo wahusika wakubwa wa kulipa mishahara..

Narudia tena
Kupata mshahra ni Haki ya yako ya kiutumishi ukiona hujapata wasiliana na Afisa utumishi wako na yeye atawasilisha swala lako kwa Afisa masuhuli wa Taasisi au wilaya baada ya afisa masuhuli kupata Taarifa yako taratibu zingine zitafuatwa...

Kasome Public finance Government Regulation ya mwaka 2019..
inasemaje kuhusu mishahara halafu njoo uje uandike ulichoandika
 
Acheni dhihaka aisee, mbona kuna waalimu kibao wadegree, nahivi unajua kiwango cha mshahara wa mwalimu wa degree kweli.
Watu wanaongea vitu ambavyo hawavijui ila ki ukweli idara ya ualimu ni moja ya idara inayopokea salary ya kutosha tu...!.
 
"Asante mama Samia Suluhu Hassan..

Salary imeingia ingawa kwa kuchelewa. Umetupandisha madaraja ya kiutumishi kwa mserereko

Samia HOYEEE.[emoji3577]"

Mwisho wa kunukuu
Hizo pesa ni kodi zenu ,hizo pesa ndo mali asili zenu,hizo pesa ndo jasho lako ,hiyo asante unampa ya nini huyo na wakati anajilipa mshahara anao taka yeye na kazi anayo fanya haipo.
Acha ujinga wewe ,mwanasiasa si wa kumpa shukrani hata siku moja,hakuna la maana wanalo fanya zaidi ya kujineemesha wao na familia zao
 
Aiseee
Hii serikali ikipitia huu uzi
Itajua jinsi gani watumishi wake wanapata shida
 
Yani niwasiliane na afisa ambaye naye analalamika hajapata mashahara we jamaaa akili zako finyu

Sent from my Infinix X6517 using JamiiForums mobile app
 
Waalimu lazima walalmike jamani.. Kazi haina poshoo haina rushwaa...haina Overtime haina chochote nje ya mshaharaaa Aisee hii nchi waalimu wanateseka mnoo..!
Ndio watu wajifunze joto la kitaa , na dharau waache , ule ujinga wao wa kudharau vijana hustler kitaa na kuwaambia " mjiajiri "
Ninyi mmetumikia miaka yote hiyo na hamna hata savings kidogo za kusustain maisha siku chache tu .
Watumishi Mminyo kidogo tu kilio kama ngiri pori.
Imagine ugumu wanaokutana nao watu wanaoungaunga kitaa bila sustainable job au biashara wanaishije .
Halafu kijana asiye na ajira kitaa anaambiwa " Jiajiri wewe mpumbavu " mara " vijana wavivu " ,mara "Maisha sio magumu ,muache uvivu "
Kumbe watumishi wakitupwa huku kitaa wanakuwa worse off than jobless youths wa hili taifa ambao wanapigiwa kelele kila siku
 
Kuliaa hakuna maadilii kijanaaa
Nafurahi kuitwa hivyo maana ni Muda sana sijaitwa kijana! πŸ˜…πŸ˜…
Shukrani sana imenifanya nijisikie vizuri πŸ˜…πŸ˜…

Ila Huwezi kulia kila sehemu huku unavunja sheria na kanunia hio haikubaliki!
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…