fogoh2
JF-Expert Member
- Apr 13, 2017
- 5,305
- 5,355
Sio kweli ingekua hivyo wafanyakazi wote wangekua hawajalipwa ,haiwezekani muce ibagueKulikuwa na shida kwenye mfumo wa ulipaji serikalini (MUSE) tangu mwishoni mwa wiki iliyopita nahisi mpaka sasa haujakaa sawa labda ndo sababu. Maana hata malipo ya ndani kwenye mashirika nayo yamekwama kwa sababu ya mfumo. Sidhani kama ni kwa sababu ya serikali kukosa fedha ya kulipa
Sent from my Infinix X6517 using JamiiForums mobile app