Mishahara imechelewa kutoka, walimu wana maisha magumu sana

Mwalim kachafukwa ccm hamuibi tena kura pitia kwa walim
 
Sio vigari sema tukodoo, au tumbuzi , wapi umeona mwalimu anatembelea mnyama, ni tukondoo na tumbuzi wanatembelea
 
Yeah,maisha yanaendelea mkuu....unajua kumdharau MTU usiyemlisha huo ni muwasho kama miwasho mingine mkuu?!
Nilikua sijui mkuu
Sasa nimeelewa hapa...
Hao wenye dharau naimani wana la kujifunza hapa ...
 
🤣🤣🤣🤣🤣
Naongezea "mbwaaaaaa"!
Stress zao wanataka kutumalizia sie, wao waloyapatia maisha huo muda wa kutusakama wanautoa wapi!! Shenzeeee kila anayetaka kujua mshahara kama umetoka anajifanya ni mwalimu.
 
Bil 75 zimelipwa majuzi sidhani kama kibuyu kina chochote hivi sasa
 
Hivi wafanyakazi wengine wa umma ukiacha teachers huwa wanalipwa kiasi gani??..maana ni as if wengine wanalipwaga mamilioni ya pesa kwa mwavyo wadharau humu..
 
Mzee niite Copenhagen, nishachoka😁😁
 
🤣🤣🤣🤣🤣
Naongezea "mbwaaaaaa"!
Stress zao wanataka kutumalizia sie, wao waloyapatia maisha huo muda wa kutusakama wanautoa wapi!! Shenzeeee kila anayetaka kujua mshahara kama umetoka anajifanya ni mwalimu.
Walimu mpo wengi kwa hiyo watu wanaleta hoja zao kupitia mgongo wa walimu ili wahusika washughulikie mapema😂
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…