Mishahara imechelewa kutoka, walimu wana maisha magumu sana

Mshahara tayari umetoka, lakini mshahara uliotoka ni mshahara wa dhambi ni mauti
[emoji1787][emoji1787][emoji1787][emoji1787]Hivi hawajawaweke hela bado maana waalimu wanaweza kuua mtu
 
"Mwalimu Kalokola, huku akishushia kangala la mkopo akiwa na kishikwambi kapwani"

Hii sentensi imenichekesha sana!
[emoji1787][emoji1787][emoji1787]waalimu mateso ni makali
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…