Mishahara kuchelewa, kipimo kingine cha uwezo wa Rais Samia

Labda niwaulize kwa mfano ulilipwa 23 halafu tarehe 30 ukawa tarminated kazi vipi utadai siku 7 za kazi ulizofanya mpaka terehe 30?
Termination ya mtumishi wa umma huwa hisimamishi salary ghafla kiasi hicho. Kwani hukusikia kipindi kile kwamba waliotumbuliwa walikuwa wanaendelea kuitia hasara serikali?
 
Wewe either hujielewi, una shida kichwani au umeathirika kisaikolojia
Kwahiyo ulipoanza kazi ukalipwa siku ya 24 ulikuwa umeshatimiza siku 30 za kulipwa stahiki zako enh [emoji23][emoji23][emoji23]
Halafu wa mfano leo umelipwa tarehe 30 ukafukuzwa kazi je utadai siku 6 za kazi utakazofanya kazi baada ya kulipwa leo tarehe 24.
Kama unakubali ni utaratibu tu uliwekwa wa kulipwa tarehe fulani kabla ya tarehe husika basi usilaumu kwa kuwa upo ndani ya muda wa mwajiri wako unless useme tarehe za kazi za serikali ni siku ya tarehe 24 ikivuka 25 ni mwezi mpya.
 
Yaani hata siku moja yenyewe haijapita.
 
Sasa kama aliweka mishahara fixed, hakuna cha nyongeza wala madaraja kwa miaka 6 ni wazi kusingekuwa na marekebisho yoyote jambo ambalo lisingechelewesha mishahara.....
JPM hakuongez mishahara tu lakini vyeo/madaraja tulikua tunakwea Kama kawada .
 
Tafuta uhuru wa kiuchumi mkuu acha kulalamikia boss yako kila siku.
Si haki yao, wewe binafsi una nini , mbona ni mwepesi tu kiuchumi, unaanzaje lazimisha kila mtu tafuta Uhuru wa kiuchumi, vidole havilingani, na Ndo maana Kuna fundi, mfanyabiashara mkubwa, mdogo, watumishi ngazi tofauti n.k

Watumishi vyanzo vya mapato yao vinajulikana hivyo lazima waulize, acheni propaganda kwenye maisha yao
 
Termination ya mtumishi wa umma huwa hisimamishi salary ghafla kiasi hicho. Kwani hukusikia kipindi kile kwamba waliotumbuliwa walikuwa wanaendelea kuitia hasara serikali?
Nmetoa mfano hapo kwa concept ya kulipwa mshahara tarehe 24 sio mambo ya stahiki au sheria za kazi. Please tofautisha mambo.
 
Hongera mkuu
 
Ni kweli mwisho wa mwaka wa fedha mishahara hutoka mapema kuliko miezi mingine yote. Tetesi ni kuwa mama anaongeza mishahara kwa watu waliopanda madaraja ya mishahara. Taarifa za watumishi waliopanda inadaiwa waajiri wengine wamechelewesha. Kama tetesi hizi siyo kweli basi kuna watu wanataka kumwangusha mama yetu , hatutakubali. Wakubali mapenzi ya Mungu, mbona mama kashasema yeye ndiye Rais.
 
Kipimo ni tarehe 1 July 2021. Ikiiingia 1 July, nitaanza kulalamika kwa sababu June itakuwa imepita bila mshahara.
 
Watumishi wa umma Ni exceptional mkuu ndo maana wanaitwa watumishi wa umma.kama unabisha wakati NIDA wanaandikisha vitambulisho vya taifa niambie kundi gani lilikua la Kwanza kupewa kiupaumbele.
 
Hakuna cha mwenye nini mkuu huo ni Kama ushauri tu aidha aufate au aache hakuna kitu kigumu hapo.. Kama anaona anacheleweshewa atafute Uhuru wake wa kiuchumi na sio huo wa kuwa anasubiria Mara uchelewe n.k nothing big ndugu
 
Mi nimeshapata mshahara leo ambao nilitakiwe nilipwe tarehe 30 .
 
Ndo maana performance kwenye sector za serikali zimeshuka Sana , mpaka msukuma anawazalau wasomi maana ubunifu kwenye sector za umma hamna ,we una miradi yako uko serikalini upo kuchuma pesa tu ,mda mwingi akili yako inawaza biashara zako

Njoo sector binafsi utalipwa vizuri lakini lazima ufanye KAZI ipasavyo,sio blabla, mda wote lazima utimize wajibu wako uwe safarin dereva atafanya kazi yake na wewe fanya kazi yako pale inapobidi,

Sasa watumishi wa umma mnawalazimisha fanya biashara ufanisi wa kazi kwenye ofisi ya umma unatoka wapi, kidogo tu ,anaambiwa bodabobda yako imekamatwa, imepata ajali mfano tu ,inakuaje KWA mda huo
 
Hakuna cha mwenye nini mkuu huo ni Kama ushauri tu aidha aufate au aache hakuna kitu kigumu hapo.. Kama anaona anacheleweshewa atafute Uhuru wake wa kiuchumi na sio huo wa kuwa anasubiria Mara uchelewe n.k nothing big ndugu
MKUU kweli watumishi wote wakifuata ushauri wako ,je tutakua na ofis za umma zilizo imala kweli,

Nafikili waboreshewe vipato vyao na wapewe chao mapema itasaidia,
 
Kuchelewesha mshahara sababu ya kurekebisha muundo wa madaraja ni bora zaidi kuliko kuwahisha mishahara isiyokua na nyongeza yoyote kwa miaka 6.
 
Watumishi wa umma Ni exceptional mkuu ndo maana wanaitwa watumishi wa umma.kama unabisha wakati NIDA wanaandikisha vitambulisho vya taifa niambie kundi gani lilikua la Kwanza kupewa kiupaumbele.

What do you mean ni exceptional? Wao ndio wanatakiwa kutatulia matatizo yao tu ndani ya hii nchi? Mbona kuna kundi la walemavu hatusikii malalamiko yao kama wao?
 
Kwa hiyo watu wa Private hawafanyi biashara zao binafsi?
 
Kuchelewesha mshahara sababu ya kurekebisha muundo wa madaraja ni bora zaidi kuliko kuwahisha mishara isiyokua na nyongeza yoyote kwa miaka 6.
Hiyo ya kubadilisha muundo wa madaraja inahusiana vipi na kuchelewesha mishahara?

Leo mnapewa kisingizio cha "tunabadilisha miundo ya madaraja" kitu ambacho kingeweza kufanyika bila kuchelewesha mshahara. Lakini ni dalili za uzembe na kuturudisha misri.
 
Mkuu huko Private sector wanafanya kazi 24 Hrs? Kwahiyo tusilime hata bustani kisa tuko serikalini!? Au mtu asifuge hata kuku kisa ni mfanyakazi wa gvt ati atapoteza muda wa kutimiza majukumu ya serikalini
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…