Robert Heriel Mtibeli
JF-Expert Member
- Mar 24, 2018
- 28,297
- 68,017
- Thread starter
-
- #221
Kwanini uwe na I'd ya kike, unaenjoy kutongozwa? Utakuja kushikwa nyoro, mtoto wa kiume.
CHANGE or PERISH.
Hii comment imenifurahisha sana, hapo kwenye "wengine wanajipakulia tu" 😂Asante kijana, wanaume wanajikomba sana...wakati wengine wanajipakulia tu
te
Bila kuambatanisha picha za washiriki huu ni upupu mkuu.
😂😂😂🤣🤣 tafadhali msaada tutani.. watu waanze dose mapema
Sijasema mama zetu nimesema MADEMUHawana mchango wowote wakati miezi tisa ulikuwa unanyea tumboni mwake mama yako. Embu kuwa Serious.
Piga kura hutaki waachie wengine. Maelezo mengine tofauti na kinachoendelea hapa hayana umuhimu wowote
Aibu sana.Kwanini uwe na I'd ya kike, unaenjoy kutongozwa? Utakuja kushikwa nyoro, mtoto wa kiume.
CHANGE or PERISH.
Nsamehe kakaSiku nitakuchapa hutaamini😂😂
Unajua upaswalo kufanyaNsamehe kaka
Nisamehe mimi😂😂
Una uhakika kuwa hawa ndio wanawake pekee hapa JF??
mkuu unashobo lakini unaowashobokea hawashoboki.
ajitokeze mwanamke nayeye atushindanishe wanaume humu nani ni gentleman zaidi.mimi aniweke wakwanza anishindanishe nanyie vibwengo wengine nichukue ushindi wangu mapema tuu
Ngumu sana hiyoTumia Schema yako Mkuu.
Kwa wengine hawaonekani au??
Hahahaa mjini nakuja na gari za magazeti😂😂😂
Najua ya daslama, Arusha au Dodoma
Sasa kule uswekeni😂daahh au bas tuu
Ngumu sana hiyo
Mnacheka na uzi wa Mtibeli
Ama mnacheka na yenu? [emoji1787][emoji1787]
Asante kijana, wanaume wanajikomba sana...wakati wengine wanajipakulia tu
te