GENTAMYCINE
JF-Expert Member
- Jul 13, 2013
- 60,660
- 121,325
Kwanini GENTAMYCINE nampenda na namkubali sana na mno Member Leejay49?Leejay49 apewe ushindi wake mapema huyu Mrembo kibibi kisije kikachakachua matokeo
🤣🤣🤣🤣🤣 nimeamka hapa kumbadilisha dogo diaper..Na huyu mwingine kumpa maji ya kunywa...Naingia jf nakuta tag nagombea umiss nyie jamani 🤣🤣🤣🤣 wakati huo huo leo nimetembelewa na mjukuu wangu Sofia 🤣🤣🤣🤣🤣 Robert Heriel Mtibeli ishi sana huna baya...
Kwanini GENTAMYCINE nampenda na namkubali sana na mno Member Leejay49?Toyeye
Leeyjay
Nifah
Faiza
Donatila
Depay
Demi
Ephen
Binti kiziwi
Ni marafiki wazuri sana kwa kila mtu, ila kwenye urembo na uzuri mimi sijui kwakwel .
Binafsi naona binadamu wote ni wazuri kimwonekano wa sura.
Ukiona GENTAMYCINE anampenda Mtu ( kama huyu Dada yetu Leejay49 ) basi jua hata Mwenyezi Mungu nae Anampenda vile vile na Atambariki kwa lolote lile.Tungoje watuwekee picha nashawishika kumuona nimjue pia maana upepo wake sio wakawaida.
Leejay49 tunaomba picha tukujue
Huyu kashashinda tayari, ushindi wa kishindo naona umeupiga mwingi sana kufanikisha hilo Mr Game changerUkiona GENTAMYCINE anampenda Mtu ( kama huyu Dada yetu Leejay49 ) basi jua hata Mwenyezi Mungu nae Anampenda vile vile na Atambariki kwa lolote lile.
Kwanini GENTAMYCINE nampenda na namkubali sana na mno Member Leejay49?
1. Ni Mrembo hakuna mfano
2. Ni Mwerevu wa uhakika
3. Ni Mstaarabu wa Kutukuka
4. Hana Dharau
5. Ni Mkarimu
6. Hana Majungu, Chuki na Wivu
7. Siyo Mnafiki na Mzandiki
Tafadhali TEAM GENTAMYCINE wote na Wengine mpeni Kura zenu nyingi mno Leejay49 ili aibuke Mshindi wa Shindano la Mrembo wa JamiiForums kwa mwaka huu wa 2023.
Kila la Kheri Leejay49 utashinda tu.
Kuna Kitu kikubwa na cha Siri Mwenyezi Mungu ameweka ndani yangu na ndiyo nikilitaka langu linakuwa.Huyu kashashinda tayari, ushindi wa kishindo naona umeupiga mwingi sana kufanikisha hilo Mr Game changer
"anamdai" nani na "maeneo ya kikafiri" ndiyo yepi?
Toyeye
Leeyjay
Nifah
Faiza
Donatila
Depay
Demi
Ephen
Binti kiziwi
Ni marafiki wazuri sana kwa kila mtu, ila kwenye urembo na uzuri mimi sijui kwakwel .
Binafsi naona binadamu wote ni wazuri kimwonekano wa sura.
Kwanini GENTAMYCINE nampenda na namkubali sana na mno Member Leejay49?Ni kweli binadamu wote wanaweza kuwa Wazuri lakini linpokuja suala la shindano lazima kuna namba moja
Mkuu nimempa kura yangu....Kwanini GENTAMYCINE nampenda na namkubali sana na mno Member Leejay49?
1. Ni Mrembo hakuna mfano
2. Ni Mwerevu wa uhakika
3. Ni Mstaarabu wa Kutukuka
4. Hana Dharau
5. Ni Mkarimu
6. Hana Majungu, Chuki na Wivu
7. Siyo Mnafiki na Mzandiki
Tafadhali TEAM GENTAMYCINE wote na Wengine mpeni Kura zenu nyingi mno Leejay49 ili aibuke Mshindi wa Shindano la Mrembo wa JamiiForums kwa mwaka huu wa 2023.
Kila la Kheri Leejay49 utashinda tu.
Depal ni motroo wa kuotea mbaliKwema Wakuu!
Zikiwa zimebaki siku tano mwaka 2023 ukatike. Bila kujali kuwa humu wengi hatujuani na hatuna mpango wa kujuana. Lakini kuna ile kitu inaitwa Schema Yaani kujenga taswira ya kitu, jambo au mtu kabla hujamuona/hujamuona mtu huyo.
Je kwa Schema yako, unafikiri ni memba gani humu ingetokea tuzo ya u-miss JF angeshinda kwa mwaka 2023?
Wagombea ni kama ifuatavyo
1@Kalpana
2 To yeye
3. amu
4. Nifah
5. Leejay49
6. Lovebird
7. Donatila
8. FaizaFoxy
9. Mrs Besyige
10. Depal
11. Demi
Miss JF 2023. Ameng'arisha
Depal ni motroo wa kuotea mbali
Hasira na maneno yasiyostahili hayafai Mkuu. Kama unaona haikupendezi unaacha tu sio lazima mpaka utukanePost ya kichoko hii