Miss JF 2023: Nani ni Mrembo zaidi kushinda wenzake hapa JF kati ya wanawake wafuatao?

Miss JF 2023: Nani ni Mrembo zaidi kushinda wenzake hapa JF kati ya wanawake wafuatao?

Miss JF 2023: Nani ni Mrembo zaidi kushinda wenzake hapa JF kati ya wanawake wafuatao?

  • Total voters
    225
  • Poll closed .
Leejay49 apewe ushindi wake mapema huyu Mrembo kibibi kisije kikachakachua matokeo
Kwanini GENTAMYCINE nampenda na namkubali sana na mno Member Leejay49?

1. Ni Mrembo hakuna mfano

2. Ni Mwerevu wa uhakika

3. Ni Mstaarabu wa Kutukuka

4. Hana Dharau

5. Ni Mkarimu

6. Hana Majungu, Chuki na Wivu

7. Siyo Mnafiki na Mzandiki

Tafadhali TEAM GENTAMYCINE wote na Wengine mpeni Kura zenu nyingi mno Leejay49 ili aibuke Mshindi wa Shindano la Mrembo wa JamiiForums kwa mwaka huu wa 2023.

Kila la Kheri Leejay49 utashinda tu.
 
Toyeye
Leeyjay
Nifah
Faiza
Donatila
Depay
Demi
Ephen
Binti kiziwi

Ni marafiki wazuri sana kwa kila mtu, ila kwenye urembo na uzuri mimi sijui kwakwel .

Binafsi naona binadamu wote ni wazuri kimwonekano wa sura.

Yaani baada ya Kujiamini kuwa Mnakubalika na Mtashinda kutokana na Ukongwe na Umaarufu wenu hapa JamiiForums huku Mkimdharau Bingwa wangu Mtarajiwa Pretty, Photogenic and Intelligent Lady Leejay49 na akiwa Kawaacheni mbali katika Kura kwa Kuzuga huku mkiwa mnaumia Mioyoni mwenu leo ndiyo mnakuja na Kauli kuwa hili Shindano haliko Serious?

Haya ili muione Nguvu ya GENTAMYCINE leteni / ombeni Serious Competition hapa JamiiForums halafu kuweni nominated tena kisha kama Kawaida yangu nitamchagua Mtu wangu na kumpigia Promo ya Nguvu na Ushawishi na bado atawashindeni.

Jana huo Uzi wa Shindano hilo ( ambalo leo mnaliita siyo Serious ) ulipokuwa Page ya 17 Dada yangu Leejay49 alikuwa na Kura 7 tena huku Akichekwa na Kudharaulika ila mwenye Nyota yangu Kali na Ushawishi usio wa Kawaida nilipokuja tu na kuanza Kumpambania Leejay49 sasa Kawaacheni mbali na tokea jana kuna Wapuuzi walikuwa Wakinibeza na kusema kuwa nyie ambao mnasema leo kuwa hilo Shindano haliko Serious ndiyo Mtashinda na kama kawaida yangu GENTAMYCINE mwenye Silaha Kuu ya Kujiamini nikasema / nikawaambia kuwa Dada Leejay49 atashinda na anaenda Kushinda kweli.

Kudadadeki.......!!

Mimi ndiyo GENTAMYCINE The King!!!!

Kwanini GENTAMYCINE nampenda na namkubali sana na mno Member Leejay49?

1. Ni Mrembo hakuna mfano

2. Ni Mwerevu wa uhakika

3. Ni Mstaarabu wa Kutukuka

4. Hana Dharau

5. Ni Mkarimu

6. Hana Majungu, Chuki na Wivu

7. Siyo Mnafiki na Mzandiki

Tafadhali TEAM GENTAMYCINE wote na Wengine mpeni Kura zenu nyingi mno Leejay49 ili aibuke Mshindi wa Shindano la Mrembo wa JamiiForums kwa mwaka huu wa 2023.

Kila la Kheri Leejay49 utashinda tu.
 
Tungoje watuwekee picha nashawishika kumuona nimjue pia maana upepo wake sio wakawaida.

Leejay49 tunaomba picha tukujue
Ukiona GENTAMYCINE anampenda Mtu ( kama huyu Dada yetu Leejay49 ) basi jua hata Mwenyezi Mungu nae Anampenda vile vile na Atambariki kwa lolote lile.

Kwanini GENTAMYCINE nampenda na namkubali sana na mno Member Leejay49?

1. Ni Mrembo hakuna mfano

2. Ni Mwerevu wa uhakika

3. Ni Mstaarabu wa Kutukuka

4. Hana Dharau

5. Ni Mkarimu

6. Hana Majungu, Chuki na Wivu

7. Siyo Mnafiki na Mzandiki

Tafadhali TEAM GENTAMYCINE wote na Wengine mpeni Kura zenu nyingi mno Leejay49 ili aibuke Mshindi wa Shindano la Mrembo wa JamiiForums kwa mwaka huu wa 2023.

Kila la Kheri Leejay49 utashinda tu.
 
Ukiona GENTAMYCINE anampenda Mtu ( kama huyu Dada yetu Leejay49 ) basi jua hata Mwenyezi Mungu nae Anampenda vile vile na Atambariki kwa lolote lile.

Kwanini GENTAMYCINE nampenda na namkubali sana na mno Member Leejay49?

1. Ni Mrembo hakuna mfano

2. Ni Mwerevu wa uhakika

3. Ni Mstaarabu wa Kutukuka

4. Hana Dharau

5. Ni Mkarimu

6. Hana Majungu, Chuki na Wivu

7. Siyo Mnafiki na Mzandiki

Tafadhali TEAM GENTAMYCINE wote na Wengine mpeni Kura zenu nyingi mno Leejay49 ili aibuke Mshindi wa Shindano la Mrembo wa JamiiForums kwa mwaka huu wa 2023.

Kila la Kheri Leejay49 utashinda tu.
Huyu kashashinda tayari, ushindi wa kishindo naona umeupiga mwingi sana kufanikisha hilo Mr Game changer
 
Masikini sijui nani atakuwa Anaongoza huko kwani Shindano ni Kali na JamiiForums si tu kuna Warembo bali pia kuna Warembo wenye Ushawishi wa Kutukuka.

Niwekeeni Jedwali nijue nani anaongoza japo Nimesikitika mno kwa mbali wakati Simu yangu inaonyesha kuona tokea Shindano lianze hadi sasa kuna Mtu hata Kura 1 bado hajapata na ni maarufu pia labda aanze kupata hivi sasa.

Tutanuniana sana mwaka huu, ujao na. mingineyo Kudadadeki. Mkiambiwa kuna Watu tuna Nyota zetu na tukimpaisha Mtu hata kama alikuwa chini na anadharaulika atakubalika tu ghafla.

Kwanini GENTAMYCINE nampenda na namkubali sana na mno Member Leejay49?

1. Ni Mrembo hakuna mfano

2. Ni Mwerevu wa uhakika

3. Ni Mstaarabu wa Kutukuka

4. Hana Dharau

5. Ni Mkarimu

6. Hana Majungu, Chuki na Wivu

7. Siyo Mnafiki na Mzandiki

Tafadhali TEAM GENTAMYCINE wote na Wengine mpeni Kura zenu nyingi mno Leejay49 ili aibuke Mshindi wa Shindano la Mrembo wa JamiiForums kwa mwaka huu wa 2023.

Kila la Kheri Leejay49 utashinda tu.
 
Huyu kashashinda tayari, ushindi wa kishindo naona umeupiga mwingi sana kufanikisha hilo Mr Game changer
Kuna Kitu kikubwa na cha Siri Mwenyezi Mungu ameweka ndani yangu na ndiyo nikilitaka langu linakuwa.

Mimi ndiyo GENTAMYCINE The King!!!!
 
Toyeye
Leeyjay
Nifah
Faiza
Donatila
Depay
Demi
Ephen
Binti kiziwi

Ni marafiki wazuri sana kwa kila mtu, ila kwenye urembo na uzuri mimi sijui kwakwel .

Binafsi naona binadamu wote ni wazuri kimwonekano wa sura.

Ni kweli binadamu wote wanaweza kuwa Wazuri lakini linpokuja suala la shindano lazima kuna namba moja
 
Ni kweli binadamu wote wanaweza kuwa Wazuri lakini linpokuja suala la shindano lazima kuna namba moja
Kwanini GENTAMYCINE nampenda na namkubali sana na mno Member Leejay49?

1. Ni Mrembo hakuna mfano

2. Ni Mwerevu wa uhakika

3. Ni Mstaarabu wa Kutukuka

4. Hana Dharau

5. Ni Mkarimu

6. Hana Majungu, Chuki na Wivu

7. Siyo Mnafiki na Mzandiki

Tafadhali TEAM GENTAMYCINE wote na Wengine mpeni Kura zenu nyingi mno Leejay49 ili aibuke Mshindi wa Shindano la Mrembo wa JamiiForums kwa mwaka huu wa 2023.

Kila la Kheri Leejay49 utashinda tu.
 
Kwanini GENTAMYCINE nampenda na namkubali sana na mno Member Leejay49?

1. Ni Mrembo hakuna mfano

2. Ni Mwerevu wa uhakika

3. Ni Mstaarabu wa Kutukuka

4. Hana Dharau

5. Ni Mkarimu

6. Hana Majungu, Chuki na Wivu

7. Siyo Mnafiki na Mzandiki

Tafadhali TEAM GENTAMYCINE wote na Wengine mpeni Kura zenu nyingi mno Leejay49 ili aibuke Mshindi wa Shindano la Mrembo wa JamiiForums kwa mwaka huu wa 2023.

Kila la Kheri Leejay49 utashinda tu.
Mkuu nimempa kura yangu....

Huyu mtoto ni mzuri wa tabia...

Hana baya...

Nikiangalia hiyo Avatar, hata sura nzuri ako nayo ...

Kila lakheri kwake ...
 
Kwema Wakuu!

Zikiwa zimebaki siku tano mwaka 2023 ukatike. Bila kujali kuwa humu wengi hatujuani na hatuna mpango wa kujuana. Lakini kuna ile kitu inaitwa Schema Yaani kujenga taswira ya kitu, jambo au mtu kabla hujamuona/hujamuona mtu huyo.

Je kwa Schema yako, unafikiri ni memba gani humu ingetokea tuzo ya u-miss JF angeshinda kwa mwaka 2023?

Wagombea ni kama ifuatavyo
1@Kalpana
2 To yeye
3. amu
4. Nifah
5. Leejay49
6. Lovebird
7. Donatila
8. FaizaFoxy
9. Mrs Besyige
10. Depal
11. Demi

Miss JF 2023. Ameng'arisha
Depal ni motroo wa kuotea mbali
 
Back
Top Bottom