Miss JF 2023: Nani ni Mrembo zaidi kushinda wenzake hapa JF kati ya wanawake wafuatao?

Miss JF 2023: Nani ni Mrembo zaidi kushinda wenzake hapa JF kati ya wanawake wafuatao?


  • Total voters
    225
  • Poll closed .
Atutumiage tu hata huko kwa Prime Minister ili na sisi tuwe mabalozi wazuri kama alivyo Mtani wangu GENTAMYCINE. 😅😅

Cc. Leejay49.
Hapana asifanye hivyo! Msimfuate huyo GENTAMYCINE mvuta bangi anayetafuta free P kama lara1 alivyokuwa anawaita.

Kubaki anonymous hapa JF ni muhimu sana kama mtu unataka kuwa na heshima zako katika jamii. Leejay49 jikalie kimya na huenda pengine wewe umri umekwenda au kabinti sura ya baba au ya mama nani anajua. Acha kila mtu ajenge hisia zake kichwani.

Usisahau sisi ndiyo sisi nje ya JF. Kuaibika hapa JF ni kuleta doa jeusi katika maisha ya kawaida.
 
Kwanza na mtuambie wanaonekania wapi hadi kupigiana kura,isije kuwa picha za mkolezo,au mawasiliano kwa picha za pm?
 
 
HAIOMBWI HIVYOOOOOO
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…