Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
🤣🤣 na uzi utasimama ghafula. 🤣🤣Mnataka niweke picha na sura yangu ilivyo personal kura ziharibike😂😂😂🤭
😂😂😂😂... utakuja unisaidie kushika gauni, au tushone sare kabisa🤣🤣 na uzi utasimama ghafula. 🤣🤣
Ila kila la kheri mwaya japo ikitokea umeshinda nitakuwa msindikizaji kuelekea zawadi zako zilipo. Teh. 😅
Hapana asifanye hivyo! Msimfuate huyo GENTAMYCINE mvuta bangi anayetafuta free P kama lara1 alivyokuwa anawaita.Atutumiage tu hata huko kwa Prime Minister ili na sisi tuwe mabalozi wazuri kama alivyo Mtani wangu GENTAMYCINE. 😅😅
Cc. Leejay49.
Lol taji letu hili 😁Yeah, I can see 🙃🙃
Kwa wanawake wa JF niliokutana nao ,mmh ngoja mdomo usiseme
Kwema Wakuu!
Zikiwa zimebaki siku tano mwaka 2023 ukatike. Bila kujali kuwa humu wengi hatujuani na hatuna mpango wa kujuana. Lakini kuna ile kitu inaitwa Schema Yaani kujenga taswira ya kitu, jambo au mtu kabla hujamuona/hujamuona mtu huyo.
Je kwa Schema yako, unafikiri ni memba gani humu ingetokea tuzo ya u-miss JF angeshinda kwa mwaka 2023?
Wagombea ni kama ifuatavyo
1@Kalpana
2 To yeye
3. amu
4. Nifah
5. Leejay49
6. Lovebird
7. Donatila
8. FaizaFoxy
9. Mrs Besyige
10. Depal
11. Demi
Miss JF 2023. Ameng'arisha
Kwanza na mtuambie wanaonekania wapi hadi kupigiana kura,isije kuwa picha za mkolezo,au mawasiliano kwa picha za pm?Kwema Wakuu!
Zikiwa zimebaki siku tano mwaka 2023 ukatike. Bila kujali kuwa humu wengi hatujuani na hatuna mpango wa kujuana. Lakini kuna ile kitu inaitwa Schema Yaani kujenga taswira ya kitu, jambo au mtu kabla hujamuona/hujamuona mtu huyo.
Je kwa Schema yako, unafikiri ni memba gani humu ingetokea tuzo ya u-miss JF angeshinda kwa mwaka 2023?
Wagombea ni kama ifuatavyo
1@Kalpana
2 To yeye
3. amu
4. Nifah
5. Leejay49
6. Lovebird
7. Donatila
8. FaizaFoxy
9. Mrs Besyige
10. Depal
11. Demi
Miss JF 2023. Ameng'arisha
Kwanini GENTAMYCINE nampenda na namkubali sana na mno Member Leejay49?
1. Ni Mrembo hakuna mfano
2. Ni Mwerevu wa uhakika
3. Ni Mstaarabu wa Kutukuka
4. Hana Dharau
5. Ni Mkarimu
6. Hana Majungu, Chuki na Wivu
7. Siyo Mnafiki na Mzandiki
Tafadhali TEAM GENTAMYCINE wote na Wengine mpeni Kura zenu nyingi mno Leejay49 ili aibuke Mshindi wa Shindano la Mrembo wa JamiiForums kwa mwaka huu wa 2023.
Kila la Kheri Leejay49 utashinda tu.
HAIOMBWI HIVYOOOOOOKwanini GENTAMYCINE nampenda na namkubali sana na mno Member Leejay49?
1. Ni Mrembo hakuna mfano
2. Ni Mwerevu wa uhakika
3. Ni Mstaarabu wa Kutukuka
4. Hana Dharau
5. Ni Mkarimu
6. Hana Majungu, Chuki na Wivu
7. Siyo Mnafiki na Mzandiki
Tafadhali TEAM GENTAMYCINE wote na Wengine mpeni Kura zenu nyingi mno Leejay49 ili aibuke Mshindi wa Shindano la Mrembo wa JamiiForums kwa mwaka huu wa 2023.
Kila la Kheri Leejay49 utashinda tu.
Nitawachukulia hatua kwa tabia za kusingizia mshamba_hachekwiUnanipa kura kwani mimi uliniona mdada!?
Kura yangu nakupa wewe😂
Demokrasia mkuu, kura unampa mrembo umtakaeNitawachukulia hatua kwa tabia za kusingizia mshamba_hachekwi