Miss JF 2023: Nani ni Mrembo zaidi kushinda wenzake hapa JF kati ya wanawake wafuatao?

Miss JF 2023: Nani ni Mrembo zaidi kushinda wenzake hapa JF kati ya wanawake wafuatao?

Miss JF 2023: Nani ni Mrembo zaidi kushinda wenzake hapa JF kati ya wanawake wafuatao?

  • Total voters
    225
  • Poll closed .
Atutumiage tu hata huko kwa Prime Minister ili na sisi tuwe mabalozi wazuri kama alivyo Mtani wangu GENTAMYCINE. 😅😅

Cc. Leejay49.
Hapana asifanye hivyo! Msimfuate huyo GENTAMYCINE mvuta bangi anayetafuta free P kama lara1 alivyokuwa anawaita.

Kubaki anonymous hapa JF ni muhimu sana kama mtu unataka kuwa na heshima zako katika jamii. Leejay49 jikalie kimya na huenda pengine wewe umri umekwenda au kabinti sura ya baba au ya mama nani anajua. Acha kila mtu ajenge hisia zake kichwani.

Usisahau sisi ndiyo sisi nje ya JF. Kuaibika hapa JF ni kuleta doa jeusi katika maisha ya kawaida.
 
Kwema Wakuu!

Zikiwa zimebaki siku tano mwaka 2023 ukatike. Bila kujali kuwa humu wengi hatujuani na hatuna mpango wa kujuana. Lakini kuna ile kitu inaitwa Schema Yaani kujenga taswira ya kitu, jambo au mtu kabla hujamuona/hujamuona mtu huyo.

Je kwa Schema yako, unafikiri ni memba gani humu ingetokea tuzo ya u-miss JF angeshinda kwa mwaka 2023?

Wagombea ni kama ifuatavyo
1@Kalpana
2 To yeye
3. amu
4. Nifah
5. Leejay49
6. Lovebird
7. Donatila
8. FaizaFoxy
9. Mrs Besyige
10. Depal
11. Demi

Miss JF 2023. Ameng'arisha

Kwanza na mtuambie wanaonekania wapi hadi kupigiana kura,isije kuwa picha za mkolezo,au mawasiliano kwa picha za pm?
 
Kwanini GENTAMYCINE nampenda na namkubali sana na mno Member Leejay49?

1. Ni Mrembo hakuna mfano

2. Ni Mwerevu wa uhakika

3. Ni Mstaarabu wa Kutukuka

4. Hana Dharau

5. Ni Mkarimu

6. Hana Majungu, Chuki na Wivu

7. Siyo Mnafiki na Mzandiki

Tafadhali TEAM GENTAMYCINE wote na Wengine mpeni Kura zenu nyingi mno Leejay49 ili aibuke Mshindi wa Shindano la Mrembo wa JamiiForums kwa mwaka huu wa 2023.

Kila la Kheri Leejay49 utashinda tu.
images.png
 
HAIOMBWI HIVYOOOOOO
 
Back
Top Bottom