Miss JF 2023: Nani ni Mrembo zaidi kushinda wenzake hapa JF kati ya wanawake wafuatao?

Miss JF 2023: Nani ni Mrembo zaidi kushinda wenzake hapa JF kati ya wanawake wafuatao?

  • Total voters
    225
  • Poll closed .
TUngependa thread nzima ya story za enzi hizo milivyo kula bata na ikiwezekana vipicha basi tuone mambo yalivo kuwa maana inaonekana bata halikua la kitoto . Entinnes tulichea mziki hapo enzi za Clouds kipindi fulani miaka ya 1990 fulani ,Mbona sija sikia ukitaja Mbowe au kule walikweda masela zaidi?
 
Nani wende mbowe, disko la washenzi hilo.

Watoto wa Kariakoo tulikuwa kwa circles zetu kijana.

Hayo siyo mambo ya kuandikkwa kumbukumbu, watu tunataka kusahau kabisa nyakati hizo mpaka itokee story moja kidogo hizi. Yapo ya kuandika lakini si hayo.

Tutakueleza tu kama hivyo, hapo palikuwa nini nani (who's who) alikuwa nani, na vitu kama hivyo.
 
Kwanini GENTAMYCINE nampenda na namkubali sana na mno Member Leejay49?

1. Ni Mrembo hakuna mfano

2. Ni Mwerevu wa uhakika

3. Ni Mstaarabu wa Kutukuka

4. Hana Dharau

5. Ni Mkarimu

6. Hana Majungu, Chuki na Wivu

7. Siyo Mnafiki na Mzandiki

Tafadhali TEAM GENTAMYCINE wote na Wengine mpeni Kura zenu nyingi mno Leejay49 ili aibuke Mshindi wa Shindano la Mrembo wa JamiiForums kwa mwaka huu wa 2023.

Kila la Kheri Leejay49 utashinda tu.
 
Sijui kwa nini Mkuu niliposoma hii quote nikabakia nacheka tu. Lol.

Ila usijali Mkuu sikuwa serious kiviile nilikuwa namtania tu huyo mdogo wangu Leejay49.
 
Mimi naomba nitumiwe picha zao Dm ili nipige Kura yangu!
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…