Happy Boxing day!Wanajisevia minyama tu, wengine wameki kusifia kama mazuzu, nimecheka sanaπππ
Ndio ikoje hiyoπππHappy Boxing day!
ππ natakiwa kujibu nini ndo isi sound rude? π€£π€£π€£Kwani mwamba kapona UKIMWI na gono sugu au imekuwaje? Kuna tiba ya UKIMWI? π³π³π³π
Usijiumeume, we taja tu mkuu. Huwezi jua nawe nawe ukajilia minyama kimya kimya mkuu!1. Namuelewa sana,
2. Yupo vizuri kwenye uandishi,
3. Ana mawazo mazuri pia,
4. Bado hajaolewa (mtoto wa mama),
5. Atakuwa ni mrembo pia (bila shaka),
6. Huwa natamani kumwambia kuwa Nampenda,
7. She deserve kuwa miss kiukweli.
Usipommention ujue wapo wengi1. Namuelewa sana,
2. Yupo vizuri kwenye uandishi,
3. Ana mawazo mazuri pia,
4. Bado hajaolewa (mtoto wa mama),
5. Atakuwa ni mrembo pia (bila shaka),
6. Huwa natamani kumwambia kuwa Nampenda,
7. She deserve kuwa miss kiukweli.
Asante sana aisee,My God bless you....napokea 100%Kwema Wakuu!
Zikiwa zimebaki siku tano mwaka 2023 ukatike. Bila kujali kuwa humuwengi hatujuani na hatuna mpango wa kujuana. Lakini kuna ile kitu inaitwa Schema Yaani kujenga taswira ya kitu, jambo au mtu kabla hujamuona/hujamuona mtu huyo.
Je kwa Schema yako, unafikiri ni memba gani humu ingetokea tuzo ya u-miss JF angeshinda kwa mwaka 2023?
Wagombea ni kama ifuatavyo
1@Kalpana
2 To yeye
3. amu
4. Nifah
5. Leejay49
6. Lovebird
7. Donatila
8. FaizaFoxy
9. Mrs Besyige
10. Depal
11. Demi
Miss JF 2023. Ameng'arisha
Wanyakyusa wa tukuyu mmekutanaKura yangu ni kwa To yeye my everlasting love
KAma mmoja wa victim ni ruksa kutema nyongoπππππ natakiwa kujibu nini ndo isi sound rude? π€£π€£π€£
Haha ila nadhani mtu atafutwe aisaidie serikali.. kumbe vitu vinapona bhana, ni sisi tu ndio hatujui.
Kongosho langu leupeeK
KAma mmoja wa victim ni ruksa kutema nyongoπππ
Tusema acha mgonjwa akatunzwe kwaoππππKongosho langu leupee
Tumepass box la dawa kwa mgonjwa mpya
Basi uongezwe na wewe kwenye list kujazia jazia nyamaUna uhakika kuwa hawa ndio wanawake pekee hapa JF??
Natamani kusema lkn ulimi mzitoπ€£π€£π€£π€£Kwani mwamba kapona UKIMWI na gono sugu au imekuwaje? Kuna tiba ya UKIMWI? π³π³π³π
ππ Bora mmejijua mnashobo'Robert unapotea ndugu yangu'
Alisikika mshamba.
Wao hutowaskia wakiongelea 'Mr.jf' jinsia me tupunguze shoboπ
Mujinga sana dadaπ€£π€£π€£Akina asha boko cheusi mangala tuna comment wapi wajameni π€
ππ dah!! Mrs available anaupiga mwingiii.. apewe maua hata kama yameoza π€£ππTusema acha mgonjwa akatunzwe kwaoππππ
Ninamsifu sana jamaa, mwanaume hashindwagi akiamuaπππ
Shimba ya Buyenze