ephen_
JF-Expert Member
- Oct 28, 2022
- 14,949
- 54,485
Happy Boxing day!Wanajisevia minyama tu, wengine wameki kusifia kama mazuzu, nimecheka sana😂😂😂
Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
Happy Boxing day!Wanajisevia minyama tu, wengine wameki kusifia kama mazuzu, nimecheka sana😂😂😂
Ndio ikoje hiyo😂😂😂Happy Boxing day!
😂😂 natakiwa kujibu nini ndo isi sound rude? 🤣🤣🤣Kwani mwamba kapona UKIMWI na gono sugu au imekuwaje? Kuna tiba ya UKIMWI? 😳😳😳🖐
Usijiumeume, we taja tu mkuu. Huwezi jua nawe nawe ukajilia minyama kimya kimya mkuu!1. Namuelewa sana,
2. Yupo vizuri kwenye uandishi,
3. Ana mawazo mazuri pia,
4. Bado hajaolewa (mtoto wa mama),
5. Atakuwa ni mrembo pia (bila shaka),
6. Huwa natamani kumwambia kuwa Nampenda,
7. She deserve kuwa miss kiukweli.
Usipommention ujue wapo wengi1. Namuelewa sana,
2. Yupo vizuri kwenye uandishi,
3. Ana mawazo mazuri pia,
4. Bado hajaolewa (mtoto wa mama),
5. Atakuwa ni mrembo pia (bila shaka),
6. Huwa natamani kumwambia kuwa Nampenda,
7. She deserve kuwa miss kiukweli.
Asante sana aisee,My God bless you....napokea 100%Kwema Wakuu!
Zikiwa zimebaki siku tano mwaka 2023 ukatike. Bila kujali kuwa humuwengi hatujuani na hatuna mpango wa kujuana. Lakini kuna ile kitu inaitwa Schema Yaani kujenga taswira ya kitu, jambo au mtu kabla hujamuona/hujamuona mtu huyo.
Je kwa Schema yako, unafikiri ni memba gani humu ingetokea tuzo ya u-miss JF angeshinda kwa mwaka 2023?
Wagombea ni kama ifuatavyo
1@Kalpana
2 To yeye
3. amu
4. Nifah
5. Leejay49
6. Lovebird
7. Donatila
8. FaizaFoxy
9. Mrs Besyige
10. Depal
11. Demi
Miss JF 2023. Ameng'arisha
Wanyakyusa wa tukuyu mmekutanaKura yangu ni kwa To yeye my everlasting love
KAma mmoja wa victim ni ruksa kutema nyongo😂😂😂😂😂 natakiwa kujibu nini ndo isi sound rude? 🤣🤣🤣
Haha ila nadhani mtu atafutwe aisaidie serikali.. kumbe vitu vinapona bhana, ni sisi tu ndio hatujui.
Kongosho langu leupeeK
KAma mmoja wa victim ni ruksa kutema nyongo😂😂😂
Tusema acha mgonjwa akatunzwe kwao😂😂😂😂Kongosho langu leupee
Tumepass box la dawa kwa mgonjwa mpya
Basi uongezwe na wewe kwenye list kujazia jazia nyamaUna uhakika kuwa hawa ndio wanawake pekee hapa JF??
Natamani kusema lkn ulimi mzito🤣🤣🤣🤣Kwani mwamba kapona UKIMWI na gono sugu au imekuwaje? Kuna tiba ya UKIMWI? 😳😳😳🖐
😂😂 Bora mmejijua mnashobo'Robert unapotea ndugu yangu'
Alisikika mshamba.
Wao hutowaskia wakiongelea 'Mr.jf' jinsia me tupunguze shobo😅
Mujinga sana dada🤣🤣🤣Akina asha boko cheusi mangala tuna comment wapi wajameni 🤓
😂😂 dah!! Mrs available anaupiga mwingiii.. apewe maua hata kama yameoza 🤣💐💐Tusema acha mgonjwa akatunzwe kwao😂😂😂😂
Ninamsifu sana jamaa, mwanaume hashindwagi akiamua😂😂😂
Shimba ya Buyenze