Miss JF 2023: Nani ni Mrembo zaidi kushinda wenzake hapa JF kati ya wanawake wafuatao?

Miss JF 2023: Nani ni Mrembo zaidi kushinda wenzake hapa JF kati ya wanawake wafuatao?

Miss JF 2023: Nani ni Mrembo zaidi kushinda wenzake hapa JF kati ya wanawake wafuatao?


  • Total voters
    225
  • Poll closed .
1. Namuelewa sana,
2. Yupo vizuri kwenye uandishi,
3. Ana mawazo mazuri pia,
4. Bado hajaolewa (mtoto wa mama),
5. Atakuwa ni mrembo pia (bila shaka),
6. Huwa natamani kumwambia kuwa Nampenda,
7. She deserve kuwa miss kiukweli.
 
1. Namuelewa sana,
2. Yupo vizuri kwenye uandishi,
3. Ana mawazo mazuri pia,
4. Bado hajaolewa (mtoto wa mama),
5. Atakuwa ni mrembo pia (bila shaka),
6. Huwa natamani kumwambia kuwa Nampenda,
7. She deserve kuwa miss kiukweli.
Usijiumeume, we taja tu mkuu. Huwezi jua nawe nawe ukajilia minyama kimya kimya mkuu!
 
Kwema Wakuu!

Zikiwa zimebaki siku tano mwaka 2023 ukatike. Bila kujali kuwa humuwengi hatujuani na hatuna mpango wa kujuana. Lakini kuna ile kitu inaitwa Schema Yaani kujenga taswira ya kitu, jambo au mtu kabla hujamuona/hujamuona mtu huyo.

Je kwa Schema yako, unafikiri ni memba gani humu ingetokea tuzo ya u-miss JF angeshinda kwa mwaka 2023?

Wagombea ni kama ifuatavyo
1@Kalpana
2 To yeye
3. amu
4. Nifah
5. Leejay49
6. Lovebird
7. Donatila
8. FaizaFoxy
9. Mrs Besyige
10. Depal
11. Demi

Miss JF 2023. Ameng'arisha
Asante sana aisee,My God bless you....napokea 100%
 
Back
Top Bottom