Miss JF 2023: Nani ni Mrembo zaidi kushinda wenzake hapa JF kati ya wanawake wafuatao?

Miss JF 2023: Nani ni Mrembo zaidi kushinda wenzake hapa JF kati ya wanawake wafuatao?


  • Total voters
    225
  • Poll closed .
🀣🀣🀣🀣Hivi hujengi taswira ya hilo libibi? Dude ka jumba, nguo nyeusi na harufu ya udi, lipite mbele yako jaji, unakimbia mbali lisikuangukie.

Mbwa mwenyewe. Limekulalia 🀣
Nikifanikiwa kuwa mgambo wa mlango wa mbinguni kamwe hutaingiaπŸ˜‚πŸ˜‚πŸ˜‚πŸ˜‚πŸ˜‚
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…