ephen_
JF-Expert Member
- Oct 28, 2022
- 14,949
- 54,485
Heri ya Sikukuu J....Heri ya sikukuu mrembo.
Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
Heri ya Sikukuu J....Heri ya sikukuu mrembo.
Depal simuachimzee wa mipango hujatulia[emoji23] umemkimbia depal unaenda kwa leejay
Mimi ndiyo GENTAMYCINE The King!!!!Leejay49 kaovertake kwa speed ya 5G kweli GENTAMYCINE yupo Vereee
Mkumbuke mtu tulikuwa tunamuita Lawyer ndio huyu Leak .Ninayemfahamu hapo ni mmoja tu, wengine sijawahi watia machoni...
Utakuwa umebadili ID, kama unafahamu hadi kijiwe cha "Leo Tupo Hapa" kwa mjeshi...
Ngoja ni back track nijue ID yako ya kale...
Mate.Bibi nae alikuwa binti. Tunatumia taswira yake ya kipindi ni msichana.
Kwanini GENTAMYCINE nampenda na namkubali sana na mno Member Leejay49?Nishaweka kura yangu hapo, nasubiri mshindi kutangazwa. 😊
🤣🤣🤣🤣🤣 nimeamka hapa kumbadilisha dogo diaper..Na huyu mwingine kumpa maji ya kunywa...Naingia jf nakuta tag nagombea umiss nyie jamani 🤣🤣🤣🤣 wakati huo huo leo nimetembelewa na mjukuu wangu Sofia 🤣🤣🤣🤣🤣 Robert Heriel Mtibeli ishi sana huna baya...
Kabla sija vote ntaka mpambue ushungi Ms Faiza Foxxy tumthaminishe kama yaliyomo yamo.Ila kwa vile siku hizi hata wazee , walio olewa , walio zaa wana ruhisiwa kushiriki basi kura yangu inakwenda kwa Faiza Foxxy , sababu utu uzima dawa, napiga picha kipindi ana cheza disco pale Entence Hotel kavaa Tina Boo na Kokoko za mamtoni, inaonekana alikua tishio la jiji .
= Ettiennes, wewe itakuwa unapasikia tu hapo kwa mama George na mwanawe. Hao wagiriki walikuwa wanamiliki hotel na Restaurants mbili tatu nzuri nzuri Dar. Ikiwemo Palm beach ya leo hii na nyingine ilikuwa inaitwa Georges Grill, hii ilikuwa ubavuni na Bank kuu ya zamani, nyuma ya karadha. Wa zamani watapaelewa, vijana wa siku hizi muulize tu tuwahadithie.Kabla sija vote ntaka mpambue ushungi Ms Faiza Foxxy tumthaminishe kama yaliyomo yamo.Ila kwa vile siku hizi hata wazee , walio olewa , walio zaa wana ruhisiwa kushiriki basi kura yangu inakwenda kwa Faiza Foxxy , sababu utu uzima dawa, napiga picha kipindi ana cheza disco pale Entence Hotel kavaa Tina Boo na Kokoko za mamtoni, inaonekana alikua tishio la jiji .
Mimi nilishampigia kula kitambo Sana binafsi namkubali Sana hata kusingepitishwa ushaguzi Mimi ndio my best choice wa jfKwanini GENTAMYCINE nampenda na namkubali sana na mno Member Leejay49?
1. Ni Mrembo hakuna mfano
2. Ni Mwerevu wa uhakika
3. Ni Mstaarabu wa Kutukuka
4. Hana Dharau
5. Ni Mkarimu
6. Hana Majungu, Chuki na Wivu
7. Siyo Mnafiki na Mzandiki
Tafadhali TEAM GENTAMYCINE wote na Wengine mpeni Kura zenu nyingi mno Leejay49 ili aibuke Mshindi wa Shindano la Mrembo wa JamiiForums kwa mwaka huu wa 2023.
Kila la Kheri Leejay49 utashinda tu.
😂😂😂Mie tukunyema libibi mkuu sio miss asee
Asante thou