Uko timu gani , Timu Mwinyi au Timu Nahodha ?
Kila la kheri kwake, kikubwa chama kimpitishe ili tuone Jiwe atapiga pushups kwa staili gani kipindiki hiki
Lissu tayari ni President
Utapasua ile pacemaker
Naona kuna mabasi kule pembeni sijui wamekusanywa kutoka wapi.
Sent from my SM-T585 using JamiiForums mobile app
Kipindi kama hiki Lowasa alikuwa ameshazunguka nchi nzima na kudekiwa barabara laikini alipigwa chini vilevile
Sent from my SM-T585 using JamiiForums mobile app
Upinzani hauwezi kufa kwa bunduki au kukamata viongoz wao, upinzani ni siasa Safi inayojibu matamanio ya wananchi pasipo vitisho,visasi wala matusi na fitina mbalimbali. Kweny siasa Chama tawala ni Chama pinzani dhidi ya Chama pinzani and vice versa!!Hawa wote ili wawini kukubalika wanahitaji siasa Safi na uongozi bora!
Kama kuna Chama kinadhani kitapata wafuasi ama kitaongeza wafuasi Bila siasa Safi kisahau iko siku kitakufa kifo cha mbwa!
Tunahtaji siasa itakayojali utu wetu na haki zetu na si kutupa haki yetu huku utu wetu ukifichwa kwenye viloba hapana!!
Mungu bariki Tanzania mpya itakayojali utu na zetu!!
Endelea kujitoa ajili!
Tumeccm ilihusikaNi halali kabisa, Tundu ni mwanasiasa mwenye ushawishi mzuri sema mshindani wake Kutokea CCm yeye ni mwanasiasa mwenye ushawishi mkubwa mara 10 zaidi yake
Tundu atashindanaaa!! Lakini hatoshinda, ni Nani Kati ya Lowasa na huyo Lisu ayekuwa ni mwanasiasa mwenye ushawishi zaidi ya mwingine?
Lakini lowasa licha ya kuwa ni mwanasiasa nguli Kwa Magufuli alisalimu amri
Kwa sasa, Tz hii hakuna kama Magufuli
Umenifanya nirudi kuangalia pichaNaona kuna mabasi kule pembeni sijui wamekusanywa kutoka wapi.
Sent from my SM-T585 using JamiiForums mobile app
Hata kama ni uchawi huu wako hata shetani umemzidiWatu kumi ndio haijapata kutokea .wanamdhamini mtu asiyekuwepo wala hata rudi
Uko sahihi snKwasababu tume haiko huru
Hata mimi naliwaza hilo kama Tundu atagombea itakuwa balaa uchaguzi wa mwaka huu,tume ikijaribu kuchakachua yaaani hapo ndio mgogoro utakapoanxia!!Jamani lisu akisimama kugombea atashinda. Ila hata tangazwa, pia hatakubali haki yake iende kwingine pata shika ipo uchaguzi huu
Macho yako yanavidondaWatu kumi ndio haijapata kutokea .wanamdhamini mtu asiyekuwepo wala hata rudi