Uchaguzi 2020 Misururu ya Wadhamini wa Tundu Lissu Tarime haijapata kutokea, huyu mtu ana nini lakini?

Uchaguzi 2020 Misururu ya Wadhamini wa Tundu Lissu Tarime haijapata kutokea, huyu mtu ana nini lakini?

Kama Misururu na deki za 2015 hazikufua dafu ndo ije kuwa hii?
 
Twambieni na haya mafuso yanasomba kitu gani?
Naona kuna mabasi kule pembeni sijui wamekusanywa kutoka wapi.

Sent from my SM-T585 using JamiiForums mobile app
Screenshot_20191126-001906.jpeg
FB_IMG_1501705533332.jpeg
 
☞︎︎︎☞︎︎︎☞︎︎︎𝓗𝓾𝓸 𝓶𝓼𝓾𝓻𝓾𝓻𝓾 𝓾𝓷𝓪𝓸𝓼𝓮𝓶𝓪 𝓶𝓫𝓸𝓷𝓪 𝓷𝓲 𝔀𝓪 𝕶𝖆𝖜𝖆𝖎𝖉𝖆 𝓽𝓾. 🇼 🇦 🇹 🇺  🇭 🇦 🇹 🇦  🇭 🇦 🇼 🇦 🇫 🇮 🇰 🇮  🇭 🇦 🇹 🇦  🇧 🇺 🇰 🇺 . ᥇ꪊ𝓽 𝘬𝓲ꪶꪖ ꪶꪖ ꫝꫀ𝘳𝓲.
 
Jambo la msingi tiliombee amani taifa letu tufanye uchaguzi wa haki ili amani itawale
Upinzani hauwezi kufa kwa bunduki au kukamata viongoz wao, upinzani ni siasa Safi inayojibu matamanio ya wananchi pasipo vitisho,visasi wala matusi na fitina mbalimbali. Kweny siasa Chama tawala ni Chama pinzani dhidi ya Chama pinzani and vice versa!!Hawa wote ili wawini kukubalika wanahitaji siasa Safi na uongozi bora!

Kama kuna Chama kinadhani kitapata wafuasi ama kitaongeza wafuasi Bila siasa Safi kisahau iko siku kitakufa kifo cha mbwa!

Tunahtaji siasa itakayojali utu wetu na haki zetu na si kutupa haki yetu huku utu wetu ukifichwa kwenye viloba hapana!!

Mungu bariki Tanzania mpya itakayojali utu na zetu!!
 
Ni halali kabisa, Tundu ni mwanasiasa mwenye ushawishi mzuri sema mshindani wake Kutokea CCm yeye ni mwanasiasa mwenye ushawishi mkubwa mara 10 zaidi yake

Tundu atashindanaaa!! Lakini hatoshinda, ni Nani Kati ya Lowasa na huyo Lisu ayekuwa ni mwanasiasa mwenye ushawishi zaidi ya mwingine?

Lakini lowasa licha ya kuwa ni mwanasiasa nguli Kwa Magufuli alisalimu amri

Kwa sasa, Tz hii hakuna kama Magufuli
Tumeccm ilihusika
 
Jamani lisu akisimama kugombea atashinda. Ila hata tangazwa, pia hatakubali haki yake iende kwingine pata shika ipo uchaguzi huu
 
Jamani lisu akisimama kugombea atashinda. Ila hata tangazwa, pia hatakubali haki yake iende kwingine pata shika ipo uchaguzi huu
Hata mimi naliwaza hilo kama Tundu atagombea itakuwa balaa uchaguzi wa mwaka huu,tume ikijaribu kuchakachua yaaani hapo ndio mgogoro utakapoanxia!!
 
Back
Top Bottom