Sema hawa watu serikalini hawafahamu kuwa internet ya bei rahisi itawazalishia kodi zaidi. Assume kwa sanabu ya internet ya bei chee kitu kama Netflix kiwezekane kwa bongo movies, watu waangalie mipira kwa kustream, muziki wasikilize hivyo nk nk. Ni pesa nyingi na ajira watazalisha kuliko kodi kubwa na kufanya internet iwe ghali.
Ehee hivi unafikiri ccm inawaza maendeleo ya taifa lengo lao la internet kuwa ghali Ni kutaka watu washindwe kutoa free speech na kupata taarifaSema hawa watu serikalini hawafahamu kuwa internet ya bei rahisi itawazalishia kodi zaidi. Assume kwa sanabu ya internet ya bei chee kitu kama Netflix kiwezekane kwa bongo movies, watu waangalie mipira kwa kustream, muziki wasikilize hivyo nk nk. Ni pesa nyingi na ajira watazalisha kuliko kodi kubwa na kufanya internet iwe ghali.
Voda .Ariel. tigo watahonga kila mahali ili tu waendeelee kutonyonyaMchawi Tcra. Hawatakubali hawa walogi.
Kweli kabisa.Voda .Ariel. tigo watahonga kila mahali ili tu waendeelee kutonyonya
Watakubali Mzee ukilitimba wa mitandao ya simu hata wao unawakelaMchawi Tcra. Hawatakubali hawa walogi.
Mzee ipoje Hii na bei yake ipoje hivyo vifaaHii huduma nime agiza vifaa vyake ebay naweza kutumia sehemu yoyote . ni rahisi kucofigure na app ya kutafuta setelite hipo kwenye simu View attachment 2421689
View attachment 2421690
View attachment 2421691
Umeongea sahihiSema hawa watu serikalini hawafahamu kuwa internet ya bei rahisi itawazalishia kodi zaidi. Assume kwa sanabu ya internet ya bei chee kitu kama Netflix kiwezekane kwa bongo movies, watu waangalie mipira kwa kustream, muziki wasikilize hivyo nk nk. Ni pesa nyingi na ajira watazalisha kuliko kodi kubwa na kufanya internet iwe ghali.
Nigeria na msumbiji tayari na nyingine zinafuata au ulitaka tuwe wa mwishoWhy Tanzania?
Hii huduma nime agiza vifaa vyake ebay naweza kutumia sehemu yoyote . ni rahisi kucofigure na app ya kutafuta setelite hipo kwenye simu View attachment 2421689
View attachment 2421690
View attachment 2421691
Hii huduma nime agiza vifaa vyake ebay naweza kutumia sehemu yoyote . ni rahisi kucofigure na app ya kutafuta setelite hipo kwenye simu View attachment 2421689
View attachment 2421690
View attachment 2421691
Wewe unatumia hio huduma ?hakuna vibali wewe unatafuta location setelite site.na unaweza kufunga hata kwenye gari. na malipa ya huduma direct pay visa au paypal
Wewe unatumia hio huduma ?
Itakua sio vibaya Ila hawatomruhusu maana wao wanafanya biashara ili wapige hela, sasa akileta habari za India GB 1 kwa Tshs. 200 ambayo ni sawa na Rupia 7 kwa India atakua ameua soko la bundle,TCRA watapiga wapi sasa akija na bundle za bei nafuu?
Hapo sikubaliani na wewe, kweli ni mawazo ya mbali ila, ni mawazo ambayo inabidi tuanze kuyafikiria. lazma awepo muanzisha gurudumu.Huwezi kukaa mars week nzima ukatoboa.
Idea zake ni theoretical sana, life in mars.
Eti duniani kuna siku haitakua salama
Jamaa anacheza na akili zetu