Kama hujui Kuna commentary wewe ni kichwa majiTangu lini mkawa na commentary😀? We si ulidai biblia inaeleweka? Unipe maana nyingine ya kulaaniwa.
Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
Kama hujui Kuna commentary wewe ni kichwa majiTangu lini mkawa na commentary😀? We si ulidai biblia inaeleweka? Unipe maana nyingine ya kulaaniwa.
Kwanza huwa unaweka tafsiri za uongo na kuna wakati huwa unapindua maana hii tabia mko nayo tangu zamani walianza nayo mayahudi na mkaichukua toka kwao.Ni wapi aljallalyn akiwa tafsir ya wakristo, ibn abas na huwa naweka kabisa ni tafsir ya nani
Wayahudi ndio kiboko cha waarabu. Wanawanyoosha hapo mashariki ya kati. Waislamu mmefuata waarabu basi na nyie mnatumia lugha ya kuwaita wayahudi mayahudi.Kwanza huwa unaweka tafsiri za uongo na kuna wakati huwa unapindua maana hii tabia mko nayo tangu zamani walianza nayo mayahudi na mkaichukua toka kwao.
Jibu maswali niliyo kuuliza.
Kinachowafanya muonekane ya kuwa ni watu msio jielewa i kutokujibu maswali mnayo ulizwa.Wayahudi ndio kiboko cha waarabu. Wanawanyoosha hapo mashariki ya kati. Waislamu mmefuata waarabu basi na nyie mnatumia lugha ya kuwaita wayahudi mayahudi.
Chakushangaza muhammad kaenda kukopi maandiko ya wayahudi na uongeza vitu vichache akaanzisha uislam.
Ukristo sio dini. Ni uhusiano (relationship) na ushirika (fellowship) na Mungu aliyehai. Dini ni kwa ajili ya watu wanaotafuta kumfahamu Mungu wa kweli. Dini zipo nyingi kama waislamu, buddha, bahaya, confusius nk.SOMA DINI YAKO KWANZA...
Maswali yale yameshajibiwa kwenye mada hiihii, mnapenda sana tuwe tunarudia.Kinachowafanya muonekane ya kuwa ni watu msio jielewa i kutokujibu maswali mnayo ulizwa.
Umerukia huku kabla hujamaliza kile kipengele cha maswali niliyo kuuliza.
Nataka kufahamu commentary ya nilipoweka red. Inasema yeyote ambayo haijalishi ni nani. Humu Hakuna mafumbo labda imetumika fasihi ya hali ya juu.Kama hujui Kuna commentary wewe ni kichwa maji
Huna swali , umeshakiri waliona Yesu kasulubiwa na wakaandika walicho ona , sasa useme kwa nini Allah ni muongoKwanza huwa unaweka tafsiri za uongo na kuna wakati huwa unapindua maana hii tabia mko nayo tangu zamani walianza nayo mayahudi na mkaichukua toka kwao.
Jibu maswali niliyo kuuliza.
Kasome commentaryNataka kufahamu commentary ya nilipoweka red. Inasema yeyote ambayo haijalishi ni nani. Humu Hakuna mafumbo labda imetumika fasihi ya hali ya juu.
Wagalatia 3:13
Kristo alitukomboa kutoka katika laana ya sheria kwa kujitwalia laana hiyo kwa ajili yetu; maana Maandiko yanasema: “Yeyote aliyetundikwa msalabani amelaaniwa.”
Kama tafsir ni uongo , ndio unatujulisha waislamu vitabu vyenu ni vya uongoKwanza huwa unaweka tafsiri za uongo na kuna wakati huwa unapindua maana hii tabia mko nayo tangu zamani walianza nayo mayahudi na mkaichukua toka kwao.
Jibu maswali niliyo kuuliza.
Gusa link , usirudie rudie swaliNataka kufahamu commentary ya nilipoweka red. Inasema yeyote ambayo haijalishi ni nani. Humu Hakuna mafumbo labda imetumika fasihi ya hali ya juu.
Wagalatia 3:13
Kristo alitukomboa kutoka katika laana ya sheria kwa kujitwalia laana hiyo kwa ajili yetu; maana Maandiko yanasema: “Yeyote aliyetundikwa msalabani amelaaniwa.”
Mpaka Mariam aliona , wananchi wote waliona na wakaweka kumbulumbu sawa , 😂😂😂 anakuja mtu miaka 600 anasema ilikuwa kiini macho 😂😂😂😂😂Hujajibu swali kijana, nimeandika kwa Kiswahili chepesi sana.
Onyesha wapi yamejibiwa.Maswali yale yameshajibiwa kwenye mada hiihii, mnapenda sana tuwe tunarudia.
Swala la allah kudanganya kuhusu issa mnalikimbia kila tukiwauliza.
Hakuna nilipo kiri, kwanini unaandika uongo ?Huna swali , umeshakiri waliona Yesu kasulubiwa na wakaandika walicho ona , sasa useme kwa nini Allah ni muongo
Umekiri mwenyewe kuwa waliona kasulubiwa au kanusha mda huu kwamba Allah alikosea uongo na hakufanana na halisiHakuna nilipo kiri, kwanini unaandika uongo ?
Swali langu limejikita kwenye imani yako ya kuwa mnasema Yesu alisulubiwa. Nikakuomba unitajie watu watano tu ambao waliona hilo tukio.
Kisha swali langu la pili ni kuhusu Yohana, habari za Yesu alizipata wapi, na historia inasema Injili ya Yohana iliandikwa miaka 90 au zaidi baada ya Yesu kuondoka duniani. Sasa msikimbie maswali ya msingi.
Uislamu uko tofauti sana na dini nyingine, Allah amejaalia elimu kwetu sisi. Katika Uislamu kuna kuhakiki hizi habari kama tulivyo pewa muongozo toka kwenye Qur'aan. Lazima kitu kiwe kweli na kisipingane na Qur'aan na maneno sahihi ya mtume.Kama tafsir ni uongo , ndio unatujulisha waislamu vitabu vyenu ni vya uongo
Huyu hapa nani amekiri walijua ni Yesu , swali lilifuta Allah baada ya kufanya shughuli ya uongo alikaa mda Gani kuja kusema alidanganya? Ni muhimu ujibu timejinu liko wazi, wao walijua ni Yesu, ndiyo
Unapotaja majina unaweka na andiko lenu kutikia nguvu hicho ulichosema.Mpaka Mariam aliona , wananchi wote waliona na wakaweka kumbulumbu sawa , 😂😂😂 anakuja mtu miaka 600 anasema ilikuwa kiini macho 😂😂😂😂m😂
Kwa hiyo vitabu vyenu Al jallayn na ibn abas unathubitisha ni vya uongo?Uislamu uko tofauti sana na dini nyingine, Allah amejaalia elimu kwetu sisi. Katika Uislamu kuna kuhakiki hizi habari kama tulivyo pewa muongozo toka kwenye Qur'aan. Lazima kitu kiwe kweli na kisipingane na Qur'aan na maneno sahihi ya mtume.
Kuhusu Tafsir ya Jalalaym mara ngapi unaleta maana zako toka kwenye Tafsiri ile na si tu kwenye tafsiri bali unanukuu aya toka kwenye Qur'aan kisha una leta maana zako, mfano unavyo dai Yesu ametajwa katika Qur'aan kwamba ni mwanga duniani na mbinguni, kisha unalinganisha na maandiko yenu, huu ni uzandiki na uzwa zwa ulio kubuhu.
Kadhalika Tafsir ya Ibn Abbas, hili nilishakwambia na sababu nikakupa ya kuwa si tafsiri ya kutegemewa sababu muandishi au aliye nukuu tafsiri hii chain yake haijafika kwa swahaba Abdullah Ibn Abbas mwenyewe, na kuna mengi yanapingana na mafundisho sahihi ya Uislamu, sasa unaposema vitabu vyetu vya uongo ni vingapi hivyo ?
Sasa hatulei vichwa mchunga humu ndani.