Mitume walikuwa wanaomba kuombewa na wafuasi kipindi wanafanya huduma. Kwanini mwingine anaombewa hata baada ya kufa?

Ni wapi aljallalyn akiwa tafsir ya wakristo, ibn abas na huwa naweka kabisa ni tafsir ya nani
Kwanza huwa unaweka tafsiri za uongo na kuna wakati huwa unapindua maana hii tabia mko nayo tangu zamani walianza nayo mayahudi na mkaichukua toka kwao.

Jibu maswali niliyo kuuliza.
 
Wayahudi ndio kiboko cha waarabu. Wanawanyoosha hapo mashariki ya kati. Waislamu mmefuata waarabu basi na nyie mnatumia lugha ya kuwaita wayahudi mayahudi.

Chakushangaza muhammad kaenda kukopi maandiko ya wayahudi na kuongeza vitu vichache akaanzisha uislam.
 
Wayahudi ndio kiboko cha waarabu. Wanawanyoosha hapo mashariki ya kati. Waislamu mmefuata waarabu basi na nyie mnatumia lugha ya kuwaita wayahudi mayahudi.
Chakushangaza muhammad kaenda kukopi maandiko ya wayahudi na uongeza vitu vichache akaanzisha uislam.
Kinachowafanya muonekane ya kuwa ni watu msio jielewa i kutokujibu maswali mnayo ulizwa.

Umerukia huku kabla hujamaliza kile kipengele cha maswali niliyo kuuliza.
 
SOMA DINI YAKO KWANZA...
Ukristo sio dini. Ni uhusiano (relationship) na ushirika (fellowship) na Mungu aliyehai. Dini ni kwa ajili ya watu wanaotafuta kumfahamu Mungu wa kweli. Dini zipo nyingi kama waislamu, buddha, bahaya, confusius nk.

Mpaka pale mwanadamu anapopata msamaha wa dhambi kupitia damu ya Yesu Kristo, hakuna raha, pumziko wala uzima wa milele. Njoo kwa Yesu Kristo. Achana na dini.
 
Kinachowafanya muonekane ya kuwa ni watu msio jielewa i kutokujibu maswali mnayo ulizwa.

Umerukia huku kabla hujamaliza kile kipengele cha maswali niliyo kuuliza.
Maswali yale yameshajibiwa kwenye mada hiihii, mnapenda sana tuwe tunarudia.

Swala la allah kudanganya kuhusu issa mnalikimbia kila tukiwauliza.
 
Kama hujui Kuna commentary wewe ni kichwa maji
Nataka kufahamu commentary ya nilipoweka red. Inasema yeyote ambayo haijalishi ni nani. Humu Hakuna mafumbo labda imetumika fasihi ya hali ya juu.

Wagalatia 3:13​

Kristo alitukomboa kutoka katika laana ya sheria kwa kujitwalia laana hiyo kwa ajili yetu; maana Maandiko yanasema: “Yeyote aliyetundikwa msalabani amelaaniwa.”
 
Kwanza huwa unaweka tafsiri za uongo na kuna wakati huwa unapindua maana hii tabia mko nayo tangu zamani walianza nayo mayahudi na mkaichukua toka kwao.

Jibu maswali niliyo kuuliza.
Huna swali , umeshakiri waliona Yesu kasulubiwa na wakaandika walicho ona , sasa useme kwa nini Allah ni muongo
 
Kasome commentary
 
Kama tafsir ni uongo , ndio unatujulisha waislamu vitabu vyenu ni vya uongo
 
Gusa link , usirudie rudie swali
 
Hujajibu swali kijana, nimeandika kwa Kiswahili chepesi sana.
Mpaka Mariam aliona , wananchi wote waliona na wakaweka kumbulumbu sawa , 😂😂😂 anakuja mtu miaka 600 anasema ilikuwa kiini macho 😂😂😂😂😂
 
Maswali yale yameshajibiwa kwenye mada hiihii, mnapenda sana tuwe tunarudia.

Swala la allah kudanganya kuhusu issa mnalikimbia kila tukiwauliza.
Onyesha wapi yamejibiwa.

Suala la pili kuhusu kudanganya hili nimelimaliza kadhalika kwa mwenzako tangu jana. Sasa jibuni maswali ninayo wauliza, kinyume na hapo hakuna maana ya kujadiliana tunakuwa tunapotezeana muda tu.

Shida yenu mnayaleta mambo ambayo hamyajui tukiwauliza mnakimbia maswali, sasa hii tabia naikomesha kwa mtindo huu, ili mkiwa mnaleta mambo humu muwe mmeshayasoma na kuyahakiki siyo mnaleta mambo kama tuko vijiweni.

Jibu maswali niliyo kuuliza.
 
Huna swali , umeshakiri waliona Yesu kasulubiwa na wakaandika walicho ona , sasa useme kwa nini Allah ni muongo
Hakuna nilipo kiri, kwanini unaandika uongo ?

Swali langu limejikita kwenye imani yako ya kuwa mnasema Yesu alisulubiwa. Nikakuomba unitajie watu watano tu ambao waliona hilo tukio.

Kisha swali langu la pili ni kuhusu Yohana, habari za Yesu alizipata wapi, na historia inasema Injili ya Yohana iliandikwa miaka 90 au zaidi baada ya Yesu kuondoka duniani. Sasa msikimbie maswali ya msingi.
 
Umekiri mwenyewe kuwa waliona kasulubiwa au kanusha mda huu kwamba Allah alikosea uongo na hakufanana na halisi

Alipo zitoa Muhamma habari za Isa miaka 600 baada ya Isa ni wapi ?
 
Kama tafsir ni uongo , ndio unatujulisha waislamu vitabu vyenu ni vya uongo
Uislamu uko tofauti sana na dini nyingine, Allah amejaalia elimu kwetu sisi. Katika Uislamu kuna kuhakiki hizi habari kama tulivyo pewa muongozo toka kwenye Qur'aan. Lazima kitu kiwe kweli na kisipingane na Qur'aan na maneno sahihi ya mtume.

Kuhusu Tafsir ya Jalalaym mara ngapi unaleta maana zako toka kwenye Tafsiri ile na si tu kwenye tafsiri bali unanukuu aya toka kwenye Qur'aan kisha una leta maana zako, mfano unavyo dai Yesu ametajwa katika Qur'aan kwamba ni mwanga duniani na mbinguni, kisha unalinganisha na maandiko yenu, huu ni uzandiki na uzwa zwa ulio kubuhu.

Kadhalika Tafsir ya Ibn Abbas, hili nilishakwambia na sababu nikakupa ya kuwa si tafsiri ya kutegemewa sababu muandishi au aliye nukuu tafsiri hii chain yake haijafika kwa swahaba Abdullah Ibn Abbas mwenyewe, na kuna mengi yanapingana na mafundisho sahihi ya Uislamu, sasa unaposema vitabu vyetu vya uongo ni vingapi hivyo ?

Sasa hatulei vichwa mchunga humu ndani.
 
jinu liko wazi, wao walijua ni Yesu, ndiyo
Huyu hapa nani amekiri walijua ni Yesu , swali lilifuta Allah baada ya kufanya shughuli ya uongo alikaa mda Gani kuja kusema alidanganya? Ni muhimu ujibu time
 
Mpaka Mariam aliona , wananchi wote waliona na wakaweka kumbulumbu sawa , 😂😂😂 anakuja mtu miaka 600 anasema ilikuwa kiini macho 😂😂😂😂m😂
Unapotaja majina unaweka na andiko lenu kutikia nguvu hicho ulichosema.

Sababu historia inasema wanafunzi wa Yesu hawakuzidi hata 120, na kutokana manyanyaso ilikuwa ngumu kuelezea au kueneza Injili ya nabii Issa (Yesu) sababu ilikuwa ikisikika tu unauliwa.

Bado hujajibu maswali niliyo kuuliza. Nimekaa hapa nasubiri majibu ya maswali yangu.
 
Uislamu uko tofauti sana na dini nyingine, Allah amejaalia elimu kwetu sisi. Katika Uislamu kuna kuhakiki hizi habari kama tulivyo pewa muongozo toka kwenye Qur'aan. Lazima kitu kiwe kweli na kisipingane na Qur'aan na maneno sahihi ya mtume.

Kuhusu Tafsir ya Jalalaym mara ngapi unaleta maana zako toka kwenye Tafsiri ile na si tu kwenye tafsiri bali unanukuu aya toka kwenye Qur'aan kisha una leta maana zako, mfano unavyo dai Yesu ametajwa katika Qur'aan kwamba ni mwanga duniani na mbinguni, kisha unalinganisha na maandiko yenu, huu ni uzandiki na uzwa zwa ulio kubuhu.

Kadhalika Tafsir ya Ibn Abbas, hili nilishakwambia na sababu nikakupa ya kuwa si tafsiri ya kutegemewa sababu muandishi au aliye nukuu tafsiri hii chain yake haijafika kwa swahaba Abdullah Ibn Abbas mwenyewe, na kuna mengi yanapingana na mafundisho sahihi ya Uislamu, sasa unaposema vitabu vyetu vya uongo ni vingapi hivyo ?

Sasa hatulei vichwa mchunga humu ndani.
Kwa hiyo vitabu vyenu Al jallayn na ibn abas unathubitisha ni vya uongo?
 
Back
Top Bottom