Bome-e
JF-Expert Member
- Jan 3, 2014
- 17,179
- 26,188
Haukuvurugwa,ndio maana CCM mliendelea na ikapatikana Katiba pendekezwa Toka Rasimu ya Warioba!Mchakato ulishavurugwa na akina Lipumba, Slaa, Mbowe (UKAWA)
Mchakato ulifikia hatua ya kupigiwa kura ya maoni na wananchi,je,hao uliowataja walivurugaje msipeleke Katiba pendekezwa Kwa wananchi Kwa ajili ya kura ya maoni?