Mtalii mweusi
JF-Expert Member
- Apr 16, 2014
- 227
- 357
Mimi kilichonishangaza zaidi, jana kuna jamaa kanipigia kuomba mchango wakati muda huo ana deni la pesa yangu.
Mimi nimeshasema sitokuja kuchangia harusi ya mtu.
Mambo mengine ni ujinga tu,kama mmeamua kufanya jambo fanyeni kile kilichopo ndani ya uwezo,mambo ya kuomba omba pesa tena kwa nguvu nyingi ni kujitia aibu.
Hii ni kero kubwa Sana hasa miaka hii.Hivi kwanini watu mkiamua kuoana msifanye kitu kilicho ndani ya uwezo wenu,? Kama ni utamu au uchungu mnaenda kupata wewe na mkeo/ mmeo why tabu mtupe wengine.mnakeraaaa..
Ujawahi kuomba mchango nawala ujawahi kupigiwa vigeregereSijawahi omba mchango
Vyovyote tu bora kuoaUmeoa usiku wewe
nakusalimu mkuu! missing u.Ndoa ni shughuli ya jamii.
Hivi like huwa mwisho kumpa mtu ningapiNadhani hautombwi vizuri
Hivi kwanini watu mkiamua kuoana msifanye kitu kilicho ndani ya uwezo wenu,? Kama ni utamu au uchungu mnaenda kupata wewe na mkeo/ mmeo why tabu mtupe wengine.mnakeraaaa..
Acha roho ndogoMimi nimeshasema sitokuja kuchangia harusi ya mtu.
Mambo mengine ni ujinga tu,kama mmeamua kufanya jambo fanyeni kile kilichopo ndani ya uwezo,mambo ya kuomba omba pesa tena kwa nguvu nyingi ni kujitia aibu.
Tusipangiane mambo ya kufanya,kila mtu afanye anachoona ni sahihiAcha roho ndogo