Chukwu emeka
JF-Expert Member
- Jan 12, 2018
- 24,314
- 38,919
Juzi ijumaa kuna harusi ambayo budget yake ilikuwa 47m,leo nipo ukumbini tena budget ya hii 22m,kuchanga ni hiari siyo lazima
Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
Sina dadaDada zako waliomba..
Mimi na Mme wangu! Vipi niongeze sauti?We ndo unaeamua!!!!??
Safiii. 😂 😂 😂Sijawahi changia harusi wala sitakuja kuchangia. Kwanza mimi nitafanya ndoa tu navaa dira langu jekundu kama bibi harusi wa kihindi , ni kutia ubani, watu wale biriani wasepe. Shuhuli inafanyika nyumbani kwetu nilikozaliwa na kulelewa. Tusichoshane hayo maswala ya shela ni ya kizungu.
Mimi na Mme wangu! Vipi niongeze sauti?
Naomba nikupe kadi mojaSijawahi kuletewa kadi ya mchango [emoji1787][emoji1787]
Kitendo cha kutumiwa msg siku nzima ni zaidi ya kulazimishwa!..mpango gani mkuu?Umelazimishwa kuchanga?! Naahirisha mpango wangu
Ndio!una swali lingine?Ujawahi kuomba mchango nawala ujawahi kupigiwa vigeregere
Alafu wakitoka ukumbini wanarudi gheto.Juzi ijumaa kuna harusi ambayo budget yake ilikuwa 47m,leo nipo ukumbini tena budget ya hii 22m,kuchanga ni hiari siyo lazima
Wachange kwa mapenzi yao sio niwashikie bango.
Sasa hiyo ni mipango ya wao wenyeweAlafu wakitoka ukumbini wanarudi gheto.
Kuna jamaa nimeshamuambia sina hela ya mchango nashangaa leo kashanipigia mara 2 sijapokea,huyu ina maana hajanielewa,halafu sijui wanajitoa ufahamu!kama mbwai na iwe mbwai...
Alafu wakitoka ukumbini wanarudi gheto.
Mimi ni katibu wa kamati ya roho mbaya. Kadi yako itapotea bure.Naomba nikupe kadi moja
Aliyekufikishia kakudanganyaTaarifa zako kuwa una chura ninazo!
Baelezee mzee maskini waelewe.Umaskini mbaya mtu anapmba mchnago elfu 50 mafuta ya gati siku 2 natumia elfu 50 hapo kero inatoka wapi?