Mjadala: Kero za michango ya Sherehe katika jamii ya Watanzania

Juzi ijumaa kuna harusi ambayo budget yake ilikuwa 47m,leo nipo ukumbini tena budget ya hii 22m,kuchanga ni hiari siyo lazima
 
Safiii. 😂 😂 😂
 
Kinachokera kingine ni kuungwa kwenye grupu la whatsapp la harusi bila kwanza kuombwa ridhaa....yaani!
 
[emoji16][emoji16][emoji16][emoji16][emoji16][emoji16]
Kuna jamaa nimeshamuambia sina hela ya mchango nashangaa leo kashanipigia mara 2 sijapokea,huyu ina maana hajanielewa,halafu sijui wanajitoa ufahamu!kama mbwai na iwe mbwai...
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…