Ahsante kwa maoni yako,
Nikweli nyuzi ni nyingi kutokana na uwepo wa changamoto za ndoa, ambapo naweza sema mim kwa mtazamo wangu changamoto ni nyingi mno na haina haja sote tuzipitie naamini wewe na wenye mitazamo kama yako zinawafaa.

Ndoa kuwepo enzi na enzi upo sahihi ila tafsiri ya ndoa ya zamani si sawa na yawakati huu!

Ndoa si muhimu kwa mwanaume nakataa!
mwanaume hanufaiki chochote na ndoa enzi na enzi mwanaume hajawahi nufaika nandoa.
kuna watu hatuhitaji matatizo yanayosababishwa na ndoa nivema ukaheshimu hilo.


Hatukwepi majukumu,
tunachokwepa na mkataba wa kinyonyaji na system ya kishenzi ambayo kiukweli mwanaume yeyote mwenye akili timamu wa kizazi hiki hawezi ingia mkenge.
kunajambo ambalo ndugu hujalitambua kuhusu sisi wakataa ndoa, naamini kupitia mjadala tutawekana sawa.

itategemea na mindset yako mkuu! ila kama uko na open mindset now days we don't need ndoa ili kuwa happy, we don't need ndoa ili kuenjoy sweet sex, we can have kids, no stress no divorces no nothing.
 
Daimond naye anaogopa Majukumu?
Vunja bei? Je?

Ndoa ni mradi wa upigaji huwezi kuacha Legacy endapo ukioa mfano Ruge mtahaba akuwa na ndoa, kuoa ni kujiingiza katika mradi wa unyonyajii
ndoa ni kwa masimp na manice guys ambao wako soooooooo insecure!
 
Mashoga hao wala wasikuumize kichwa, wanatumia hila nyingi ili kuhalalisha upuuzi wao.
Relax !
what is a point of getting married?

You all soo in love that you want to invite government and church for a 4some?
 
Naona umejaribu kuwa victimize wanawake wezio kusema wanaume wanafanya uharibifu kwa kuwapa ujauzito!

hapana bado ! bado hujafanikiwa kufanya utetezi mzuri!

ngoja mimi niwakumbushe wezangu?
'' FELLAS it's not wise to sign a contract with someone who benefits from breaking it.''
 
[emoji1666][emoji1666]
 
Kuchakata ni wajibu

Ndoa ni jukum

Wajibu lazma utimizwe

Jukum sio lazma likamilishwe

#KATAA NDOA KWA AFYA YAKO

Nafikili ni rahisi kumwelewesha mungu kwanini hukuoa kuliko kumwelewesha kwanini ulipiga mtoto wa watu mpaka ukaua

Muhm:Tutaoaga tu
Ndoa ni nzuri kwa baadhi ya wanaume
i'm not sexist
ila acha mabaharia kazi iendelee maana ni bora kuliko kuoa
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…