Mjomba Fujo
JF-Expert Member
- Oct 27, 2012
- 2,438
- 6,313
Mtu sahihi atapatikana shida ni kutaka societal validation.Mjomba kikubwa ni kutulia kumpata mtu sahihi
Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
Mtu sahihi atapatikana shida ni kutaka societal validation.Mjomba kikubwa ni kutulia kumpata mtu sahihi
Yaani nimesikia jana hiki kitu, kwasababu hajaniambia naacha mpaka aniombe ushauri. Atulie tu kwa kweli. Kiapo cha ndoa akitimize.Atulie na ndoa si aliapa kanisani atakua na mkewe kwenye shida na raha, nje anafata nini sasa.
Hapo kiapo kitawekwa kando ndio ujue unafiki wa kibinadamu😂Yaani nimesikia jana hiki kitu, kwasababu hajaniambia naacha mpaka aniombe ushauri. Atulie tu kwa kweli. Kiapo cha ndoa akitimize.
Hamchelewi, kishaanza kuangalia nani anaweza kuzaa naye. Ndiyo ikanifikia taarifa!!!Hapo kiapo kitawekwa kando ndio ujue unafiki wa kibinadamu😂
Bado mapema sana waendelee kujaribuHamchelewi, kishaanza kuangalia nani anaweza kuzaa naye. Ndiyo ikanifikia taarifa!!!
Ahsante kwa maoni yako,Nimeona kuna nyuzi nyingi sana hapa JF zikihamasisha vijana kupinga masuala ya ndoa. Mtu kakurupuka huko kaona familia moja ina matatizo yao basi moja kwa moja analeta uzi kuwa ndoa haifai. Ndoa zimekuwepo toka enzi na enzi na changamoto kwenye familia hazikosi lakini leo mtu anakwambia kirahisi tu eti kataa ndoa.
Ndoa ni muhimu sana kwa mwanamume na mwanamke, ile hali ya kukaa pamoja kama familia inakufanya ujihisi tofauti na kipindi kile ukiwa peke yako. Matatizo kwenye ndoa hayakosekani ila hiyo sio sababu ya kufanya kuepuka ndoa.
Hawa watu wanaopinga ndoa naona ni wakwepa majuku, vijana mnaogopa majuku ya kifamilia? Inasikitisha sana. Ewe kijana ingia kwenye ndoa ukiwa tayari umekoamaa kiakili haswa acha kupumbazwa na maneno ya watu.
Changamoto ama majukumu huwezi kuyakimbia kamwe, za kuambiwa changanya na zako.
ndoa ni kwa masimp na manice guys ambao wako soooooooo insecure!Daimond naye anaogopa Majukumu?
Vunja bei? Je?
Ndoa ni mradi wa upigaji huwezi kuacha Legacy endapo ukioa mfano Ruge mtahaba akuwa na ndoa, kuoa ni kujiingiza katika mradi wa unyonyajii
God never suggested that men need to sign a contract to be married.Ndoa ni mpango wa Mungu. Je kataa ndoa ni mpangonwa nani?
Relax !Mashoga hao wala wasikuumize kichwa, wanatumia hila nyingi ili kuhalalisha upuuzi wao.
Mungu alimwoa naniNdoa ni mpango wa Mungu. Je kataa ndoa ni mpangonwa nani?
Naona umejaribu kuwa victimize wanawake wezio kusema wanaume wanafanya uharibifu kwa kuwapa ujauzito!Mnaendelea Kufanya uharibifu na kuwapa ujauzito watoto wa watu.
Humu mtu akileta Uzi analalamika kuhusu mapenzi na ndoa utaona comments,
"Kijana kataa ndoa."
"Kimbia ndoa."
"Hakuna kuoa."
"Kindly evacuate, do you copy."
"Mbususu zimejaa."
Mbona hamsemi kataa uzinzi.🤨
Mmekulia familia za single parents? Mbona wengine hapa mmelelewa na baba na mama?
Cha kushangaa Kila siku vijana ndo wanaoongoza kwa kuoa Tena wale wa under 30😂. Mimi naona hizi anonymous ID zinatufanya tudanganyane kumbe Kuna wengine wapo kwenye harakati za kuoa.
Kwa niaba ya wanawake wa JF tunakataa kubeba ujauzito kabla ya ndoa.
View attachment 2452960
NB:: Sijapewa ujauzito ❗
[emoji1666][emoji1666]Naona umejaribu kuwa victimize wanawake wezio kusema wanaume wanafanya uharibifu kwa kuwapa ujauzito!
hapana bado ! bado hujafanikiwa kufanya utetezi mzuri!
ngoja mimi niwakumbushe wezangu?
'' FELLAS it's not wise to sign a contract with someone who benefits from breaking it.''
All married men i know they lookToa faida hata moja tu ya ndoa ambayo asiyeoa haipati. Toa angalau moja tu. Then baadae nitakwambia utapeli wa ndoa.
Sent from my Infinix X624 using JamiiForums mobile app
Ndoa ni nzuri kwa baadhi ya wanaumeKuchakata ni wajibu
Ndoa ni jukum
Wajibu lazma utimizwe
Jukum sio lazma likamilishwe
#KATAA NDOA KWA AFYA YAKO
Nafikili ni rahisi kumwelewesha mungu kwanini hukuoa kuliko kumwelewesha kwanini ulipiga mtoto wa watu mpaka ukaua
Muhm:Tutaoaga tu