Mtembezi Kichomi
JF-Expert Member
- Feb 24, 2022
- 696
- 993
Tofauti ya kuoa na ndoa ni nini ?Hakuna anaekataa kuoa, bali watu wanakataa ndoa, ni kweli hamuelewi?
Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
Tofauti ya kuoa na ndoa ni nini ?Hakuna anaekataa kuoa, bali watu wanakataa ndoa, ni kweli hamuelewi?
Kwani ww ulitarajia nini kwa mkeo akupe mpaka ukamuoa ?They want everything.
They offer NOTHING.
Madogo kuishi na mwanamke ni muhimu ila ishi nae kinyumba tu bila ndoa utakuja kubariki Ndoa ukifika miaka 55 huko...
Wengi wao hawana Cha kutoa..
Oya kaka zenu tumeoa tunawaambia uhalisia hawana Cha kutoa..
Kamata mtoto wa mtu piga mimba ishu nae kinyumba hayo maigizo anayowekea kabla ya kusign makaratasi yataisha tu...
THEY HAVE NOTHING TO OFFER,NOTHING
Ni Stress tu na usipokuwa makini utajifunza umalaya,ukatili au ulevi.Hiyo tabia Yako ya upole unaweza jikuta umeenda kuwa Katili kwenye Ndoa na huyo ucheshi wako,uchangamfu unaweza jikuta umeenda kuwa mkimyaaaa..
Ndoa itakupoteza Asili yako usipokuwa makini..
Mimi sikuwahi kuwa mtu wa kukunja sura mda wote sio Asili yangu kabisa ila nimejikuta nimekuwa mtu serious kweli kweli hasa nikiingia ndani ya nyumba.
Unapogusa mlango wa nyumbani kwako ndo Stress,Hasira,chuki, Majuto nayo yanakuwa karibu na Ukiingia tu Makwazo yanaanza mi defense yangu ni kuwa serious tu au naenda chumba cha wageni najifanya kuna kazi nafanya huko kumbe nipo busy kufurahi na comedy contents imagine mimi na utu uzima wangu nimetoka 850k nimenunua PS4 ili tu nisiwaze ujinga wa nyumbani...
Madogo jipange kabla ya kuoa mtakuja kuwa watu wa Ajabu sana msipoangalia...
Watasema umekosea kuchagua No no no no,kama kuna watu walijipanga kuchagua basi mimi ILa bado nakwambia they have nothing to offer.Hawa watu ni fake sana..
Mi mke wangu akitokea leo hii mbele ya mwanaume yeyote yule 85% watasema mke ndo huyu ila niishie hapo tu...
Shauri yenu...
[emoji850]Wazee wazamani wa wapi ? waliwakeketa kina nani waliotulia ? Nipe mifano dhahiri kwenye familia yenu. Huenda sisi kwetu hawajakeketwa ndo maana. Bibi, Shangazi , Dada na mama ako wapo upande upi ? Ndoa sio ngono ya masaa kadhaa pekee.
Badili cycle Yako mkuu.. watu wanapeana michongo Daily.Kizuri cha jiuza kibaya chajitembeza kama ndoa ni tamu hiv mbona mnawashawishi wengne waingie ,mbona kwenye machimbo ya fursa za kiuchumi hamshawishi mtu aingie.
Ndoa ni mtego mbaya kwa mwanaume hazina faida , faida labda kama ww ni mfanya biashara uoe mfanyakazi serikalini upate bima ya afya tu[emoji3][emoji3][emoji3]Tatizo kunawanaotaka ndoa bila sababu na kuna wale wanaokataa bila sababu. Je, wewe sababu yako ya msingi ni ipi?
Kuna mshkaji kabla ya kufunga ndoa yeye na mkewe walikua na aman mno walivyofunga tu mshkaji kageuka Cha pombe ,ukimuuliza nini shida anasema Acha tu.Kuna watu wametoka kufunga ndoa hata miezi 4 hawajafika,timbwili tayari
Ova
Hakuna mtu anawashawishi ,mlishawishi tukaja na kataa ndoa kupinga wito wenu.Ww mbona huleti hoja za kutushawishi tusioe ?
Kukataa ndoa sio kukataa kuoa haujibiwi kiusahihi kwa sababu umekaza fuvu.Nikasome story zao kwenye comment ama ? Usinitag ww niambie ni madhara yapi nitayapata nikioa ? Mfano labda 1. Nikioa nitakufa mapema 2. Nikioa nitafilisika 3. Nikioa Demu wangu watamgonga n.k....... hata huko kwenye huo Uzi pitia alafu rejesha madini ya huko kwa ufupi hapa .
Mimi nimeoa ila nakataa ndoa ,njoo na hoja kwamba ndoa ina umuhimu .Badili cycle Yako mkuu.. watu wanapeana michongo Daily.
Hakuna anaemshawishi mtu kuoa. Ila tunapinga kushawishiwa kukataa ndoa pasina hoja.
Nimekuuliza kukataa ndoa na kukataa kuoa tofauti ni nini ? Jibu Hilo kwanzaKukataa ndoa sio kukataa kuoa haujibiwi kiusahihi kwa sababu umekaza fuvu.
Toa tofauti ya ulichokifanya (kuoa) na unachokikataa (ndoa)Mimi nimeoa ila nakataa ndoa ,njoo na hoja kwamba ndoa ina umuhimu .
Ndoa lazima iwe kwa mujibu wa sheria na upate cheti chenye saini yako na mashaidi wawili kama mkataba wenu ,hicho ndicho tunakataa na kukipinga kama watu wa mfumo dume .Nimekuuliza kukataa ndoa na kukataa kuoa tofauti ni nini ? Jibu Hilo kwanza
jaribu kupitia sababu au ninini kimewapelekea hawa watu kufikia hapo siyo kwamba ndoa ni mbaya yaliyomo hasa hiyo 50/50 imewakwaza hata hao wazee wetu hawakuwa hivi, kila mtu anahaki ya kuamua nini anataka katika maishaKampeni zinazohamasisha watu kukataa ndoa zisipewe nafasi kwa kuwa hazina nia njema ya kujenga jamii, kinyume chake zinaharibu maadili yetu kama watanzania
Wewe unayeshawishi watu wasioe umelelewa kwenye ndoa halafu unapotosha wengine wasioe .
kwa kweli ndoa ni changamoto sana,,,,ukiangalia wazee wengi wa kiume wanaanza kufa kabla ya wanawake kwa sababu ya msongo mkali wa mawazo!!Mimi nillioa nikaachaa kwa TALAKA, Bado nasisitiza, KATAA NDOA, NDOA NI UTUMWA, NDOA NI KWA AJILI YA KUMFAIDISHA MWANAMKE, NDOA NI KWA AJILI YA KUMKANDAMIZA MWANAUME,
KATAA NDOA
KATAA NDOA
KATAA NDOA
Liverpool VPN njoo huku