Mjadala kwa wanaokubali kuoa (Ndoa)
Bill gates ,Jeff bezos ,Elon musk wanatuunga mkono wahuni , kataa ndoa ,kataa ndoa kataa ndoa
 
Naunga mkono hoja.
Maxence,hata kama JF ni uwanja huru lkn kuna mambo kama ya kubomoa jamii msingekuwa mnayapa nafasi.Somehow yanashusha hadhi ya JF na mtu unaweza kufikiria hata kuiacha JF .Ndoa ni taasisi muhimu sana sasa kuacha mtu anahamasisha uholela sio kujenga bali ni kubomoa jamii.Tuna jukumu la kukinda the very centres of our social existance.
Kama ni muhimu haiwezi kuaribiwa na maneno matupu.
 
Kampeni zinazohamasisha watu kukataa ndoa zisipewe nafasi kwa kuwa hazina nia njema ya kujenga jamii, kinyume chake zinaharibu maadili yetu kama watanzania

Wewe unayeshawishi watu wasioe umelelewa kwenye ndoa halafu unapotosha wengine wasioe .
Waanze kupigwa ban kwanza wajinga wanaojiita fermists hao ndio walioalibu akili za wanawake wenzae mpaka kufika hatua wanaume hawataki tena ndoa
 
Sheria za ndoa na mmong'onyoko wa maadili kwa wakina dada vyote vinachangia
Maana halisi ya kukataa ndoa ni kukaa mbali na mwanamke. Maana halisi ya kukataa ndoa ni pamoja na kumuacha uliempa mimba apambane isipokuwa ukihitaji kumpa huduma za matumizi ya kawaida kwa ajili ya mtoto wako, maana halisi ya kataa Ndoa ni kutoishi nyumba moja na mwanamke kuanzia miezi sita kuendelea, maana halisi ya kataa Ndoa ni kutomiliki mwanamke kwa Hali yeyote.

Kama haupo kundi lolote kati ya hayo basi ww una ndoa iwe sherehe ya harusi ama ndoa bubu ya sogea tukae. Na ujitoe rasmi kwenye team kataa Ndoa.
 
Hayo ni yako mkuu kwani mhasis wa kataa ndoa anasemaje?
 
Nataka team kataa Ndoa pure. Yaani kusiwepo na mikanganyo ya "eti mm naishi na mwanamke nyumba moja na sijaoa". "eti mm naishi na familia yangu na sijaoa"

Narudia team kataa Ndoa sio hio. Ila msafara wa Mamba,kenge hawakosi.
 
Nadhani tukatae kwanza hizi kampeni za 50/50... tuwakatae hawa manabii feki ambao kila siku wanavunja ndoa za watu.. tuwakatae washauri wote wa ndoa wanaojitokeza kwenye media kumgandamiza mwanaume na kuhakikisha hafurahii uanaume wake... KATAA NDOA NI KAMPENI MUHIMU YA KUWAPUNGUZA KASI HAWA WANAHARAKATI UCHWARA WANAOCHANGIA WANAUME KUPOTEZA UANAUME WAO NA KUWA WATUMWA WA MWANAMKE.
 
Katikati ya timu kataa ndoa pia kuna timu wapiga papuchi tu na kutembea pia wapo sahihi
 
Nataka team kataa Ndoa pure. Yaani kusiwepo na mikanganyo ya "eti mm naishi na mwanamke nyumba moja na sijaoa". "eti mm naishi na familia yangu na sijaoa"

Narudia team kataa Ndoa sio hio. Ila msafara wa Mamba,kenge hawakosi.
Team kataa Ndoa iwe ya watu ambao hawana ndoa wala kuoa.

Team kataa Ndoa iwe inaelekeza msimamo wake juu ya Sheria za Ndoa na kugoma ndoa Wala kuoa

Team kataa Ndoa iwe inatoa waziwa sababu kubwa ya kugomea ndoa na kuoa.

Mliobaki ni kenge kwenye msafara wa Mamba .
 
Kataa ndoa ni kataa ndoa tu ,kama na ww upo kwenye mkumbo wakuishi na mwanamke bila ndoa na wewe umekataa ndoa tu.,
Ww umeoa, hata kama hujui Hilo. Watu wanataka sherehe kwako sio ndoa.

Ww unazani baada ya hio sherehe kipi kitaongezeka kwako.
 
Nadhani tukatae kwanza hizi kampeni za 50/50... tuwakatae hawa manabii feki ambao kila siku wanavunja ndoa za watu.. tuwakatae washauri wote wa ndoa wanaojitokeza kwenye media kumgandamiza mwanaume na kuhakikisha hafurahii uanaume wake... KATAA NDOA NI KAMPENI MUHIMU YA KUWAPUNGUZA KASI HAWA WANAHARAKATI UCHWARA WANAOCHANGIA WANAUME KUPOTEZA UANAUME WAO NA KUWA WATUMWA WA MWANAMKE.
Tuko pamoja [emoji106]
 
Ndoa haina umuhimu kama tulivyodnganywa , ata wanaume wenye ndoa walizfunga kwa kulazimishwa na wanawake tu , na wanawake wao wameficha na vyeti kama silaha yao[emoji3][emoji3]
 
Ww umeoa, hata kama hujui Hilo. Watu wanataka sherehe kwako sio ndoa.

Ww unazani baada ya hio sherehe kipi kitaongezeka kwako.
Nmeishi na wanawake zaid ya mmoja mkuu naweza waacha bila kuja kulilia huku mambo ya dawati na usawa wa kijnga
 
Back
Top Bottom