Mjadala kwa wanaokubali kuoa (Ndoa)
Nmeishi na wanawake zaid ya mmoja mkuu naweza waacha bila kuja kulilia huku mambo ya dawati na usawa wa kijnga
Sema naishi na Wanawake zaidi ya mmoja ndo nitakuelewa. Sio nimeishi (wakati uliopita timilifu) . Na hata ikiwa hivo Hauna tofauti na mtu mwenye ndoa ya wake wengi.
 
Sema naishi na Wanawake zaidi ya mmoja ndo nitakuelewa. Sio nimeishi (wakati uliopita timilifu) . Na hata ikiwa hivo Hauna tofauti na mtu mwenye ndoa ya wake wengi.
Ukisema ndoa inaleta ukakasi na hsra kbsa
 
Naam
IMG20230217163027.jpg
 
Mimi sina ndoa kama hautaki basiiiii .
Nimekwambia kama hujui kuwa una ndoa nipe namba ya huyo mwanamke unaeishi NAE nyumba moja na umemzalisha alafu mfukuze kwako kuanzia Leo yaani mkane katukatu alafu ndo tutajua kama una ndoa ama huna.


THUBUTU
 
Je, anajuta kwa wewe kumuacha au anaona poa tu?
Tangu mwaka juzi alikuwa ananiomba msamaha turudiane baada ya kuachika mara ya pili

Mimi nilipoachana nae akaolewa tena, akadumu kwenye ndoa mwaka mmoja kisha akaachika
Baada ya hapo akaanza kuniomba msamaha anataka turudiane nikamjibu,

"hakuna nilichosahau kwako, ndiyo nimekusamehe lakini swala la kurudiana na mimi sahau"

Mpaka sa hivi bado anataka turudiane
 
Kwaio wazazi wako kabla ya hizi Sheria walikuwa kundi Gani ?
Ili muunganiko kimahusiano wa me na ke uitwe ndoa lazima ishuhudiwe na watu wawil au zaidi na isainiwe kisheria , watu hawawez vutana tu kuishi useme wana ndoa .
 
Ili muunganiko kimahusiano wa me na ke uitwe ndoa lazima ishuhudiwe na watu wawil au zaidi na isainiwe kisheria , watu hawawez vutana tu kuishi useme wana ndoa .
Hujajibu swali nimekuuliza wazazi wako walikuwa kundi Gani?
 
Nimekwambia kama hujui kuwa una ndoa nipe namba ya huyo mwanamke unaeishi NAE nyumba moja na umemzalisha alafu mfukuze kwako kuanzia Leo yaani mkane katukatu alafu ndo tutajua kama una ndoa ama huna.


THUBUTU
Mkuu utafanya nini labda utakachofanikiwa ni kumla tu
 
Nsikuchoshe na usinichoshe,tusichoshane!.

Takribani visiku kadhaa humu ndani kuna kampeni za watu kadhaa ambao wamekuwa wakipinga suala la kuoana(Ndoa).

Nimejaribu kupitia nyuzi kadhaa nikaona wameainisha sababu zao na uenda zikawa za msingi(kwao) na kwangu zisiwe za msingi vilevile.Pengine watu hawa hadi kufikia kuona mahusiano ya mke na mume(Ndoa)kuwa kitu kisichofaa yawezekana kabisa wengi wao wamewahi kuwa kwenye Ndoa na kutoka na sintofahamu wakaamua kujiengua na ndiyo maana wamekuwa wakipiga kelele na kutoa tahadhari kana kwamba kuna bomu la nyuklia linakwenda kupigwa na kusababisha maafa muda mchache ujao.

Sidhani kama hujawahi kuingia kwenye ndoa ukawa na uhalali wa kupaza sauti na kushupalia jambo ambalo hujawahi kulifanya na hujui ubaya na wema wake,bila shaka wote wanaopinga ndoa ni majeruhi wa ndoa zenyewe.

Mimi kama UMUGHAKA sipingani nao kwakuwa huo ndiyo mtizamo wao na mwenzio anapotoa mtizamo wake bila shaka amekaa chini akatafakari na alichowasilisha huwa kina mantiki.


My take.


Kama leo tunapinga suala la ndoa kwa nguvu zote naomba hizo nguvu pia zitumike kupinga suala la Uzinzi na Uasherati.

Suala la kupinga ndoa maana yake ni kwamba Huwezi kuishi na Mwanamke/Mwanaume kwa kifupi mwanamke/mwanaume hakupaswa kuwepo duniani,sasa nadhani hapa tuliweke hili suala vizuri,tupinge ndoa lakini pia tupinge uzinzi na uasherati.

Haiwezekani humtaki mwanamke/mwanaume kwenye jambo la ndoa halafu ukamtaka huyo huyo mwanamke/mwanaume akupe papuchi/mkuyenge mnapokutana huko vichochoroni,hili halikubariki!.

Ukiamua kukataa ndoa kataa kabisa na suala la Uzinzi na Uasherati.Siyo leo upinge suala la ndoa halafu kesho tukukute pale kitambaa cheupe unamshika Joyce matako huku ukiwa umembambia kinoma noma.

Suala la ndoa linahusu mwanaume na mwanamke,na vilevile suala la uzinzi/uasherati linahusu Mwanaume na mwanamke,hivyo hakuna sababu ya kumkataa mwanamke halafu tukuone unafanya uzinzi wa waziwazi.

UKIAMUA KUKATAA NDOA KATAA NA MAMBO YANAYOMHUSU MWANAMKE/MWANAUME.

SIYO UKATAE NDOA HALAFU UENDELEE NA UZINZI/UASHERATI.

Ni hayo tu.
 
Hujajibu swali nimekuuliza wazazi wako walikuwa kundi Gani?
Sio lazma nijibu kwa mtindo unaotaka ww , unachoongea ni kweli lakini sio sahihi sana , ndio maana watu wanaishi na wanawake wanatelekeza na hawafanyi chochote zaid tu unatumia busara kumpa vimatumizi ili alee watoto.
 
Back
Top Bottom