Evelyn Salt
JF-Expert Member
- Jan 5, 2012
- 70,916
- 141,437
Kwa kuunga unga....Sasa tuishije
Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
Kwa kuunga unga....Sasa tuishije
Unanioa au tunaoana?Tufunge ndoa Dec hii babe.
Nakuwowa.Unanioa au tunaoana?
Duh bikra uipatie wapi mkuu yaani uwage unawaonja tu watoto wa watu mpaka uiotee bikra?
Cc Robert Heriel Mtibeli
Kataa ndoa 🤣🤣🤣Nakuwowa.
Mradi wa kijana aliye-oa huko Chamwino na kuponza wenzie dronedrake .Kataa ndoa 🤣🤣🤣
Kumbe mwamnyeto ako na mke 😹😹Mradi wa kijana aliye-oa huko Chamwino na kuponza wenzie dronedrake .
Hapo kwenye kupata bikira kwa kizazi cha leo ni sawa tu na kusema vijana tusioeUtandawazi, usaliti, na ugumu wa maisha vimepelekea vijana wengi hasa hasa wakiume kuona ndoa haina maana maishani mwao.
Ndoa bado ni muhimu sana kwa kila Mwanadamu maana ni heri kuoa kuliko kuishi maisha ya uasherati.
Kwa vijana wa kiume msiogope kuoa, cha msingi chagua msichana sahihi wa kuoa.
Ukimkuta sio BIKRA usioe, narudia tena USIOE.
Dini yangu inaniambia hivi; "Mke ni chombo cha heshima".
Chombo kilichochafuliwa na wahuni, wahuni wamechovya chovya na kuchafua hakiwezi tena kuwa "chombo cha heshima".
Soda inauzwa 600 tu, lakini huwezi kukubali kununua Soda iliyotolewa "kizibo". Zingatia neno "kizibo".
Mke ana thamani kubwa sana kuliko soda. Iweje ukubali kuoa Mke aliyetobolewa na wengine??? Zingatia neno "aliyetobolewa".
Mbaya zaidi wengine wanaoa hata wale waliotobolewa "tundu lisilofaa kutobolewa". Zingatia neno "tundu lisilofaa kutobolewa".
Ukimpata msichana aliyeweza kutunza "kizibo" chake mpaka ile siku ya ndoa huyo ana hofu ya MUNGU. Zingatia neno "kizibo".
Hofu ya MUNGU itamwongoza Mkeo akutii, akuheshimu, akupende, na ajiepushe na kila tamaa zitakazo mfanya akusaliti.
Dunia imepinda sana lakini miongoni mwetu wapo wasichana wenye hofu ya MUNGU. Wapo wasichana wanatunza "vizibo" vyao.
Na wewe Mwanaume ili ufurahie maisha yako ni lazima pia uwe na hofu ya MUNGU.
Oaneni, maana sio vyema kuishi maisha ya kutanga tanga.
Wapo sana mkuu tena wengi tu.Hapo kwenye kupata bikira kwa kizazi cha leo ni sawa tu na kusema vijana tusioe
Hamjambo wanajf,
Kijana una afya nzuri kabisa miaka ,uchumi na uwezo unaruhusu kabisa.
Embu tuambie kwanini hujaoa / kuolewa .
Embu jitetee ,labda pengine utatushawishi.
Usinifokee wewe ndio una shida
Umenijibu kikatili sanaTaasisi ya Ndoa iko beyond hivyo.
Unaweza ukawa na miaka 18, uchumi mbaya, na ukaoa /kuolewa
Unaweza ukawa na vyote ulivyotaja hapo juu na usioe/kuolewa.
Na hii inatokana na historia yako ya mahusiano, wanaume/wanawake uliokutana/unaokutana/ulio nao, bahat nzur/mbaya kwenye mahusiano, eneo na mazingira uliyopo,
Tabia zako/mwenza wako uliyekutana/uliyekuwa/uliye nae kwenye mahusiano.
All in all, mm nadhan haya yanachangia kwenye utayari wa mtu kuoa /kuolewa.
NB: username yako inasadiki..
🚮🚮Kama ukiweza kumpagawisha mke wako kitandani ukamkuna kisawa sawa ,utakuwa na maisha rahisi chini ya jua ,I swear lakini kama humridhishi mwanamke wako vizuri hata kuheshimu ,hata kuheshimu hata kidogo,Kila siku atakuwa anatafuta sababu ya kugombana na wewe .Mfanya akutetemekee akuone wewe ni wa thamani chini ya jua
Ko hii ndo mbinu pekee ya kumfanya mwanamke kukuheshimu?Kama ukiweza kumpagawisha mke wako kitandani ukamkuna kisawa sawa utakuwa na maisha rahisi chini ya jua. I swear lakini kama humridhishi mwanamke wako vizuri hatakuheshimu, hata kuheshimu hata kidogo. Kila siku atakuwa anatafuta sababu ya kugombana na wewe.
Mfanye akutetemekee akuone wewe ni wa thamani chini ya jua.