Mjadala kwa wanaokubali kuoa (Ndoa)
Utandawazi, usaliti, na ugumu wa maisha vimepelekea vijana wengi hasa hasa wakiume kuona ndoa haina maana maishani mwao.

Ndoa bado ni muhimu sana kwa kila Mwanadamu maana ni heri kuoa kuliko kuishi maisha ya uasherati.

Kwa vijana wa kiume msiogope kuoa, cha msingi chagua msichana sahihi wa kuoa.

Ukimkuta sio BIKRA usioe, narudia tena USIOE.

Dini yangu inaniambia hivi; "Mke ni chombo cha heshima".
Chombo kilichochafuliwa na wahuni, wahuni wamechovya chovya na kuchafua hakiwezi tena kuwa "chombo cha heshima".

Soda inauzwa 600 tu, lakini huwezi kukubali kununua Soda iliyotolewa "kizibo". Zingatia neno "kizibo".

Mke ana thamani kubwa sana kuliko soda. Iweje ukubali kuoa Mke aliyetobolewa na wengine??? Zingatia neno "aliyetobolewa".

Mbaya zaidi wengine wanaoa hata wale waliotobolewa "tundu lisilofaa kutobolewa". Zingatia neno "tundu lisilofaa kutobolewa".

Ukimpata msichana aliyeweza kutunza "kizibo" chake mpaka ile siku ya ndoa huyo ana hofu ya MUNGU. Zingatia neno "kizibo".

Hofu ya MUNGU itamwongoza Mkeo akutii, akuheshimu, akupende, na ajiepushe na kila tamaa zitakazo mfanya akusaliti.

Dunia imepinda sana lakini miongoni mwetu wapo wasichana wenye hofu ya MUNGU. Wapo wasichana wanatunza "vizibo" vyao.

Na wewe Mwanaume ili ufurahie maisha yako ni lazima pia uwe na hofu ya MUNGU.

Oaneni, maana sio vyema kuishi maisha ya kutanga tanga.
Hapo kwenye kupata bikira kwa kizazi cha leo ni sawa tu na kusema vijana tusioe
 
Hamjambo wanajf,
Kijana una afya nzuri kabisa miaka ,uchumi na uwezo unaruhusu kabisa.
Embu tuambie kwanini hujaoa / kuolewa .

Embu jitetee ,labda pengine utatushawishi.

Usinifokee wewe ndio una shida
 
Hamjambo wanajf,
Kijana una afya nzuri kabisa miaka ,uchumi na uwezo unaruhusu kabisa.
Embu tuambie kwanini hujaoa / kuolewa .

Embu jitetee ,labda pengine utatushawishi.

Usinifokee wewe ndio una shida

Taasisi ya Ndoa iko beyond hivyo.

Unaweza ukawa na miaka 18, uchumi mbaya, na ukaoa /kuolewa

Unaweza ukawa na vyote ulivyotaja hapo juu na usioe/kuolewa.

Na hii inatokana na historia yako ya mahusiano, wanaume/wanawake uliokutana/unaokutana/ulio nao, bahat nzur/mbaya kwenye mahusiano, eneo na mazingira uliyopo,
Tabia zako/mwenza wako uliyekutana/uliyekuwa/uliye nae kwenye mahusiano.

All in all, mm nadhan haya yanachangia kwenye utayari wa mtu kuoa /kuolewa.

NB: username yako inasadiki..
 
Umenijibu kikatili sana
 
familia yenye unganiko wa ndoa ni jambo la muhimu kwa binadamu yoyote asiyeendekeza kimiminika kichwani

kataa ndoa wengi ni walevi wa visungura tafiti zinaeleza hilo
 
Kama ukiweza kumpagawisha mke wako kitandani ukamkuna kisawa sawa utakuwa na maisha rahisi chini ya jua. I swear lakini kama humridhishi mwanamke wako vizuri hatakuheshimu, hata kuheshimu hata kidogo. Kila siku atakuwa anatafuta sababu ya kugombana na wewe.

Mfanye akutetemekee akuone wewe ni wa thamani chini ya jua.
 
Kama ukiweza kumpagawisha mke wako kitandani ukamkuna kisawa sawa ,utakuwa na maisha rahisi chini ya jua ,I swear lakini kama humridhishi mwanamke wako vizuri hata kuheshimu ,hata kuheshimu hata kidogo,Kila siku atakuwa anatafuta sababu ya kugombana na wewe .Mfanya akutetemekee akuone wewe ni wa thamani chini ya jua
🚮🚮
 
Kama ukiweza kumpagawisha mke wako kitandani ukamkuna kisawa sawa utakuwa na maisha rahisi chini ya jua. I swear lakini kama humridhishi mwanamke wako vizuri hatakuheshimu, hata kuheshimu hata kidogo. Kila siku atakuwa anatafuta sababu ya kugombana na wewe.

Mfanye akutetemekee akuone wewe ni wa thamani chini ya jua.
Ko hii ndo mbinu pekee ya kumfanya mwanamke kukuheshimu?
 
Back
Top Bottom