Hata kwenye maombi makanisani wanawake wanaoshiriki ni wengi hali huwasaidia sana kuliko wanaume.

Wanaume ni wachache wanaoitikia kwenda kuombewa kama ambapo huwa wazito kwenda hospitali.
Ukaombewe na binadamu mwenzio...a mere mortal...huo ni ufala.

Alafu hospital ukienda ukiibua ya kuibua? Wee nenda hospital pale ngoma imekooa...sasa unatembea mzima unaenda hospital kugundua nini? Wakikwambia una ngoma sii utaanza ishi kwa stress tupu
 
Men die early than women because they do not talk about their problems, they secretly opt try resolving it on themselves without involving anyone else, especially their marital affairs or financial issues. Hatuongei kama hawa kasuku wetu.
Fact...
 
Kweli kabisa wana maneno ya hovyo sana hawa viumbe usipowatombaa vizuri. Dawa yao vumbi tuu mpaka mbususu iteteme kama mayele
Dah!..bidii yote hiyo ili mwishowe upewe nini?....tuzo au kombe ?
 
Dah!..bidii yote hiyo ili mwishowe upewe nini?....tuzo au kombe ?
Bidii yote hiyo ni ili mwanamke mapaja yake yateteme kama mayele na aendelee kuileta mbususu nikojowe.
 
Tuna wahi kufa ila ukitaka kuwahi zaidi kaowe ile kanda ya kaskazini
 
Men die early than women because they do not talk about their problems, they secretly opt try resolving it on themselves without involving anyone else, especially their marital affairs or financial issues. Hatuongei kama hawa kasuku wetu.
ni kweli kabisa
 
Nahisi wengi kwa Sababu hujitolea ulkuipigania Ukraine
 
Lile ni shimo tu uking'ang'ania sana utakufa mapema!
 
Baba anapokuwa bado ana nguvu, yuko kazini huwa anakua na nguvu na ushawishi mkubwa sana kwenye familia yake, familia humsikiliza, huzingatia uwepo wake!

Tatizo huanza pale baba anapozeeka, nguvu za uzalishaji mali zimekwisha, amestaafu! Na pale watoto wanapokua wamekua watu wazima wameanza maisha yao! Hapo ndipo mambo kwa baba humgeuka!

Mkewe huanza kumchukulia poa! Ile heshima aliyokuwa akipewa huanza kupungua taratiib.. baba hasikilizwi tena Kama zamani, isitoshe anakua hahusishwi sana tena kwenye mambo ya mkewe sababu hata akiambiwa atasaidia nini na pesa hana? Badala yake mkewe huanza kuwafanya watoto kuwa washirika wake zaidi na kumuweka kando mumewe... Baba anaachwa pembeni!

Mama huanza safari kwenda kwa watoto, huko hukaa sana, baba kaachwa nyumbani peke yake! Watoto wanagombea mama aende kwao, lkn baba hakuna anayemtaka!

Wakiwa nyumbani na mkewe, simu toka kwa watoto 80% anapigiwa mama, baada ya maongez mareefu, ndo baba anapewa simu anasalimiwa dk 2 imeisha hiyo! Baba simu anayo, ila haoni simu za watoto wakimpigia, na wakimpigia ni kwa sababu maalumu tena maongez huwa mafupi! Hawana muda nae!

Baba anajikuta anakuwa mpweke sana, anakua mgeni kwa familia yake mwenyewe! Wale ambao alizimalizia nguvu zake za ujana kuwatafutia hawana muda nae!

Pale baba anapokuwa anaihitaji sana faraja ya familia yake sababu ameshazeeka... Familia humpa kisogo! Upweke unamsonga! Sababu ya upweke mawazo humsonga, hili hupelekea kinga ya mwili kushuka na kufanya iwe rahisi kushambuliwa na magonjwa na haichukui muda anafariki!

Familia wataliaa, watachapisha matisheti, watatoa mapesa kumnunulia sanduku la gharama na kumjengea kaburi la gharama, mitandaoni watampost sana! Lakini alipokuwa hai... No one cares!

Tuwajali baba zetu, walijitoa na kujinyima sana kufanya tufike tuliko! Ni dhambi mbele za Mungu tena ni laana mbaya kuwapuuza baba zetu!

Wakati unaendelea kumsifia mama yako kuwa ni bora,msifie hata baba kwa kukuchagulia mama aliye bora.Mwanaume unamtumia mama laki moja baba anatumiwa elfu tano hivyo unapoka madaraka ya baba nyumbani maana mwenye pesa ndiye mwenye mamlaka. Baba anaambiwa usipotii hutakula umesahau nawe ni mwanaume yatakukuta kama hayo
 
naunga hoja,kwel kabisa.
 
Duh kweli bhana, wengine tumeanza kuexperiece tunajiliwaza mitandaoni akili isizimike.
 
Familia wataliaa, watachapisha matisheti, watatoa mapesa kumnunulia sanduku la gharama na kumjengea kaburi la gharama, mitandaoni watampost sana! Lakini alipokuwa hai... No one cares!
Haya ndiyo yalimpata mzee Augustine Lyatonga Mrema na kuamua kufunga ndoa na mdada mbichi kabisa.

Kwa care alizopewa mzee Mrema aliamua kwa hiari yake kumzawadia msamalia mwema huyu (mke mpya) mali zake zote alizokuwa nazo .

Lkn baada ya kufariki mzee Mrema, watoto wale wale waliokuwa wakimnyanyapaa wakaanza figisu za kugombea mali zake
 
Baba anaambiwa usipotii hutakula umesahau nawe ni mwanaume yatakukuta kama hayo
Na Mara nyingi baba kama huna urafiki na mkeo uzeeni hutakaa ufaidi hata shilingi moja ya watoto wako.

Watato watakuja nyumbani watampa baba baba hela kidogo (mf 50,000) huku mama akiona. Lkn kwa kificho mama atapewa laki 2.

Baada ya watoto kuondoka mama huitaka tena hela aliyopewa baba na watoto. Baba anabakia na zero.
 
Kuna familia ya karibu waliishi hivi hivi na baba yao,, na mzee alivuta kweli ila kwa manung'uniko sana, ila kuna wanawake watata mwee
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…