Mjamzito afariki kwa kukosa pesa ya mafuta gari la wagonjwa, wakati Mama ananunua magoli

She Must Go!
 
kwenye hili nitamtetea jamaa hata kama kujipanga ndio lkn 180000 hiyo nauli hata dar mwanza ni kubwa! hapa kuna namna ambulance imepewa wapigaji kuna upuuzi umefanyika kwa maksudi hapa!.
Hakuna Sheria ya kulipia mafuta huo ni uhalifu
 
yaani mtu kuitwa baba anaipenda ila kuhudumian aah
 
Ule mpango wa m-mama haupo nchi zima? Hizi habari zinahitaji kusikia taarifa kutoka pande zote mbili kabla ya kurusha lawama. Huko vijijini watu wana tabia ya kujifungulia nyumbani wakiona hali mbaya ndio wanakwenda kituo cha afya, wakati mwingine wanakuwa wamechelewa sana. Nimewahi kuona kesi ya mjamzito kujifungulia nje ya kituo ndio maana nimewaza hivyo.
 
Watoto mnaoishi mijin bana kazi sana,msipende kusikiliza kelele za wanasiasa majukwaan hali halisi n mbaya sana uko vijijin vituo vinaambiwa vijiendeshe kwa mapato wanayoingiza na ilihali wanaambiwa watoe huduma bure,ambulance kutokuwa na mafuta n issue ya kawaida vijijin uko ndo maana mgonjwa inabid achangie mafuta.alafu 180k n lita 50 mkuu ambayo n reasonable apo si wamesema kilosa to mikumi go n return
 
Wewe unaona ni sawa? Yaani wahalifu mafuta tuwanunulie ya kuwapeleka na kuwarudisha mahabusu ila kuwanunulia mafuta wagonjwa tunashindwa? Serikali acheni kuleta uhuni wajibikeni unatoa bilioni 20 kwa wasanii ila unashindwa kuwapa ruzuku ya mafuta vituo vya afya? Serious
 
Acha ujinga
 
sasa hama Mh SSH anahusikaje na kifo hicho? mambo mengine tuahe kumsingizia.hapo wakuajibishwa ni DMO na RMO basi.Hata waziri wa afya hahusiki kihivyo sembuse raisi wa nchi.
 
Kwa hiyo hili nalo ni lawama kwa rais? serious!!
 
ni kama mambo ya kumfikisha afisa kilimo shambani. fungua wallet tu
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…