Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
Dishi.Hata kama unatafuta u expert sio kwa kiasi hiki, mama mjamzito kafariki kwa kukosa huduma we unasema ujinga.....
SHIDA waziri husema Bure mjamzito kujifunguaIla ujauzito ni mchakato maandalizi ya kujifungua ni muhimu sana hasa kwa wanaume tusiishie kutia mimba tu tuwajibike unakuta jitu linatia mimba tu Kila baada ya miaka miwili hospital akiambiwa achangie japo dawa na vipimo anakuambia Sina pesa inasikitisha sana.
Kuna jamaa mmoja limeoa binti wa watu akampa mimba ikalelewa hivyo hivyo kimagumashi mpaka ikatimiza miez 9 ikatakiwa 350000 ya operation na huduma nyingine bahati nzuri wale ma Dr wa Hospital ya Mwanyamala waliweka mbele ubinadamu wakamzalisha salama yule binti ila wakasema hatoki mpaka pesa ilipwe jamaa anaambiwa na baba Mkwe wake Lete pesa japo kidgo anasema Hana hata Senti yule binti alizuiliwa hospital karibu week 2 ndio baba Mkwe akaingia mfukoni kwake na kutoa 350000 kwa minajiri kwamba Mkwe atamrudushia mpaka Leo mtoto ana miez 11 na pesa jamaa hajamlipa baba Mkwe wake sasa hii sio sawa.
Lini alinunua 🚑 akalaumiwa? weka receipt hapa.Mama akinunua magari shida asiponunua ndo hayaa sasa
Ila ya misafara, safari, kizimkazi, makofia, makanga, pilau, Korea, aWakati anaupiga mwingi, kwa kununua magoli ya Yanga na Simba kuna watu wana safa sana kwa huduma za afya. Kule Kilosa Mama kafariki kwa kukosa pesa za mafuta ya Gari ya kubebea wagonjwa.
Mkuu wa Wilaya ya Kilosa mkoani Morogoro, Shaka Hamdu Shaka ametoa siku tatu vyombo vya usalama kuchunguza tukio la mama mjamzito aliyefariki baada ya familia yake kukosa pesa za kuweka mafuta gari la wagonjwa.
Shaka alipokea tuhuma hizo kutoka kwa mume wa marehemu, Seleman Makuani wakati akisikiliza kero za wananchi katika Kata na Kijiji cha Kidodi, mkoani humo.
Hii hakuna anaye jali kabisa.
Ila za misafara, safari, kizimkazi, makofia, makanga, sijuwi ujinga gani ZIPO?!Wakati anaupiga mwingi, kwa kununua magoli ya Yanga na Simba kuna watu wana safa sana kwa huduma za afya. Kule Kilosa Mama kafariki kwa kukosa pesa za mafuta ya Gari ya kubebea wagonjwa.
Mkuu wa Wilaya ya Kilosa mkoani Morogoro, Shaka Hamdu Shaka ametoa siku tatu vyombo vya usalama kuchunguza tukio la mama mjamzito aliyefariki baada ya familia yake kukosa pesa za kuweka mafuta gari la wagonjwa.
Shaka alipokea tuhuma hizo kutoka kwa mume wa marehemu, Seleman Makuani wakati akisikiliza kero za wananchi katika Kata na Kijiji cha Kidodi, mkoani humo.
Hii hakuna anaye jali kabisa.
Kwa hiyo unataka kusemaje mkuu, hivi hii nchi watumishi wake huwajui?Ule mpango wa m-mama haupo nchi zima? Hizi habari zinahitaji kusikia taarifa kutoka pande zote mbili kabla ya kurusha lawama. Huko vijijini watu wana tabia ya kujifungulia nyumbani wakiona hali mbaya ndio wanakwenda kituo cha afya, wakati mwingine wanakuwa wamechelewa sana. Nimewahi kuona kesi ya mjamzito kujifungulia nje ya kituo ndio maana nimewaza hivyo.
Mijadala ya ununuzi wa magari ya serikali ipo mingi tu huku do your own research binti, ila yote ya yote ambulance ni nyingi sana sahivi huyo mkuu wa wilaya naye ajieleze kwanini ambulance inakosa mafuta ?Lini alinunua 🚑 akalaumiwa? weka receipt hapa.
Msipende kuchekecha mijadala.
Madhara ya kuwa na viongozi wajinga wajinga ndio hayo.Wakati anaupiga mwingi, kwa kununua magoli ya Yanga na Simba kuna watu wana safa sana kwa huduma za afya. Kule Kilosa Mama kafariki kwa kukosa pesa za mafuta ya Gari ya kubebea wagonjwa.
Mkuu wa Wilaya ya Kilosa mkoani Morogoro, Shaka Hamdu Shaka ametoa siku tatu vyombo vya usalama kuchunguza tukio la mama mjamzito aliyefariki baada ya familia yake kukosa pesa za kuweka mafuta gari la wagonjwa.
Shaka alipokea tuhuma hizo kutoka kwa mume wa marehemu, Seleman Makuani wakati akisikiliza kero za wananchi katika Kata na Kijiji cha Kidodi, mkoani humo.
Hii hakuna anaye jali kabisa.
Achana na watanzania wapumbavu mkuu, hii nchi inadai wasomi wanaongezeka ila minginga inaongezeka maradufu sijui tatizo lipo wapi? Yeye anashangaa kumlaumu Rais ila hashangai Rais kuwa na mamlaka yote ya kiutawala na kijeshi. Very stupid countryWe mjinga zera za CCM wajawaziti na wstoto wa chini ya miaka mitano wanatibiwa bure, hio gari kwani ni ya Private? Dereva si abaliowa kwa kodi zetu, wewe ni mjinga na hapo utakuta ndugu zako wana life gumu sana
Nyie watanzania mnajua hali za huko kijijini lakini?Rip kwa aliyefariki ukiacha lawama kwa wenye ambyulensi zao natoa wito kwa wanaume ujauzito ni wa miezi tisa na siku hizi kuna changamoto nyingi wakati wa kujifungua ukilinganisha na miaka ya zamani hvyo tujitahidi kuandaa hata laki tatu iwe pa kuanzia inapofikia siku ya kujifungua tutatue changamoto ndipo tuje kulaumu mifumo vinginevyo hizi lawama baada ya kuwapoteza wapendwa wetu hazisaidii
Wapate kupiga pesa zingine kwenye tume na kamati zao, pia muda utakuwa umepita na wananchi kama kawaida yao watakuwa wameisha sahau na hasira zimepungua.Sasa Uchunguzi wa nini hapo? Aliyemwambia atafute hela ya mafuta si yupo? Na ndiye msababishaji?
Uchunguzi wa nini?
Pitia tena bandiko halafu uje utetee vizuri. Kaambiwa atoe hela ya mafuta sh 180,000/ uligwa?Ule mpango wa m-mama haupo nchi zima? Hizi habari zinahitaji kusikia taarifa kutoka pande zote mbili kabla ya kurusha lawama. Huko vijijini watu wana tabia ya kujifungulia nyumbani wakiona hali mbaya ndio wanakwenda kituo cha afya, wakati mwingine wanakuwa wamechelewa sana. Nimewahi kuona kesi ya mjamzito kujifungulia nje ya kituo ndio maana nimewaza hivyo.
Tatizo la makada wa Chama cha hovyo kifo cha mtanzania kwako si muhimu. Eti serikali haiwezi kumsaidia moja kwa moja kila mwanamke mjamzito, hoja ya kipumbavu mno ya nyie wa mama anaupiga mwingi.Kuna mbunge wa huyo mama kuna mkuu wa wilaya anayotoka huyo mama, kuna mkuu wa mkoa. kuna serikali nzima kabla hujamhusisha SSH.
Wote hao wanahusika na wanawajibika kumsaidia huyo mama. Kuna zahanati zinazojengwa kwa pesa za kodi na huko Morogoro zipo nyingi tu.
Magoli yatanunuliwa tu kwani Simba na Yanga ni walipa kodi wakubwa kuliko taasisi nyingi zilizopo nchini. Wanao mchango mkubwa wa kukuza jina la Tanzania kimataifa.
Kila wanapofuzu makundi au robo fainali kuna pesa nyingi wanazoingiza kwenye akaunti za vilabu vyao na kuna kodi nyingi inayoingia serikali kuu.
Serikali haiwezi kumsaidia moja kwa moja kila mwanamke mjamzito, tupunguze hizi nongwa za kipuuzi.
Yeye ndiye tuliyempa dhamana ya uongozi wa taifa letu, yeye atajuana na hao aliwateua.Fuata kwanza wahusika wa mkoa wake huyo mama. Samia hana uwezo wa kumfikia kila mwanamama mjamzito na kutatua matatizo yake.
Mpuuzi wewe, sitafuti cheo natoa maoni inatosha.Yeye ndiye tuliyempa dhamana ya uongozi wa taifa letu, yeye atajuana na hao aliwateua.
Unasikia wewe wa mama anaupiga mwingi? Umeandika jina lako lote vizuri umesahau kuweka namaba yako ya simu kama Lucas Mwanshamba unaweza ukapata twuzi
Walishaambiwa wafyatue tu, huduma ziko bwerere na mapori bado yako makubwa hayana watu na wanyama.Ila ujauzito ni mchakato maandalizi ya kujifungua ni muhimu sana hasa kwa wanaume tusiishie kutia mimba tu tuwajibike unakuta jitu linatia mimba tu Kila baada ya miaka miwili hospital akiambiwa achangie japo dawa na vipimo anakuambia Sina pesa inasikitisha sana.