Lax
JF-Expert Member
- Feb 10, 2022
- 4,740
- 7,179
wa chama gani? 😂Inaumiza sana jaman dah lakini YESU ni mwema kabla mwaka huu haujaisha atakuwa katupa rais mwingine
Wote tuikie AMINA
Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
wa chama gani? 😂Inaumiza sana jaman dah lakini YESU ni mwema kabla mwaka huu haujaisha atakuwa katupa rais mwingine
Wote tuikie AMINA
Kiuhalisia uhai ni Bora kuliko michezo ila Sasa ipo kinyume chake michezo ni Bora kuliko uhaiHivi Michezo na UHAI wa Mtanzania kipi bora?!
Wakati anaupiga mwingi, kwa kununua magoli ya Yanga na Simba kuna watu wana safa sana kwa huduma za afya. Kule Kilosa Mama kafariki kwa kukosa pesa za mafuta ya Gari ya kubebea wagonjwa.
Mkuu wa Wilaya ya Kilosa mkoani Morogoro, Shaka Hamdu Shaka ametoa siku tatu vyombo vya usalama kuchunguza tukio la mama mjamzito aliyefariki baada ya familia yake kukosa pesa za kuweka mafuta gari la wagonjwa.
Shaka alipokea tuhuma hizo kutoka kwa mume wa marehemu, Seleman Makuani wakati akisikiliza kero za wananchi katika Kata na Kijiji cha Kidodi, mkoani humo.
Hii hakuna anaye jali kabisa.
Some one could avoid this by using condomAcha kufananisha utamu wa goli na vitu vya kijinga
Sijapinga mengine uliyosema kwenye post yako. Ila naangalia uhalali wa wewe kumlaumu dereva kwa gari kukosa mafuta. Tuseme ambulance ni ya serikali, unafikiri dereva akiamua tu kuinunulia mafuta, ambayo kawaida anayapatia GPSA hiyo pesa yake nani atamrudishia? Najaribu tu kumtoa dereva kwenye lawama.kina vitu havihitaji hata kuuliza ndugu! ile aio starehe ya kwamba mtu anahitaji hiyo pesa akalewee ile ni shida inayohusu afya moja kwa moja!.
nyie kama mnaona kilichofanyika ni sahihi hizo ni peo zenu,lkn usije ukategemea rais akashuka akaja kukuambia kuwa huyu anahitaji msaada msaidie halafu swala la malipo baadae! unauliza kama vile hauna hekima mkuu!
Tutatoa za rambi tambi kufidia kifoo chake na hayo mafutaWakati anaupiga mwingi, kwa kununua magoli ya Yanga na Simba kuna watu wana safa sana kwa huduma za afya. Kule Kilosa Mama kafariki kwa kukosa pesa za mafuta ya Gari ya kubebea wagonjwa.
Mkuu wa Wilaya ya Kilosa mkoani Morogoro, Shaka Hamdu Shaka ametoa siku tatu vyombo vya usalama kuchunguza tukio la mama mjamzito aliyefariki baada ya familia yake kukosa pesa za kuweka mafuta gari la wagonjwa.
Shaka alipokea tuhuma hizo kutoka kwa mume wa marehemu, Seleman Makuani wakati akisikiliza kero za wananchi katika Kata na Kijiji cha Kidodi, mkoani humo.
Hii hakuna anaye jali kabisa.
duulitaka nieleweje ng'ombe wewe
nipo serikalini umeshawahi sikia Rc, dc au mkurugenzi au waziri, amekosa mafuta nyang'au wewe wao wana thamani watanzania wengine? yaani serikhali wanakosa mafuta ya ambulance lakini mafuta ya kukimbiza mwenge yapo nyoka mkubwa wewe.
ipo shida mahali na nahisi kabisa watu wanakula kwasababu ya shida za watuNiliwahi kuwa na jamaa yangu hospitali ya rufaa Morogoro aliyepata ajali ya pikipiki, inatakiwa aende Muhimbili kwa ambulance. Hapo kuna majeruhi wengine wawili wa ajali ya gari, wanaunganishwa wote kwenye ambulance na kila mgonjwa alitakiwa kutoa 350K. Yule jamaa yetu ilibidi tumpakie Abood kesho yake kwani kesi yake ilikuwa ni ya fracture tu ya mkono
mh!Watoto mnaoishi mijin bana kazi sana,msipende kusikiliza kelele za wanasiasa majukwaan hali halisi n mbaya sana uko vijijin vituo vinaambiwa vijiendeshe kwa mapato wanayoingiza na ilihali wanaambiwa watoe huduma bure,ambulance kutokuwa na mafuta n issue ya kawaida vijijin uko ndo maana mgonjwa inabid achangie mafuta.alafu 180k n lita 50 mkuu ambayo n reasonable apo si wamesema kilosa to mikumi go n return
labda sielewi utaratibu wa serikali kwani mtu hawezi kudaiwa baada ya huduma..??Sijapinga mengine uliyosema kwenye post yako. Ila naangalia uhalali wa wewe kumlaumu dereva kwa gari kukosa mafuta. Tuseme ambulance ni ya serikali, unafikiri dereva akiamua tu kuinunulia mafuta, ambayo kawaida anayapatia GPSA hiyo pesa yake nani atamrudishia? Najaribu tu kumtoa dereva kwenye lawama.
Wanasema anaupiga mwingiNa hajali kitu, na ana wajinga wengi sana wanaspoti ujinga
Sidhani kama mfano wako unaendana na hali halisi, sera ya serikali kwa wamama wanaojifungua inasemaje? Wanalipia gharama ?Ila ujauzito ni mchakato maandalizi ya kujifungua ni muhimu sana hasa kwa wanaume tusiishie kutia mimba tu tuwajibike unakuta jitu linatia mimba tu Kila baada ya miaka miwili hospital akiambiwa achangie japo dawa na vipimo anakuambia Sina pesa inasikitisha sana.
Kuna jamaa mmoja limeoa binti wa watu akampa mimba ikalelewa hivyo hivyo kimagumashi mpaka ikatimiza miez 9 ikatakiwa 350000 ya operation na huduma nyingine bahati nzuri wale ma Dr wa Hospital ya Mwanyamala waliweka mbele ubinadamu wakamzalisha salama yule binti ila wakasema hatoki mpaka pesa ilipwe jamaa anaambiwa na baba Mkwe wake Lete pesa japo kidgo anasema Hana hata Senti yule binti alizuiliwa hospital karibu week 2 ndio baba Mkwe akaingia mfukoni kwake na kutoa 350000 kwa minajiri kwamba Mkwe atamrudushia mpaka Leo mtoto ana miez 11 na pesa jamaa hajamlipa baba Mkwe wake sasa hii sio sawa.
Mama akinunua magari shida asiponunua ndo hayaa sasaWakati anaupiga mwingi, kwa kununua magoli ya Yanga na Simba kuna watu wana safa sana kwa huduma za afya. Kule Kilosa Mama kafariki kwa kukosa pesa za mafuta ya Gari ya kubebea wagonjwa.
Mkuu wa Wilaya ya Kilosa mkoani Morogoro, Shaka Hamdu Shaka ametoa siku tatu vyombo vya usalama kuchunguza tukio la mama mjamzito aliyefariki baada ya familia yake kukosa pesa za kuweka mafuta gari la wagonjwa.
Shaka alipokea tuhuma hizo kutoka kwa mume wa marehemu, Seleman Makuani wakati akisikiliza kero za wananchi katika Kata na Kijiji cha Kidodi, mkoani humo.
Hii hakuna anaye jali kabisa.
Sijui kiungo gani unatumia kufikiria, bila aibu mwananchi wa kijijini unadai achangie sh 189k, tena unasema kirahisi tu Ä·wa sababu wewe unazo.Watoto mnaoishi mijin bana kazi sana,msipende kusikiliza kelele za wanasiasa majukwaan hali halisi n mbaya sana uko vijijin vituo vinaambiwa vijiendeshe kwa mapato wanayoingiza na ilihali wanaambiwa watoe huduma bure,ambulance kutokuwa na mafuta n issue ya kawaida vijijin uko ndo maana mgonjwa inabid achangie mafuta.alafu 180k n lita 50 mkuu ambayo n reasonable apo si wamesema kilosa to mikumi go n return
Kusema wajawazito na wenza wao wachangie hela ya mafuta sh 180k wakati majizi tanasafirishwa bure, wale wanaotekwa wanasafirishwa bure kwenda kutupwa maiti zao, serikali inashindwa kutoa ruzuku ya mafuta kwa wagonjwa?Ujinga wangu ni upi?
Baba yako angetumia condom tu, mwananchi wa kijijini anaweza kulipa sh 180,000? Umeona posho wanazolipana maofisa wa serikali?Ni wakati wa sisi wananchi kuambiana ukweli afya, elimu na chakula na mengineyo ni jukumu letu kila mmoja binafsi cha bure hewa tu. Haiwezekani mimba tangu ina mwezi mmoja hadi tisa hauweki akiba ya fedha hata kidogo ukitegemea upewe kila kitu bure! Vituo vya afya vijijini bado vinachangamoto nyingi, ambazo serikali imeweza kufanya pakubwa.
Wanasiasa nao wawaambie ukweli wananchi wao! sisi ni dunia ya tatu' kiuchumi bado tunajitafuta, watu wafanye kazi kwa bidii na wapange uzazi kuweza kumudu gharama za maisha wasije kuishia kulaumu magoli ya mama ambayo yanatengeneza morali ya kujituma zaidi kwa wachezaji wetu itakayokuja kupelekea ajira nyingi zaidi kwa vijana ikiwa mpira wetu utauzika nje ya nchi.
Inasikitisha sn, kwani hizo ofc zao hazina petty cash? Wanashindwa kuwa hata wazalendo? Naimani alivyofariki hao wafanyakazi wa afya walishiriki msiba wake kwa kuyoa fedha za pole, stupid kabisaaa. Ukishajiona unakinga mkono kila mwisho wa mwezi kutoka serikalini usijione ndio umefika na wenzako ni takataka. Sasa walishindwa hata kuchanga fedha za mafuta hao wafanyakz wa afya?Wakati anaupiga mwingi, kwa kununua magoli ya Yanga na Simba kuna watu wana safa sana kwa huduma za afya. Kule Kilosa Mama kafariki kwa kukosa pesa za mafuta ya Gari ya kubebea wagonjwa.
Mkuu wa Wilaya ya Kilosa mkoani Morogoro, Shaka Hamdu Shaka ametoa siku tatu vyombo vya usalama kuchunguza tukio la mama mjamzito aliyefariki baada ya familia yake kukosa pesa za kuweka mafuta gari la wagonjwa.
Shaka alipokea tuhuma hizo kutoka kwa mume wa marehemu, Seleman Makuani wakati akisikiliza kero za wananchi katika Kata na Kijiji cha Kidodi, mkoani humo.
Hii hakuna anaye jali kabisa.
Wakati anaupiga mwingi, kwa kununua magoli ya Yanga na Simba kuna watu wana safa sana kwa huduma za afya. Kule Kilosa Mama kafariki kwa kukosa pesa za mafuta ya Gari ya kubebea wagonjwa.
Mkuu wa Wilaya ya Kilosa mkoani Morogoro, Shaka Hamdu Shaka ametoa siku tatu vyombo vya usalama kuchunguza tukio la mama mjamzito aliyefariki baada ya familia yake kukosa pesa za kuweka mafuta gari la wagonjwa.
Shaka alipokea tuhuma hizo kutoka kwa mume wa marehemu, Seleman Makuani wakati akisikiliza kero za wananchi katika Kata na Kijiji cha Kidodi, mkoani humo.
Hii hakuna anaye jali kabisa.
Ananunua magoli ili iweje wakati kuna shida lukuki za kusaidiaMama akinunua magari shida asiponunua ndo hayaa sasa
We kijana wa kisukuma utatekwa! 😂😂Inaumiza sana jaman dah lakini YESU ni mwema kabla mwaka huu haujaisha atakuwa katupa rais mwingine
Wote tuikie AMINA