Mjane wa bilionea Msuya aachiwa huru, Mahakama haijamkuta na hatia ya mauaji ya Aneth Msuya

Ni kweli tatizo lipo kwenye wapelelezi wanaharibu sana kesi
 
Ni kweli tatizo lipo kwenye wapelelezi wanaharibu sana kesi
Kuna chuo kikuu kinatoa degree ya upelelezi Tanzania?

Hiyo degree inaitwa nini na inatolewa chuo kikuu kipi?

Tuanzie hapo isije ikakutwa tunaokota wapelekezi wale waliofeli F4 ( wapelekezi) tunaenda kuwakutanisha mahakamani na wenye LLB
 
Daah polen sana Auntuja polen sana dada zangu, na wazee wangu. Rafiki yangu Erasto Mungu azid kukupa pumziko la Aman tuonane ile asubuh iliyo njema. that's how life it's. Jambo la muhimu kukumbuka daima ni hili.
Kabla hujaoa piga magoti funga hata mwez tu muombe Mungu akupe mke wa kuwa nae maishan. Mungu sio dhalimu utapata. Unaweza kuoa mtu mmoja akasambaratisha familia nzima. Hiz sura na makalio yasikupofushe hakuna jipya aisee. Mtwisheni Mungu fadhaa zenu mbona liko wazi. Watu wengi wanateseka coz ya kwenye maamuz ya kuoa. Kumbuka wanawake wameamka na wanaume itabid tuwe macho. Kuna maisha baada ya hela ambayo ni mateso matupu.
 
Kama RIB ya Rwanda au DCI ya Kenya. Itasaidia sana
 
Mawakili wa serikali hamna kitu kabisa, kesi ilikua wazi kabisa ila wanashindwa kuwa serious. Sijui nini ambacho wanaweza hawa watu!! Na hata wangeshinda kesi wangeenda kubwagwa kwenye rufaa.
"Hakika Mwenyezi Mungu anakuamrisheni mzirudishe amana kwa wenyewe. Na mnapo hukumu baina ya watu mhukumu kwa uadilifu...." (Kurani 4:58)

Vilevile anasema:

"...Na hukumu ni kwa uadilifu. Hakika, Mwenyezi Mungu anawapenda wanao hukumu kwa haki." (Kurani 49:9)

Tunafaa hata kuwa waadilifu kwa wale tunaowachukia, kama vile Mungu anavyosema:

"...Wala kuchukia wengine kusiwafanye kuacha uadilifu. Kuweni Waadilifu; hivyo ndivyo kuwa karibu mno na uchaMungu...." (Kurani 5:8)

Mtume Muhammad alisema: "Enyi watu, jihadharini na dhuluma,[5] kwani udhalimu utakuwa giza siku ya Kiyama."[6]

Na wale ambao hawajapata haki zao (yaani, kwa kudai haki zao) katika maisha ya sasa duniani watazipata Siku ya Kiyama, kama vile Mtume alivyosema: "Siku hiyo ya Kiyama, haki zote zitapewa kwa wale wanaostahiki (na maovu yatalipizwa)..."[7]
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…